GE2025 Lema kumshambulia Polepole ni ujuaji usiokuwa na faida

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Mnapata sana nguvu kuwa challenge viongozi wa Cdm. Lakini mnakosa courage kuishinikiza serikali na chama tawala kuleta mabadiliko yenye tija. Haisaidii kuisimamia Cdm na kuwaacha waliotufikisha kwenye chuki.
 
Polepole ni moja ya watu walioshirikiana na Magufuli kuihujumu Chadema na hadi sasa Polepole ni mwanaccm chama ambacho kinaendelea kuihujumu Chadema.
Sawa inaweza lakin saiv akisema Kuna utekaji tuseme hapan kwasababu
Mnapata sana nguvu kuwa challenge viongozi wa Cdm. Lakini mnakosa courage kuishinikiza serikali na chama tawala kuleta mabadiliko yenye tija. Haisaidii kuisimamia Cdm na kuwaacha waliotufikisha kwenye chuki.
Akitokea mtu ambaye alikuwa kwenye system akisema Kuna utekaji ina impact zaidi Kwa WANanchi kuliko wanasias wetu wa upinzani ndio maana inavyotokea mtu kam huyo basi hatua za harak na tahadhari huchukiliwa
Angalia kilichotokea Kwa Gwajima
Mm nashangazwa San na huu upofu wa siasa za upinzani kufanya mambo Kwa hisia bila mantiki , walitakiwa kujifunza 2015 Kwa lowasa na impact aliyoleta katika uchaguzi mkuu

Viongozi wengi wa upinzani wanafanya harakati siyo siasa
 
Slow slow Kakosoa ila kachelewa - watu walikufa walitekwa wakati jamaa akiwa na ma vii eiteeee ya kijani.
 
Jee Polepole anaichukuliaje Chadema sasa hivi ? Ukipata jibu basi utaona kwa nini hatuwezi kumuamini Polepole anafanya na anasema anayosema kwa manufaa yake na CCM yake CCM ambayo ni mtesi wa Chadema. Hivi kwa mahali ambapo CCM na dola imeifikisha Chadema kuna siasa tena hapo au kuna ukandamizaji na jee unaweje kujitoa katika ukadamizaji huu bila kufanya harakati? Una upofu wa kuangalia upande wako tu.
 
Ama wewe ni kipofu au kiziwi.
Wapinzani wa kitanzania wanafanya siasa za kistaarabu tena bila vurugu za aina yeyote. Vurugu na fujo zinaletwa na police tena kwa maelekezo maalum. Police ni tatizo la mabadiliko ndani ya Tz.

Kuhusu utekaji, upotezwaji na mauaji hata sasa yanaendelea . Ni juzi tu mwenyekiti wa Bavicha Geita amechukuliwa na so called police. Lakini hayupo vituo vyote. Hiyo utaitaJe kama si utekaji. Ni ujinga kuua watu kwa sababu tu haamini ktk mrengo wako.
 
Unaweza kuwa unajadili video ya zamani ya Lema wakati Polepole kateuliwa mbunge.

Hii ya juzi Lema kampongeza Polepole

Video hii imetumwa upya kupotosha. Iangalie vizuri.
 
Polepole anatetea CCM na sio wananchi, Lema sio CCM, hawajibiki kumlinda polepole
Kwani ccm inaundwa na Mazombie ambao sio wananchi ?

Kwanza hata mimi ningekuwa kwenye nafasi yake nisingewatetea watu ambao wana uchungu na mambo ya simba na yanga kuliko taifa lao.
 
Mwanasiasa ni binadamu tu ambaye anaweza kutathmini matendo yake na kubadilika Kwa maslahi Makubwa ya taifa lake nashauri tu tuangalie matendo yake ya sas kuliko kuhukumu historia yake ,,
Bila kukiri? --- hii propaganda gani mmetumwa mueneze wakuu.

Pelekeni vijijini hizi mbanga
 
Hakika umenena mkuu, na kama ametubu basi tunashukuru kwa nuru aliyoipata tunaomba asirudi kwenye kuunga mkono uovu wowote
 
Vpi sa akiwa mamluki!?
 
No! Lema anajaribu kuhamisha watu mawazo wasahau yy na Heche wameua CHADEMA.
 
Haya ndio mawazo ya Lema. Mnachojadili ni fake na Lema hajamshambulia Polepole
 

Attachments

  • IMG_6822.jpeg
    319.3 KB · Views: 25
Hakika umenena mkuu, na kama ametubu basi tunashukuru kwa nuru aliyoipata tunaomba asirudi kwenye kuunga mkono uovu wowote
Umesoma aliyoandika Lema?

Video wanayojadili watu ni ya 2021 wakati Polepole ni mbunge.
 
Huenda mimi ni mmoja wa wachache walioshindwa kuelewa unasimamia Nini.
Polepole kama mtu wa Tanzania ametoa maoni yake kuhusu Hali ya nchi ilipo leo,..wewe kama mtanzania mpinge kwa hoja .. JE ANAYOSEMA YANA UKWELI AU LA ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…