Zawadi Ngoda
JF-Expert Member
- Aug 13, 2009
- 4,367
- 2,407
Kama mnachotaka ni ikulu tu, sasa nawaelewa watanzania waliogoma kuja ktk maandamano yenu pale mliposhindwa 2020.Tunacho taka ni ikulu na SI vinginevo MENGNE UTAJUA WEWE MANA adui ukimshindwa shirikiana NAE kama lowasa TU ilimladi lengo litimie ALAF mambo MENGNE BADAE
Kwishaaaa
Bro Alex on da beats yoow
Unajua, mtanzania hataki mtu anayetaka ikulu tu, bali anataka kujiridhisha kuwa huyo mtu ana majibu na changamoto zake.
Kwa mantiki hiyo, mtakaa sana bila kuiona Ikulu, mpaka atapopatikana kiongozi wa kutatua changamoto za Watanzania.