GE2025 Lema kumshambulia Polepole ni ujuaji usiokuwa na faida

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Hayo machadema ni mapumbavu kupitiliza,alafu yana majungu na wivu usiomithilika.....ni kama CCM tu sema hayana madaraka
Kwa kweli ni mabinafsi hatari hata ukiamua kuisarport lazma itakudisapoint, hayawezi pata urais kwenye hii nchi yakiendelea hivi
 
Great thinkers wa JF wana discus taarifa ya 2021 wakifikiri ni ya 2025. Gen Z wa Kenya wakiwadharau ni sahihi.
Kwanini usijiridhishe kwanza kabla ya kulaumu?

Kwa taarifa yenu Lema kampongeza Polepole

Huyo mwanzilishi wa Post kaokota video ya 2021 anataka muamini ni ya juzi.
 
Umesema vyema kabisa. Siku zote tunaaswa kuangalia tulipojikwaa badala ya kusumbuka na tulipoangukia.

Kama isemwavyo pia: talk is cheap. Watu kama Polepole ambao bado wana mning'inio (hangover) wa utawala wa awamu ya tano (reign of terror) ni wa kuangaliwa kwa tahadhari kubwa sana. Legacy yake tunaiona ikiendelezwa awamu hii. Labda kwanza akiri makosa makubwa aliyofanya na wenzake awamu ile na kuahidi kutotumika kurejesha ushenzi ule tena ndipo apate uhalali wa kukosoa yanayoendelea sasa.
 
Nani alikwambia Polepole anaipigania nchi mkuu?
 
Mzee Pascal Mayalla anamfananisha Polepole na Mtume Paulo wa biblia aliyekuwa hapo awali akiitwa Sauli akiwa muuaji kabla ya baadae kuokoka na kutubu.
 
Juzi tu Mbowe alimsema lema kuwa hafai, eehee mlijibu nini ?
 
ana halki ya kumshambulia maana alikuwa sehemu tena ya mbele katika kujenga maovu haya anayoysema leo
Mbona hata yeye Lema aliwahikumsema Lowassa ni fisadi na ana ushahidi wa ufisadi the end of the day huyu huyu Tena akampokea chamani na kuanza kumsafisha
 
Nimesikitishwa na kauli kali iliyotolewa na Mheshimiwa Lema dhidi ya Humphrey Polepole. Kwa maoni yangu, kauli hiyo haina tija kwa taifa letu wal Kwa sias za upinzani kwa sababu
uTASIKITISHWA SANAA.
Kifupi, ni mwendawazimu tu ndie anaweza kumsifia mchawi aliyemdhuru mtoto wake.
Mmejeruhiwa na Polepole na kundi lake 2020, wabunge wamepatikana kwa uhuni kabisa. Wote mlililalamika hilo. Leo mnaweka wapi nyuso zenu kumsifia Polepole.

CHADEMA ni wepesi sana kusahau.
 
Kutoa sumu ni maslahi binafsi ina mchango gani Kwenye agenda yetu ya msingi ,,
Iwe leo au Zamani haijalishi. Lema kampambanua Polepole alivyo, Tabia yake, hisia zake, ujinga wake, u-kihiyo wake, uhuni wake, ukatili wake, uroho wake na .............

Kwa hiyo suala la Leo au zamani halina mashiko.
 
Anacho kifanya Lema ananifikirisha yasije kua kama ya mbowe na dira ya maendeleo. Usralitiiiiiiiiiiiiii. Nawa penga kamasi pyeeeeeeeeeeeeeeeee
Yaani mmeshasahau alivyowatenda Polepole mwaka 2020.
CHADEMA kumbe ni wa kuwatandika tu na kesho ukiwasifia kidogo tu wanakuunga mkono. Ni chama cha kuunga unga tu.
 
Yaani mmeshasahau alivyowatenda Polepole mwaka 2020.
CHADEMA kumbe ni wa kuwatandika tu na kesho ukiwasifia kidogo tu wanakuunga mkono. Ni chama cha kuunga unga tu.
Machadema hii nchi hamji kuongoza bora aendelee samia tuu.. Mitano tena
 
Yaani mmeshasahau alivyowatenda Polepole mwaka 2020.
CHADEMA kumbe ni wa kuwatandika tu na kesho ukiwasifia kidogo tu wanakuunga mkono. Ni chama cha kuunga unga tu.
Tunacho taka ni ikulu na SI vinginevo MENGNE UTAJUA WEWE MANA adui ukimshindwa shirikiana NAE kama lowasa TU ilimladi lengo litimie ALAF mambo MENGNE BADAE


Kwishaaaa

Bro Alex on da beats yoow
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…