GE2025 Lema kumshambulia Polepole ni ujuaji usiokuwa na faida

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

MTAZANIA

Member
Joined
May 28, 2025
Posts
28
Reaction score
47
Msimamo Wangu Kuhusu Kauli ya Mh. Lema Dhidi ya Humphrey Polepole

Nimesikitishwa na kauli kali iliyotolewa na Mheshimiwa Lema dhidi ya Humphrey Polepole. Kwa maoni yangu, kauli hiyo haina tija kwa taifa letu wal Kwa sias za upinzani kwa sababu:

1. Tunahitaji Kusonga Mbele, Siyo Kurudi Nyuma:
Kama taifa, tunapaswa kujenga umoja, maridhiano, na mshikamano wa kitaifa. Kufukua historia ya nani alifanya nini huko nyuma hakutatusaidia kujenga taifa lenye umoja. Kila mtu anapaswa kupewa nafasi ya kubadilika na kuchangia maendeleo ya nchi.

2. Kila Mtu Ana Haki ya Kusimamia Ukweli:
Iwapo mtu yuko tayari kusimamia ukweli, haki, na maslahi ya taifa — basi anastahili kuungwa mkono bila kujali historia yake ya kisiasa. Tunapaswa kuangalia uhalisia wa sasa na nia ya mtu kwa wakati huu. Hapo tunaona ni Kwa kiasi gani siasa za upinzani ulivyotawaliwa na harakati nukuu YERICKO NYERERE

3. Hoja Iliyotolewa Inaonekana Kujaa Chuki:
Kauli ya Mh. Lema haimlengi Humphrey Polepole pekee, bali kwa mtazamo mpana inaweza kuwa dhihaka hata kwa watu waliowahi kukosea na sasa wanatubu au kubadilika — ikiwemo hata wafungwa walioko gerezani. Tunapaswa kujenga jamii yenye msamaha, matumaini, na fursa ya pili.

4. Tunahitaji Mijadala ya Kijenga, Siyo ya Kubomoa:
Tujikite kwenye hoja zenye kujenga taifa na kutafuta suluhisho la changamoto, siyo kurushiana maneno au kujenga mazingira ya chuki. Taifa linahitaji viongozi na wananchi wanaoweza kuunganisha watu, si kuwagawanya.
 
Msimamo Wangu Kuhusu Kauli ya Mh. Lema Dhidi ya Humphrey Polepole

Nimesikitishwa na kauli kali iliyotolewa na Mheshimiwa Lema dhidi ya Humphrey Polepole. Kwa maoni yangu, kauli hiyo haina tija kwa taifa letu wal Kwa sias za upinzani kwa sababu:

1. Tunahitaji Kusonga Mbele, Siyo Kurudi Nyuma:
Kama taifa, tunapaswa kujenga umoja, maridhiano, na mshikamano wa kitaifa. Kufukua historia ya nani alifanya nini huko nyuma hakutatusaidia kujenga taifa lenye umoja. Kila mtu anapaswa kupewa nafasi ya kubadilika na kuchangia maendeleo ya nchi.

2. Kila Mtu Ana Haki ya Kusimamia Ukweli:
Iwapo mtu yuko tayari kusimamia ukweli, haki, na maslahi ya taifa — basi anastahili kuungwa mkono bila kujali historia yake ya kisiasa. Tunapaswa kuangalia uhalisia wa sasa na nia ya mtu kwa wakati huu. Hapo tunaona ni Kwa kiasi gani siasa za upinzani ulivyotawaliwa na harakati nukuu YERICKO NYERERE

3. Hoja Iliyotolewa Inaonekana Kujaa Chuki:
Kauli ya Mh. Lema haimlengi Humphrey Polepole pekee, bali kwa mtazamo mpana inaweza kuwa dhihaka hata kwa watu waliowahi kukosea na sasa wanatubu au kubadilika — ikiwemo hata wafungwa walioko gerezani. Tunapaswa kujenga jamii yenye msamaha, matumaini, na fursa ya pili.

4. Tunahitaji Mijadala ya Kijenga, Siyo ya Kubomoa:
Tujikite kwenye hoja zenye kujenga taifa na kutafuta suluhisho la changamoto, siyo kurushiana maneno au kujenga mazingira ya chuki. Taifa linahitaji viongozi na wananchi wanaoweza kuunganisha watu
, si kuwagawanya.
ana halki ya kumshambulia maana alikuwa sehemu tena ya mbele katika kujenga maovu haya anayoysema leo
 
Tusiwe wepesi wa kuhukumu bali tuwe tayari kusikiliza, kuelewa, na kusaidia kujenga Tanzania mpya yenye mshikamano na matumaini.sas tukianza kuwa tenga watu ety we pole pole sogea mpembeni hufai kwasababu ulishiriki kutengeneza haya tutafika kweli ? WE Fulani hautafi kwasababu wewe ni ccm , kubwa mtu awe na Nia ya dhati ya kusema ukweli na kuleta mabadiliko ,,
 
Hakuna mtu wa kuokotwa kirahisi tena. Wakati Polepole anajenga siasa hizi za kishenzi tulipiga kelele sana lakini alikuwa anatubeza. Leo tumefika sehemu aliyataka tufike kisha anakuja kujifanya hakubaliani na hayo. Tutakuwa wajinga kama tutamuunga mkono mtu aliyekuwa mtesi wetu bila kumwambia kinagaubaga kuwa yeye ni muhusika wa hali hii.

Tunajua kaongea ukweli, lakini hiyo haitufanyi tumuone ni shujaa na kulipuka kumuunga mkono. Tunajua ni mtu anayecheza na upepo kwa maslahi yake binafsi.
 
Ukweli ukisemwa upokelewe bila kujali chanzo chake ,kama tukiwaruhu viongozi wa kiasi kuwa mahakimu Kwa namna hii hatuwezi kufika kwenye Tanzania mpya ,kwenye haya mapambano tunahitaji mchango wa Kila moja hat MACCM yenyewe ,,
 
Polepole ni moja ya watu walioshirikiana na Magufuli kuihujumu Chadema na hadi sasa Polepole ni mwanaccm chama ambacho kinaendelea kuihujumu Chadema.
Mwanasiasa ni binadamu tu ambaye anaweza kutathmini matendo yake na kubadilika Kwa maslahi Makubwa ya taifa lake nashauri tu tuangalie matendo yake ya sas kuliko kuhukumu historia yake ,,
 
Msimamo Wangu Kuhusu Kauli ya Mh. Lema Dhidi ya Humphrey Polepole

Nimesikitishwa na kauli kali iliyotolewa na Mheshimiwa Lema dhidi ya Humphrey Polepole. Kwa maoni yangu, kauli hiyo haina tija kwa taifa letu wal Kwa sias za upinzani kwa sababu:

1. Tunahitaji Kusonga Mbele, Siyo Kurudi Nyuma:
Kama taifa, tunapaswa kujenga umoja, maridhiano, na mshikamano wa kitaifa. Kufukua historia ya nani alifanya nini huko nyuma hakutatusaidia kujenga taifa lenye umoja. Kila mtu anapaswa kupewa nafasi ya kubadilika na kuchangia maendeleo ya nchi.

2. Kila Mtu Ana Haki ya Kusimamia Ukweli:
Iwapo mtu yuko tayari kusimamia ukweli, haki, na maslahi ya taifa — basi anastahili kuungwa mkono bila kujali historia yake ya kisiasa. Tunapaswa kuangalia uhalisia wa sasa na nia ya mtu kwa wakati huu. Hapo tunaona ni Kwa kiasi gani siasa za upinzani ulivyotawaliwa na harakati nukuu YERICKO NYERERE

3. Hoja Iliyotolewa Inaonekana Kujaa Chuki:
Kauli ya Mh. Lema haimlengi Humphrey Polepole pekee, bali kwa mtazamo mpana inaweza kuwa dhihaka hata kwa watu waliowahi kukosea na sasa wanatubu au kubadilika — ikiwemo hata wafungwa walioko gerezani. Tunapaswa kujenga jamii yenye msamaha, matumaini, na fursa ya pili.

4. Tunahitaji Mijadala ya Kijenga, Siyo ya Kubomoa:
Tujikite kwenye hoja zenye kujenga taifa na kutafuta suluhisho la changamoto, siyo kurushiana maneno au kujenga mazingira ya chuki. Taifa linahitaji viongozi na wananchi wanaoweza kuunganisha watu
, si kuwagawanya.

Tatizo la CDM uchwara ni hapo kudhani nchi wataikomboa wao tu.

Zaidi ni ubinafsi wa kudhani wengine nao mnofu pia unaweza ukawahusu.

Siasa uchwara hizi huwezi zisikia Kenya.

Kumnanga pole pole bega kwa bega na kina Lucas na Tlaat'laah linapaswa kueleweka kuwa ni jambo la aibu sana!
 
Ukweli ukisemwa upokelewe bila kujali chanzo chake ,kama tukiwaruhu viongozi wa kiasi kuwa mahakimu Kwa namna hii hatuwezi kufika kwenye Tanzania mpya ,kwenye haya mapambano tunahitaji mchango wa Kila moja hat MACCM yenyewe ,,
Ni kweli, lakini mtu kama Polepole sio mtu wa kuaminika. Wakati wa tume ya Warioba aliongea lugha ya wananchi, ila wakati wa Magufuli akageuka kuwa muovu! Mtu anayeweza kugeuka kwa ajili ya maslahi yake binafsi huwezi kumuunga mkono hata afanye zuri gani. Ni dhahiri hawezi kuwa upande wa haki akipata cheo tena. Ni lazima alipie uovu alioulinda wakati wa Magufuli.
 
Wenye akili wanajua huyo kilaza polepole, kwanza mtu mwenyewe kasoma nyerere memorial, lazima atakuwa kilaza tu
Yuko hapa kutafuta fursa, atokee wapi, vidili vyake vya kyuba walikuwa wanatupilia huko, kaamua kujitutumua huku bado anatembea na katiba ya ccm akidhani watampoza na kumpa shavu na yeye...
 
Back
Top Bottom