ana halki ya kumshambulia maana alikuwa sehemu tena ya mbele katika kujenga maovu haya anayoysema leoMsimamo Wangu Kuhusu Kauli ya Mh. Lema Dhidi ya Humphrey Polepole
Nimesikitishwa na kauli kali iliyotolewa na Mheshimiwa Lema dhidi ya Humphrey Polepole. Kwa maoni yangu, kauli hiyo haina tija kwa taifa letu wal Kwa sias za upinzani kwa sababu:
1. Tunahitaji Kusonga Mbele, Siyo Kurudi Nyuma:
Kama taifa, tunapaswa kujenga umoja, maridhiano, na mshikamano wa kitaifa. Kufukua historia ya nani alifanya nini huko nyuma hakutatusaidia kujenga taifa lenye umoja. Kila mtu anapaswa kupewa nafasi ya kubadilika na kuchangia maendeleo ya nchi.
2. Kila Mtu Ana Haki ya Kusimamia Ukweli:
Iwapo mtu yuko tayari kusimamia ukweli, haki, na maslahi ya taifa — basi anastahili kuungwa mkono bila kujali historia yake ya kisiasa. Tunapaswa kuangalia uhalisia wa sasa na nia ya mtu kwa wakati huu. Hapo tunaona ni Kwa kiasi gani siasa za upinzani ulivyotawaliwa na harakati nukuu YERICKO NYERERE
3. Hoja Iliyotolewa Inaonekana Kujaa Chuki:
Kauli ya Mh. Lema haimlengi Humphrey Polepole pekee, bali kwa mtazamo mpana inaweza kuwa dhihaka hata kwa watu waliowahi kukosea na sasa wanatubu au kubadilika — ikiwemo hata wafungwa walioko gerezani. Tunapaswa kujenga jamii yenye msamaha, matumaini, na fursa ya pili.
4. Tunahitaji Mijadala ya Kijenga, Siyo ya Kubomoa:
Tujikite kwenye hoja zenye kujenga taifa na kutafuta suluhisho la changamoto, siyo kurushiana maneno au kujenga mazingira ya chuki. Taifa linahitaji viongozi na wananchi wanaoweza kuunganisha watu
, si kuwagawanya.
Kuna mambo yanahusu WANanchi mfano swala la utekejiPolepole anatetea CCM na sio wananchi, Lema sio CCM, hawajibiki kumlinda polepole
Tusiwe wepesi wa kuhukumu bali tuwe tayari kusikiliza, kuelewa, na kusaidia kujenga Tanzania mpya yenye mshikamano na matumaini.sas tukianza kuwa tenga watu ety we pole pole sogea mpembeni hufai kwasababu ulishiriki kutengeneza haya tutafika kweli ? WE Fulani hautafi kwasababu wewe ni ccm , kubwa mtu awe na Nia ya dhati ya kusema ukweli na kuleta mabadiliko ,,ana halki ya kumshambulia maana alikuwa sehemu tena ya mbele katika kujenga maovu haya anayoysema leo
Hakuna mtu wa kuokotwa kirahisi tena. Wakati Polepole anajenga siasa hizi za kishenzi tulipiga kelele sana lakini alikuwa anatubeza. Leo tumefika sehemu aliyataka tufike kisha anakuja kujifanya hakubaliani na hayo. Tutakuwa wajinga kama tutamuunga mkono mtu aliyekuwa mtesi wetu bila kumwambia kinagaubaga kuwa yeye ni muhusika wa hali hii.Tusiwe wepesi wa kuhukumu bali tuwe tayari kusikiliza, kuelewa, na kusaidia kujenga Tanzania mpya yenye mshikamano na matumaini.sas tukianza kuwa tenga watu ety we pole pole sogea mpembeni hufai kwasababu ulishiriki kutengeneza haya tutafika kweli ? WE Fulani hautafi kwasababu wewe ni ccm , kubwa mtu awe na Nia ya dhati ya kusema ukweli na kuleta mabadiliko ,,
Ukweli ukisemwa upokelewe bila kujali chanzo chake ,kama tukiwaruhu viongozi wa kiasi kuwa mahakimu Kwa namna hii hatuwezi kufika kwenye Tanzania mpya ,kwenye haya mapambano tunahitaji mchango wa Kila moja hat MACCM yenyewe ,,Hakuna mtu wa kuokotwa kirahisi tena. Wakati Polepole anajenga siasa hizi za kishenzi tulipiga kelele sana lakini alikuwa anatubeza. Leo tumefika sehemu aliyataka tufike kisha anakuja kujifanya hakubaliani na hayo. Tutakuwa wajinga kama tutamuunga mkono mtu aliyekuwa mtesi wetu bila kumwambia kinagaubaga kuwa yeye ni muhusika wa hali hii.
Tunajua kaongea ukweli, lakini hiyo haitufanyi tumuone ni shujaa na kulipuka kumuunga mkono. Tunajua ni mtu anayecheza na upepo kwa maslahi yake binafsi.
Mwanasiasa ni binadamu tu ambaye anaweza kutathmini matendo yake na kubadilika Kwa maslahi Makubwa ya taifa lake nashauri tu tuangalie matendo yake ya sas kuliko kuhukumu historia yake ,,Polepole ni moja ya watu walioshirikiana na Magufuli kuihujumu Chadema na hadi sasa Polepole ni mwanaccm chama ambacho kinaendelea kuihujumu Chadema.
Msimamo Wangu Kuhusu Kauli ya Mh. Lema Dhidi ya Humphrey Polepole
Nimesikitishwa na kauli kali iliyotolewa na Mheshimiwa Lema dhidi ya Humphrey Polepole. Kwa maoni yangu, kauli hiyo haina tija kwa taifa letu wal Kwa sias za upinzani kwa sababu:
1. Tunahitaji Kusonga Mbele, Siyo Kurudi Nyuma:
Kama taifa, tunapaswa kujenga umoja, maridhiano, na mshikamano wa kitaifa. Kufukua historia ya nani alifanya nini huko nyuma hakutatusaidia kujenga taifa lenye umoja. Kila mtu anapaswa kupewa nafasi ya kubadilika na kuchangia maendeleo ya nchi.
2. Kila Mtu Ana Haki ya Kusimamia Ukweli:
Iwapo mtu yuko tayari kusimamia ukweli, haki, na maslahi ya taifa — basi anastahili kuungwa mkono bila kujali historia yake ya kisiasa. Tunapaswa kuangalia uhalisia wa sasa na nia ya mtu kwa wakati huu. Hapo tunaona ni Kwa kiasi gani siasa za upinzani ulivyotawaliwa na harakati nukuu YERICKO NYERERE
3. Hoja Iliyotolewa Inaonekana Kujaa Chuki:
Kauli ya Mh. Lema haimlengi Humphrey Polepole pekee, bali kwa mtazamo mpana inaweza kuwa dhihaka hata kwa watu waliowahi kukosea na sasa wanatubu au kubadilika — ikiwemo hata wafungwa walioko gerezani. Tunapaswa kujenga jamii yenye msamaha, matumaini, na fursa ya pili.
4. Tunahitaji Mijadala ya Kijenga, Siyo ya Kubomoa:
Tujikite kwenye hoja zenye kujenga taifa na kutafuta suluhisho la changamoto, siyo kurushiana maneno au kujenga mazingira ya chuki. Taifa linahitaji viongozi na wananchi wanaoweza kuunganisha watu
, si kuwagawanya.
Unaweka mambo kirahisi tu utadhani unayajua maumivu waliyoyapitia waathirika/CHADEMA.Mwanasiasa ni binadamu tu ambaye anaweza kutathmini matendo yake na kubadilika Kwa maslahi Makubwa ya taifa lake nashauri tu tuangalie matendo yake ya sas kuliko kuhukumu historia yake ,,
Kutoa sumu ni maslahi binafsi ina mchango gani Kwenye agenda yetu ya msingi ,,Unayajua matendo waliofanyiwa CHADEMA na hao akina Polepole na kundi lake wakati wa Joni?Muache Lema atoe sumu.
Ni kweli, lakini mtu kama Polepole sio mtu wa kuaminika. Wakati wa tume ya Warioba aliongea lugha ya wananchi, ila wakati wa Magufuli akageuka kuwa muovu! Mtu anayeweza kugeuka kwa ajili ya maslahi yake binafsi huwezi kumuunga mkono hata afanye zuri gani. Ni dhahiri hawezi kuwa upande wa haki akipata cheo tena. Ni lazima alipie uovu alioulinda wakati wa Magufuli.Ukweli ukisemwa upokelewe bila kujali chanzo chake ,kama tukiwaruhu viongozi wa kiasi kuwa mahakimu Kwa namna hii hatuwezi kufika kwenye Tanzania mpya ,kwenye haya mapambano tunahitaji mchango wa Kila moja hat MACCM yenyewe ,,
Agenda ya kuteua mgombea wa CCM inamuhusu nini Lema?Kutoa sumu ni maslahi binafsi ina mchango gani Kwenye agenda yetu ya msingi ,,
Ww unayeona Polepole ana agenda muunge mkono, sio lazima aungwe na aliowaumiza.Kutoa sumu ni maslahi binafsi ina mchango gani Kwenye agenda yetu ya msingi ,,