Zawadi Ngoda
JF-Expert Member
- Aug 13, 2009
- 4,367
- 2,407
Kama mnachotaka ni ikulu tu, sasa nawaelewa watanzania waliogoma kuja ktk maandamano yenu pale mliposhindwa 2020.Tunacho taka ni ikulu na SI vinginevo MENGNE UTAJUA WEWE MANA adui ukimshindwa shirikiana NAE kama lowasa TU ilimladi lengo litimie ALAF mambo MENGNE BADAE
Kwishaaaa
Bro Alex on da beats yoow
KAka SAMAHAN NAOMBA niulize, WEWE ni mchekeshaji WA cheka TU? Unachekesha na kusikitisha HIVI CHANGAMOTO zao zitatatuliwaje ilihali tuko NJE ya mfumo...... Ndani Kuna moto una Waka unaniambia niuzime ilihali nipo NJE, nifungulie niingie ndani nijue nauzimajeKama mnachotaka ni ikulu tu, sasa nawaelewa watanzania waliogoma kuja ktk maandamano yenu pale mliposhindwa 2020.
Unajua, mtanzania hataki mtu anayetaka ikulu tu, bali anataka kujiridhisha kuwa huyo mtu ana majibu na changamoto zake.
Kwa mantiki hiyo, mtakaa sana bila kuiona Ikulu, mpaka atapopatikana kiongozi wa kutatua changamoto za Watanzania.
CCM wa leo anaweza kuwa CHADEMA wa kesho. Mleta mada tuko pamojaTusiwe wepesi wa kuhukumu bali tuwe tayari kusikiliza, kuelewa, na kusaidia kujenga Tanzania mpya yenye mshikamano na matumaini.sas tukianza kuwa tenga watu ety we pole pole sogea mpembeni hufai kwasababu ulishiriki kutengeneza haya tutafika kweli ? WE Fulani hautafi kwasababu wewe ni ccm , kubwa mtu awe na Nia ya dhati ya kusema ukweli na kuleta mabadiliko ,,
Kuvuta BangiLema ana uheshimiwa gani?
Ikulu si sehemu ya majaribio. Kama mnashindwa kuwaelewesha wananchi mtafanya nini, ni bora mkae pembeni. Kwa njia hiyo ikulu hamuioni kabisa.KAka SAMAHAN NAOMBA niulize, WEWE ni mchekeshaji WA cheka TU? Unachekesha na kusikitisha HIVI CHANGAMOTO zao zitatatuliwaje ilihali tuko NJE ya mfumo...... Ndani Kuna moto una Waka unaniambia niuzime ilihali nipo NJE, nifungulie niingie ndani nijue nauzimaje
Kwishaaaaa
Bro Alex on da beats yoow