GE2025 Lema kumshambulia Polepole ni ujuaji usiokuwa na faida

GE2025 Lema kumshambulia Polepole ni ujuaji usiokuwa na faida

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Hayo machadema ni mapumbavu kupitiliza,alafu yana majungu na wivu usiomithilika.....ni kama CCM tu sema hayana madaraka
Kwa kweli ni mabinafsi hatari hata ukiamua kuisarport lazma itakudisapoint, hayawezi pata urais kwenye hii nchi yakiendelea hivi
 
Great thinkers wa JF wana discus taarifa ya 2021 wakifikiri ni ya 2025. Gen Z wa Kenya wakiwadharau ni sahihi.
Kwanini usijiridhishe kwanza kabla ya kulaumu?

Kwa taarifa yenu Lema kampongeza Polepole

Huyo mwanzilishi wa Post kaokota video ya 2021 anataka muamini ni ya juzi.
 
Hakuna mtu wa kuokotwa kirahisi tena. Wakati Polepole anajenga siasa hizi za kishenzi tulipiga kelele sana lakini alikuwa anatubeza. Leo tumefika sehemu aliyataka tufike kisha anakuja kujifanya hakubaliani na hayo. Tutakuwa wajinga kama tutamuunga mkono mtu aliyekuwa mtesi wetu bila kumwambia kinagaubaga kuwa yeye ni muhusika wa hali hii.

Tunajua kaongea ukweli, lakini hiyo haitufanyi tumuone ni shujaa na kulipuka kumuunga mkono. Tunajua ni mtu anayecheza na upepo kwa maslahi yake binafsi.
Umesema vyema kabisa. Siku zote tunaaswa kuangalia tulipojikwaa badala ya kusumbuka na tulipoangukia.

Kama isemwavyo pia: talk is cheap. Watu kama Polepole ambao bado wana mning'inio (hangover) wa utawala wa awamu ya tano (reign of terror) ni wa kuangaliwa kwa tahadhari kubwa sana. Legacy yake tunaiona ikiendelezwa awamu hii. Labda kwanza akiri makosa makubwa aliyofanya na wenzake awamu ile na kuahidi kutotumika kurejesha ushenzi ule tena ndipo apate uhalali wa kukosoa yanayoendelea sasa.
 
Msimamo Wangu Kuhusu Kauli ya Mh. Lema Dhidi ya Humphrey Polepole

Nimesikitishwa na kauli kali iliyotolewa na Mheshimiwa Lema dhidi ya Humphrey Polepole. Kwa maoni yangu, kauli hiyo haina tija kwa taifa letu wal Kwa sias za upinzani kwa sababu:

1. Tunahitaji Kusonga Mbele, Siyo Kurudi Nyuma:
Kama taifa, tunapaswa kujenga umoja, maridhiano, na mshikamano wa kitaifa. Kufukua historia ya nani alifanya nini huko nyuma hakutatusaidia kujenga taifa lenye umoja. Kila mtu anapaswa kupewa nafasi ya kubadilika na kuchangia maendeleo ya nchi.

2. Kila Mtu Ana Haki ya Kusimamia Ukweli:
Iwapo mtu yuko tayari kusimamia ukweli, haki, na maslahi ya taifa — basi anastahili kuungwa mkono bila kujali historia yake ya kisiasa. Tunapaswa kuangalia uhalisia wa sasa na nia ya mtu kwa wakati huu. Hapo tunaona ni Kwa kiasi gani siasa za upinzani ulivyotawaliwa na harakati nukuu YERICKO NYERERE

3. Hoja Iliyotolewa Inaonekana Kujaa Chuki:
Kauli ya Mh. Lema haimlengi Humphrey Polepole pekee, bali kwa mtazamo mpana inaweza kuwa dhihaka hata kwa watu waliowahi kukosea na sasa wanatubu au kubadilika — ikiwemo hata wafungwa walioko gerezani. Tunapaswa kujenga jamii yenye msamaha, matumaini, na fursa ya pili.

4. Tunahitaji Mijadala ya Kijenga, Siyo ya Kubomoa:
Tujikite kwenye hoja zenye kujenga taifa na kutafuta suluhisho la changamoto, siyo kurushiana maneno au kujenga mazingira ya chuki. Taifa linahitaji viongozi na wananchi wanaoweza kuunganisha watu, si kuwagawanya.
Nani alikwambia Polepole anaipigania nchi mkuu?
 
Hakuna mtu wa kuokotwa kirahisi tena. Wakati Polepole anajenga siasa hizi za kishenzi tulipiga kelele sana lakini alikuwa anatubeza. Leo tumefika sehemu aliyataka tufike kisha anakuja kujifanya hakubaliani na hayo. Tutakuwa wajinga kama tutamuunga mkono mtu aliyekuwa mtesi wetu bila kumwambia kinagaubaga kuwa yeye ni muhusika wa hali hii.

Tunajua kaongea ukweli, lakini hiyo haitufanyi tumuone ni shujaa na kulipuka kumuunga mkono. Tunajua ni mtu anayecheza na upepo kwa maslahi yake binafsi.
Mzee Pascal Mayalla anamfananisha Polepole na Mtume Paulo wa biblia aliyekuwa hapo awali akiitwa Sauli akiwa muuaji kabla ya baadae kuokoka na kutubu.
 
Juzi tu Mbowe alimsema lema kuwa hafai, eehee mlijibu nini ?
 
ana halki ya kumshambulia maana alikuwa sehemu tena ya mbele katika kujenga maovu haya anayoysema leo
Mbona hata yeye Lema aliwahikumsema Lowassa ni fisadi na ana ushahidi wa ufisadi the end of the day huyu huyu Tena akampokea chamani na kuanza kumsafisha
 
Nimesikitishwa na kauli kali iliyotolewa na Mheshimiwa Lema dhidi ya Humphrey Polepole. Kwa maoni yangu, kauli hiyo haina tija kwa taifa letu wal Kwa sias za upinzani kwa sababu
uTASIKITISHWA SANAA.
Kifupi, ni mwendawazimu tu ndie anaweza kumsifia mchawi aliyemdhuru mtoto wake.
Mmejeruhiwa na Polepole na kundi lake 2020, wabunge wamepatikana kwa uhuni kabisa. Wote mlililalamika hilo. Leo mnaweka wapi nyuso zenu kumsifia Polepole.

CHADEMA ni wepesi sana kusahau.
 
Kutoa sumu ni maslahi binafsi ina mchango gani Kwenye agenda yetu ya msingi ,,
Iwe leo au Zamani haijalishi. Lema kampambanua Polepole alivyo, Tabia yake, hisia zake, ujinga wake, u-kihiyo wake, uhuni wake, ukatili wake, uroho wake na .............

Kwa hiyo suala la Leo au zamani halina mashiko.
 
Anacho kifanya Lema ananifikirisha yasije kua kama ya mbowe na dira ya maendeleo. Usralitiiiiiiiiiiiiii. Nawa penga kamasi pyeeeeeeeeeeeeeeeee
Yaani mmeshasahau alivyowatenda Polepole mwaka 2020.
CHADEMA kumbe ni wa kuwatandika tu na kesho ukiwasifia kidogo tu wanakuunga mkono. Ni chama cha kuunga unga tu.
 
Yaani mmeshasahau alivyowatenda Polepole mwaka 2020.
CHADEMA kumbe ni wa kuwatandika tu na kesho ukiwasifia kidogo tu wanakuunga mkono. Ni chama cha kuunga unga tu.
Machadema hii nchi hamji kuongoza bora aendelee samia tuu.. Mitano tena
 
Yaani mmeshasahau alivyowatenda Polepole mwaka 2020.
CHADEMA kumbe ni wa kuwatandika tu na kesho ukiwasifia kidogo tu wanakuunga mkono. Ni chama cha kuunga unga tu.
Tunacho taka ni ikulu na SI vinginevo MENGNE UTAJUA WEWE MANA adui ukimshindwa shirikiana NAE kama lowasa TU ilimladi lengo litimie ALAF mambo MENGNE BADAE


Kwishaaaa

Bro Alex on da beats yoow
 
Back
Top Bottom