Lema: January Makamba, Wewe ni waziri siyo first born wa Rais Samia

"...ulikimbia Nchi na kuishi Ughaibuni kwa fedheha tumepigana umerejea bado unaendelea na mambo yako ya kishamba ya magwanda huna shukrani kabisa!"

Inasemekana ndiyo maneno ya kifedhuri aliyoelezwa Lema jana na kipara.
Lema naye yale manguo ya wafungwa wa kipalestina ya nini kwenye msiba ,wanamaridhiano ila vichwani wako empty kabisa

USSR

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwakweli !
 
"...ulikimbia Nchi na kuishi Ughaibuni kwa fedheha tumepigana umerejea bado unaendelea na mambo yako ya kishamba ya magwanda huna shukrani kabisa!"

Inasemekana ndiyo maneno ya kifedhuri aliyoelezwa Lema jana na kipara.
Mbona CCM wanavaa magwanda yao meusi na kijani lakini hawakoromewi.
 
WanaCCM wangapi huwa wanavaa sare zao misibani?

Halafu atueleze yeye kapigania nini dhhidi ya Magufuli?

January aache ufala, anajivunjia heshima yake.
 
"...ulikimbia Nchi na kuishi Ughaibuni kwa fedheha tumepigana umerejea bado unaendelea na mambo yako ya kishamba ya magwanda huna shukrani kabisa!"

Inasemekana ndiyo maneno ya kifedhuri aliyoelezwa Lema jana na kipara.
Inasemekena !.
 
Kuongea na nnape nauye ni makosa? Ewe mchungaji wa kaskazini GODBLESS LEMA unavyofanya ndivyo unajishushia heshima, sema una bahati mama huyu ni mpole, angelikua Magufuli aise aise, basi niishie hapo.
 
Tumebariki kua watu wahivyo hivyo na tutabaki kua hivyo hivyo. Tunaweza kushindwa kubadirisha mambo mfano kuachana na uongozi wenyewe maono madogo nk tukawa na uongozi wenye maono na matendo makubwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…