Lema kama unasema serikali ndio watekaji na wauaji mbona wamwomba Mama akulinde. Mama si ndiye mtekaji wenu mlisema. Nyenyenye!

Miye kila siku nawaambieni huko kwenu kumejaa nyoka hamtaki kusikia. Huyo kakimbia anawatoa nyumbu wengine kama chombo. Lema mnajiteka wenyewe alafu mnamsingizia Mama. Mkivurugana mnaomba msaada kwa Mama. Na bado
Kuna msemo isemayo mpe mchawi akulele mwana naona hyu kafuata msemo huu hahaha lema
 
Miye kila siku nawaambieni huko kwenu kumejaa nyoka hamtaki kusikia. Huyo kakimbia anawatoa nyumbu wengine kama chombo. Lema mnajiteka wenyewe alafu mnamsingizia Mama. Mkivurugana mnaomba msaada kwa Mama. Na bado
Mchawi mpe mwanao akulelee
 
Eti watu wazima wana justify ujinga wa Lema kwa "eti mchawi mpe mtoto akulelee".
Ni wangapi kati yenu mnaitumia hii methali in reality?
Mnanaichukulia kwenye face value.Yaani wewe uwe na shaka kwenye usalama wa maisha yako halafu ukimbilie kwa unayemtuhumu?
Lema anajua mchezo wa kutekana chanzo ni nini.Ndio sababu anakimbilia Polisi.
Reference ni ushahidi wa Dr.Slaa kwamba kuna kikundi cha utekaji na sasa ni zamu ya Lema ila kunguru karuka.
 
Lema katumia akili sana na nafikiri aliona kabisa hatoboi na kama walikua na mpango lazima wasizi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…