GE2025 Lema kumshambulia Polepole ni ujuaji usiokuwa na faida

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Hakuna mtu wa kuokotwa kirahisi tena. Wakati Polepole anajenga siasa hizi za kishenzi tulipiga kelele sana lakini alikuwa anatubeza. Leo tumefika sehemu aliyataka tufike kisha anakuja kujifanya hakubaliani na hayo. Tutakuwa wajinga kama tutamuunga mkono mtu aliyekuwa mtesi wetu bila kumwambia kinagaubaga kuwa yeye ni muhusika wa hali hii.

Tunajua kaongea ukweli, lakini hiyo haitufanyi tumuone ni shujaa na kulipuka kumuunga mkono. Tunajua ni mtu anayecheza na upepo kwa maslahi yake binafsi.
Sian cha kuongeza umemaliza muraaaaa
 
Wenye akili wanajua huyo kilaza polepole, kwanza mtu mwenyewe kasoma nyerere memorial, lazima atakuwa kilaza tu
Yuko hapa kutafuta fursa, atokee wapi, vidili vyake vya kyuba walikuwa wanatupilia huko, kaamua kujitutumua huku bado anatembea na katiba ya ccm akidhani watampoza na kumpa shavu na yeye...
Polepole amesoma pia UDSM kabla ya Mwalimu Nyerere Memorial ...
Usikurupuke kabla ya kufuatilia.
 
4. Tunahitaji Mijadala ya Kijenga, Siyo ya Kubomoa:
Tujikite kwenye hoja zenye kujenga taifa na kutafuta suluhisho la changamoto, siyo kurushiana maneno au kujenga mazingira ya chuki. Taifa linahitaji viongozi na wananchi wanaoweza kuunganisha watu
, si kuwagawanya.
Nime rashia rashia tu haraka haraka kukusoma mada yako hii ambayo imejaa malalamiko.
Historia ni historia tu, huwezi kuifuta. Inaposemwa usione unasutwa; kubali makosa uliyofanya na yajutie kweli watu wajue umeachana nayo.
Lakini usiende kujiweka juu, sasa uonekane wewe ni malaika, ndiye mwenye kuonya wengine, hata wale ulio waumiza.
Kuwa mpole na mnyenyekevu, watu watakusamehe wenyewe, bila ya shurti.
Huna chochote cha kudai' baada ya kuwaumiza watu, eti wasikumbuke uovu wako, watazame tu umalaika wako mpya.

Mkuu, huna lolote la kudai, ukisha umiza wenzio. Acha wao ndio watakaoona kama unafaa kusamehewa, huna haki ya kuwadai.

Leo hii unataka kesho Samia, kwa ulaghai tu, akimwachia Tundu Lissu, watu waanze kusahau ushetani huu aliomfanyia Lissu?
Hizi tabia za kinafiki ndizo zilizo tufikisha hapa tulipo sasa. Ni wakati wa kuachana nazo sasa.
 
Huenda mimi ni mmoja wa wachache walioshindwa kuelewa unasimamia Nini.
Polepole kama mtu wa Tanzania ametoa maoni yake kuhusu Hali ya nchi ilipo leo,..wewe kama mtanzania mpinge kwa hoja .. JE ANAYOSEMA YANA UKWELI AU LA ?
Aliyosema yana ukweli, lakini yeye ni sehemu ya waliopandikiza siasa hizi chafu hapa nchini.
 
Na mbaya zaidi, hana lolote linalomwonyesha anatambua umuhimu wa "NO REFORM, NO ELECTION"; mchango wake unaishia huko huko ndani ya chama chake, na siyo juu ya taifa zima la Tanzania.

Anapigania "maslahi" ya chama chao.
 
Tusiwe wepesi wa kuhukumu bali tuwe tayari kusikiliza, kuelewa, na kusaidia kujenga Tanzania mpya yenye mshikamano na matumaini.sas tukianza kuwa tenga watu ety we pole pole sogea mpembeni hufai kwasababu ulishiriki kutengeneza haya tutafika kweli ? WE Fulani hautafi kwasababu wewe ni ccm , kubwa mtu awe na Nia ya dhati ya kusema ukweli na kuleta mabadiliko ,,
Ndio ukweli
 
Msimamo Wangu Kuhusu Kauli ya Mh. Lema Dhidi ya Humphrey Polepole

Nimesikitishwa na kauli kali iliyotolewa na Mheshimiwa Lema dhidi ya Humphrey Polepole. Kwa maoni yangu, kauli hiyo haina tija kwa taifa letu wal Kwa sias za upinzani kwa sababu:

1. Tunahitaji Kusonga Mbele, Siyo Kurudi Nyuma:
Kama taifa, tunapaswa kujenga umoja, maridhiano, na mshikamano wa kitaifa. Kufukua historia ya nani alifanya nini huko nyuma hakutatusaidia kujenga taifa lenye umoja. Kila mtu anapaswa kupewa nafasi ya kubadilika na kuchangia maendeleo ya nchi.

2. Kila Mtu Ana Haki ya Kusimamia Ukweli:
Iwapo mtu yuko tayari kusimamia ukweli, haki, na maslahi ya taifa — basi anastahili kuungwa mkono bila kujali historia yake ya kisiasa. Tunapaswa kuangalia uhalisia wa sasa na nia ya mtu kwa wakati huu. Hapo tunaona ni Kwa kiasi gani siasa za upinzani ulivyotawaliwa na harakati nukuu YERICKO NYERERE

3. Hoja Iliyotolewa Inaonekana Kujaa Chuki:
Kauli ya Mh. Lema haimlengi Humphrey Polepole pekee, bali kwa mtazamo mpana inaweza kuwa dhihaka hata kwa watu waliowahi kukosea na sasa wanatubu au kubadilika — ikiwemo hata wafungwa walioko gerezani. Tunapaswa kujenga jamii yenye msamaha, matumaini, na fursa ya pili.

4. Tunahitaji Mijadala ya Kijenga, Siyo ya Kubomoa:
Tujikite kwenye hoja zenye kujenga taifa na kutafuta suluhisho la changamoto, siyo kurushiana maneno au kujenga mazingira ya chuki. Taifa linahitaji viongozi na wananchi wanaoweza kuunganisha watu
, si kuwagawanya.
when God want to destroy someone,make the them mad first
 
..unasema tunapaswa kujenga jamii yenye msamaha.

..Sasa ni lini Polepole ameomba msamaha, na kwa jambo gani, ili tumsamehe?

..mchakato wa kumpata mgombea wa Ccm hauna faida kuliko michakato ya kupata madiwani, wabunge, na raisi.

..Polepole anapigania michakato ya Ccm badala ya kudai REFORMS katika michakato muhimu zaidi ya kitaifa.
 
Unayajua matendo waliofanyiwa CHADEMA na hao akina Polepole na kundi lake wakati wa Joni?Muache Lema atoe sumu.
Polepole kimemuuma kakosa pesa za kiinua mgongo Bungeni ndiomana Kaukacha Ubalozi !!!

Rais ndio kamchomoa Ubunge kampeleka Ubalozi !!!

Polepole na kisasi chake kwa Rais ndio kile kamwaga Ugali eti CCM imekosea!!! LEMA yupo sawa kabisa.. Polepole kakwama kwenye tope. Mwacheni kwanza sisi wakulima mwenyewe tumekasilika sana. Kumuusu.!!
 
Msimamo Wangu Kuhusu Kauli ya Mh. Lema Dhidi ya Humphrey Polepole

Nimesikitishwa na kauli kali iliyotolewa na Mheshimiwa Lema dhidi ya Humphrey Polepole. Kwa maoni yangu, kauli hiyo haina tija kwa taifa letu wal Kwa sias za upinzani kwa sababu:

1. Tunahitaji Kusonga Mbele, Siyo Kurudi Nyuma:
Kama taifa, tunapaswa kujenga umoja, maridhiano, na mshikamano wa kitaifa. Kufukua historia ya nani alifanya nini huko nyuma hakutatusaidia kujenga taifa lenye umoja. Kila mtu anapaswa kupewa nafasi ya kubadilika na kuchangia maendeleo ya nchi.

2. Kila Mtu Ana Haki ya Kusimamia Ukweli:
Iwapo mtu yuko tayari kusimamia ukweli, haki, na maslahi ya taifa — basi anastahili kuungwa mkono bila kujali historia yake ya kisiasa. Tunapaswa kuangalia uhalisia wa sasa na nia ya mtu kwa wakati huu. Hapo tunaona ni Kwa kiasi gani siasa za upinzani ulivyotawaliwa na harakati nukuu YERICKO NYERERE

3. Hoja Iliyotolewa Inaonekana Kujaa Chuki:
Kauli ya Mh. Lema haimlengi Humphrey Polepole pekee, bali kwa mtazamo mpana inaweza kuwa dhihaka hata kwa watu waliowahi kukosea na sasa wanatubu au kubadilika — ikiwemo hata wafungwa walioko gerezani. Tunapaswa kujenga jamii yenye msamaha, matumaini, na fursa ya pili.

4. Tunahitaji Mijadala ya Kijenga, Siyo ya Kubomoa:
Tujikite kwenye hoja zenye kujenga taifa na kutafuta suluhisho la changamoto, siyo kurushiana maneno au kujenga mazingira ya chuki. Taifa linahitaji viongozi na wananchi wanaoweza kuunganisha watu
, si kuwagawanya.
Umekurupuka,
IMG_6822.jpeg
 
Ila watanzania ni wajinga Sana Kama mtoa mada. Wazushi wanawawekea clip ya zamani Sana ya maneno ya Lema dhidi ya Pole pole nawe umeingia kingi kuona ni taarifa ya Jana. Fanya utafiti kabla ya kuropoka.
 
Kila mtu ana haki ya kubadilika na kuwa bora zaidi. Polepole aungwe mkono, kataa mgombea haram!
 
Msimamo Wangu Kuhusu Kauli ya Mh. Lema Dhidi ya Humphrey Polepole

Nimesikitishwa na kauli kali iliyotolewa na Mheshimiwa Lema dhidi ya Humphrey Polepole. Kwa maoni yangu, kauli hiyo haina tija kwa taifa letu wal Kwa sias za upinzani kwa sababu:

1. Tunahitaji Kusonga Mbele, Siyo Kurudi Nyuma:
Kama taifa, tunapaswa kujenga umoja, maridhiano, na mshikamano wa kitaifa. Kufukua historia ya nani alifanya nini huko nyuma hakutatusaidia kujenga taifa lenye umoja. Kila mtu anapaswa kupewa nafasi ya kubadilika na kuchangia maendeleo ya nchi.

2. Kila Mtu Ana Haki ya Kusimamia Ukweli:
Iwapo mtu yuko tayari kusimamia ukweli, haki, na maslahi ya taifa — basi anastahili kuungwa mkono bila kujali historia yake ya kisiasa. Tunapaswa kuangalia uhalisia wa sasa na nia ya mtu kwa wakati huu. Hapo tunaona ni Kwa kiasi gani siasa za upinzani ulivyotawaliwa na harakati nukuu YERICKO NYERERE

3. Hoja Iliyotolewa Inaonekana Kujaa Chuki:
Kauli ya Mh. Lema haimlengi Humphrey Polepole pekee, bali kwa mtazamo mpana inaweza kuwa dhihaka hata kwa watu waliowahi kukosea na sasa wanatubu au kubadilika — ikiwemo hata wafungwa walioko gerezani. Tunapaswa kujenga jamii yenye msamaha, matumaini, na fursa ya pili.

4. Tunahitaji Mijadala ya Kijenga, Siyo ya Kubomoa:
Tujikite kwenye hoja zenye kujenga taifa na kutafuta suluhisho la changamoto, siyo kurushiana maneno au kujenga mazingira ya chuki. Taifa linahitaji viongozi na wananchi wanaoweza kuunganisha watu
, si kuwagawanya.
Je amejibiwa ? Kama hajajibiwa basi kamuulize mch Msigwa na mwisho njoo hapa tukujuze... Tz ni zaid ya ujuwavyo
 
Tujikite kwenye hoja zenye kujenga taifa na kutafuta suluhisho la changamoto, siyo kurushiana maneno au kujenga mazingira ya chuki. Taifa linahitaji viongozi na wananchi wanaoweza kuunganisha watu, si kuwagawanya.
Sijawahi kumwamini Lema hata kidogo.
Akili yangu inanituma kwamba, "anatumika".
 
Back
Top Bottom