Lema, Lissu, kulikoni tena mbona Rais Samia anaenda Marekani?

Itaanza wewe kabla yangu miovu yote huwa inatangulia check Lissu anadunda yule aliyesema " tunapekuwa msg zake this is government" Yuko inside coffin
Shetani yupo hadi leo ila Mitume imetangulia.
 
Una Elimu mdogo sana !Kilicho zungumzwa na LISSU hakihusiani na Umoja wa mataifa.Nilikuwa nakuona msomi kumbe zero tu.Rudi shule mkuu
Arudi shule akasomee nini maana elimu haina mwisho.
 
Nimeshangaa Ritz kutokufahamu hilo.
 
Kimsingi Mama (au washiriki wote wa mkutano huo ) wanakwenda UN na sio Marekani. Ni vigumu kuelewa hilo, lakini katika mkataba wa kuanzishwa na kukubaliana kujengwa kwa ofisi zake huko marekani limekaa hivyo. Kuwa Marekani haitaingilia maamuzi ya nani aje na nani asije huko, kwani haalikwi na marekani bali na UN. Soma vizuri mkataba huo kabla ya kuandika zaidi.

Hata wiki iliyopita, mkuu wa mkoa wa N. york aliweka sherti kuwa wakuu wa nchi wote wataoingia katika mkutano huo lazima wawe wamechanjwa. Bolisonero- Raisi wa Brazil alisema hatachanjwa na atakwenda. Mkuu wa UN akasema, UN haina jukumu wala haifikirii kuweka sharti la kuchanjwa ili kushiriki katika mkutano huo. Akaongeza kuwa hilo ni jukumu la wakuu wenyewe. Na Bolisonero atakuwepo huko, jiulize kwanini?
 
Dogo UN haina haja kuzuia kigagula kuingua usa, hata yule aliyempindua alfa conde atahudhuria,
 
Lema vipi bunge lenu la katiba kule space linaendelea?
 
"Nimeamua kuhudhuria mkutano huu wa 76 wa Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa na hii ni safari yangu ya kwanza nje ya mipaka ya Afrika kwasababu nina amini katika ushirikiano wetu kwenye kutatua changamoto mbalimbali zinazoikabili Dunia yetu"------Rais Samia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…