Sian cha kuongeza umemaliza muraaaaaHakuna mtu wa kuokotwa kirahisi tena. Wakati Polepole anajenga siasa hizi za kishenzi tulipiga kelele sana lakini alikuwa anatubeza. Leo tumefika sehemu aliyataka tufike kisha anakuja kujifanya hakubaliani na hayo. Tutakuwa wajinga kama tutamuunga mkono mtu aliyekuwa mtesi wetu bila kumwambia kinagaubaga kuwa yeye ni muhusika wa hali hii.
Tunajua kaongea ukweli, lakini hiyo haitufanyi tumuone ni shujaa na kulipuka kumuunga mkono. Tunajua ni mtu anayecheza na upepo kwa maslahi yake binafsi.
Polepole amesoma pia UDSM kabla ya Mwalimu Nyerere Memorial ...Wenye akili wanajua huyo kilaza polepole, kwanza mtu mwenyewe kasoma nyerere memorial, lazima atakuwa kilaza tu
Yuko hapa kutafuta fursa, atokee wapi, vidili vyake vya kyuba walikuwa wanatupilia huko, kaamua kujitutumua huku bado anatembea na katiba ya ccm akidhani watampoza na kumpa shavu na yeye...
Yaani mtekaji amestafu kuteka ana kuwa mwema?Kuna mambo yanahusu WANanchi mfano swala la utekeji
Lema ni double agent,Mangi na pesaAnacho kifanya Lema ananifikirisha yasije kua kama ya mbowe na dira ya maendeleo. Usralitiiiiiiiiiiiiii. Nawa penga kamasi pyeeeeeeeeeeeeeeeee
Nime rashia rashia tu haraka haraka kukusoma mada yako hii ambayo imejaa malalamiko.4. Tunahitaji Mijadala ya Kijenga, Siyo ya Kubomoa:
Tujikite kwenye hoja zenye kujenga taifa na kutafuta suluhisho la changamoto, siyo kurushiana maneno au kujenga mazingira ya chuki. Taifa linahitaji viongozi na wananchi wanaoweza kuunganisha watu
, si kuwagawanya.
Aliyosema yana ukweli, lakini yeye ni sehemu ya waliopandikiza siasa hizi chafu hapa nchini.Huenda mimi ni mmoja wa wachache walioshindwa kuelewa unasimamia Nini.
Polepole kama mtu wa Tanzania ametoa maoni yake kuhusu Hali ya nchi ilipo leo,..wewe kama mtanzania mpinge kwa hoja .. JE ANAYOSEMA YANA UKWELI AU LA ?
Kama ajenda hiyo itawavuruga vichwa watenda maovu, ni nafuu kwa kila mpenda haki ndani ya taifa hili.Agenda ya kuteua mgombea wa CCM inamuhusu nini Lema?
Na mbaya zaidi, hana lolote linalomwonyesha anatambua umuhimu wa "NO REFORM, NO ELECTION"; mchango wake unaishia huko huko ndani ya chama chake, na siyo juu ya taifa zima la Tanzania.Aliyosema yana ukweli, lakini yeye ni sehemu ya waliopandikiza siasa hizi chafu hapa nchini.
Ndio ukweliTusiwe wepesi wa kuhukumu bali tuwe tayari kusikiliza, kuelewa, na kusaidia kujenga Tanzania mpya yenye mshikamano na matumaini.sas tukianza kuwa tenga watu ety we pole pole sogea mpembeni hufai kwasababu ulishiriki kutengeneza haya tutafika kweli ? WE Fulani hautafi kwasababu wewe ni ccm , kubwa mtu awe na Nia ya dhati ya kusema ukweli na kuleta mabadiliko ,,
when God want to destroy someone,make the them mad firstMsimamo Wangu Kuhusu Kauli ya Mh. Lema Dhidi ya Humphrey Polepole
Nimesikitishwa na kauli kali iliyotolewa na Mheshimiwa Lema dhidi ya Humphrey Polepole. Kwa maoni yangu, kauli hiyo haina tija kwa taifa letu wal Kwa sias za upinzani kwa sababu:
1. Tunahitaji Kusonga Mbele, Siyo Kurudi Nyuma:
Kama taifa, tunapaswa kujenga umoja, maridhiano, na mshikamano wa kitaifa. Kufukua historia ya nani alifanya nini huko nyuma hakutatusaidia kujenga taifa lenye umoja. Kila mtu anapaswa kupewa nafasi ya kubadilika na kuchangia maendeleo ya nchi.
2. Kila Mtu Ana Haki ya Kusimamia Ukweli:
Iwapo mtu yuko tayari kusimamia ukweli, haki, na maslahi ya taifa — basi anastahili kuungwa mkono bila kujali historia yake ya kisiasa. Tunapaswa kuangalia uhalisia wa sasa na nia ya mtu kwa wakati huu. Hapo tunaona ni Kwa kiasi gani siasa za upinzani ulivyotawaliwa na harakati nukuu YERICKO NYERERE
3. Hoja Iliyotolewa Inaonekana Kujaa Chuki:
Kauli ya Mh. Lema haimlengi Humphrey Polepole pekee, bali kwa mtazamo mpana inaweza kuwa dhihaka hata kwa watu waliowahi kukosea na sasa wanatubu au kubadilika — ikiwemo hata wafungwa walioko gerezani. Tunapaswa kujenga jamii yenye msamaha, matumaini, na fursa ya pili.
4. Tunahitaji Mijadala ya Kijenga, Siyo ya Kubomoa:
Tujikite kwenye hoja zenye kujenga taifa na kutafuta suluhisho la changamoto, siyo kurushiana maneno au kujenga mazingira ya chuki. Taifa linahitaji viongozi na wananchi wanaoweza kuunganisha watu
, si kuwagawanya.
Msimamo Wangu Kuhusu Kauli ya Mh. Lema Dhidi ya Humphrey Polepole

Polepole kimemuuma kakosa pesa za kiinua mgongo Bungeni ndiomana Kaukacha Ubalozi !!!Unayajua matendo waliofanyiwa CHADEMA na hao akina Polepole na kundi lake wakati wa Joni?Muache Lema atoe sumu.
Umekurupuka,Msimamo Wangu Kuhusu Kauli ya Mh. Lema Dhidi ya Humphrey Polepole
Nimesikitishwa na kauli kali iliyotolewa na Mheshimiwa Lema dhidi ya Humphrey Polepole. Kwa maoni yangu, kauli hiyo haina tija kwa taifa letu wal Kwa sias za upinzani kwa sababu:
1. Tunahitaji Kusonga Mbele, Siyo Kurudi Nyuma:
Kama taifa, tunapaswa kujenga umoja, maridhiano, na mshikamano wa kitaifa. Kufukua historia ya nani alifanya nini huko nyuma hakutatusaidia kujenga taifa lenye umoja. Kila mtu anapaswa kupewa nafasi ya kubadilika na kuchangia maendeleo ya nchi.
2. Kila Mtu Ana Haki ya Kusimamia Ukweli:
Iwapo mtu yuko tayari kusimamia ukweli, haki, na maslahi ya taifa — basi anastahili kuungwa mkono bila kujali historia yake ya kisiasa. Tunapaswa kuangalia uhalisia wa sasa na nia ya mtu kwa wakati huu. Hapo tunaona ni Kwa kiasi gani siasa za upinzani ulivyotawaliwa na harakati nukuu YERICKO NYERERE
3. Hoja Iliyotolewa Inaonekana Kujaa Chuki:
Kauli ya Mh. Lema haimlengi Humphrey Polepole pekee, bali kwa mtazamo mpana inaweza kuwa dhihaka hata kwa watu waliowahi kukosea na sasa wanatubu au kubadilika — ikiwemo hata wafungwa walioko gerezani. Tunapaswa kujenga jamii yenye msamaha, matumaini, na fursa ya pili.
4. Tunahitaji Mijadala ya Kijenga, Siyo ya Kubomoa:
Tujikite kwenye hoja zenye kujenga taifa na kutafuta suluhisho la changamoto, siyo kurushiana maneno au kujenga mazingira ya chuki. Taifa linahitaji viongozi na wananchi wanaoweza kuunganisha watu
, si kuwagawanya.
Mimi nimereply comment hiyo sijaliona bandiko la lema kiongoziUmesoma aliyoandika Lema?
Video wanayojadili watu ni ya 2021 wakati Polepole ni mbunge.
Je amejibiwa ? Kama hajajibiwa basi kamuulize mch Msigwa na mwisho njoo hapa tukujuze... Tz ni zaid ya ujuwavyoMsimamo Wangu Kuhusu Kauli ya Mh. Lema Dhidi ya Humphrey Polepole

Sijawahi kumwamini Lema hata kidogo.Msimamo Wangu Kuhusu Kauli ya Mh. Lema Dhidi ya Humphrey Polepole

Tujikite kwenye hoja zenye kujenga taifa na kutafuta suluhisho la changamoto, siyo kurushiana maneno au kujenga mazingira ya chuki. Taifa linahitaji viongozi na wananchi wanaoweza kuunganisha watu, si kuwagawanya.