Tetesi: Lema kutimkia CCM

Sio lema uyu , labda lema punguani , mpumbavu copy ya lema original ninae mfaham kutoka chadema ,

Lema anaweza achana na chadema ila hawezi jiunga ccm bali achana na siasa na kufanya mambo yake ,Msigwa nina mashaka naye anaweza kwa kipindi ichi simwelewi.

La mwisho anaye taka kuondoka aondoke bwana ,chadema ni taasisi siyo mtu wameondoka wangapi ,potelea pote ,pumbavu
 
Propaganda za kijinga sana tena duni mno! Tangu uingie JF wewe ni tetesi tu, hivi hujawahi kuwa na habari zingine?

Hakika ccm ina vijana Wajinga sana!

Sasa hapa unatafuta Posho au unataka "LIKE" za jf?

View attachment 3018892
Jinga sana hili, mkuu, so kwa akili yake anafikili chadema ni Mbowe , lissu ,lemma , mnyika ,msigwa n.k chadema ni taasisi ukitaka ondoka ondoka kwani wameondoka wangapi? Tofaut na ccm inayotegemea watu ili kuendelea sikika
 
Alafu nipo na angalizo kwa machawa wote wa ccm

Naomba machawa wote wa ccm mjikite kwenye tuhuma nzito kwa taifa husu sukari ambayo binfsi nitaipa jina la sukari ya Magendo na uhujumi uchumi wa nchi ,machawa tunataka utetezi wenu kwa hili ,msile pesa ya bure hapa
 
political dynamics is living spirit...

hana haja ya kutubu mahali popote, wala hana haja ya kuwajibika kwa yeyote kwenye suala la uhuru na haki yake ya msingi kikatiba kufanya siasa kwenye chama chochote πŸ’
 
Kwani tangu kalisit na Milya na nasari watimkie ccm Nini kimebafilika dogo!

Ndo kwanza mpina anasema Ikulu imetoa vibali vya sukari kifisadi

Wazabuni wa serekali wakiwemo wa tanroad hawajalipwa tangu january
Yaani hali mbaya sana wakandarasi na wazabuni wanapumulia mashine fikiria bajeti imesomwa ya 2025/2026 lakini watu hawajalipwa kazi za bajeti iliyopita huko hazina yaelekea kumekauka ukizungumza na wakandarasi wanaambiwa na Tanroads/Tarura pesa hakuna sasa sijui zabuni zinatangazwa za nini
 
theories must be critisised by theories, not mihemko conclusions kamanda πŸ’
Sasa wewe theories zako ni zipi kama sio za kijinga na uchawa badilika , ulizaliwa peke yako ,utakufa na kuzikwa peke yako cha msingi angalia nini umeacha kwa vizazi vyako ,watu mia 300 tu ndo wanakula nchi ndani ya ccm nyie kazi yenu kata viuno tu, namanisha mfano anakuja mbunge na waziri kwenye jimbo lako ,fanya mkutano yupo na v8 nyie mnabebana kwenye roli, fuso ,mkokoten ,ndo kukata viuno namanisha mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…