Tindo
JF-Expert Member
- Sep 28, 2011
- 63,730
- 111,542
Acha kuiga Lugha za kihuni na kuleta hapa ili uonekane na ww unaenda na wakati. Anajikutaga ndio nini?Yaani mnavyozidi kumchukia ndivyo atazidi kuwa Juu..
Kwani Lema yeye ni nani hasa Hadi ajitwalie mamlaka ya kuhukumu? Atashushwa yeye,anajikutaga special sana huyo.