Lema ni moderate kuwa kwenye chama Cha wanaharakati wa msimamo mkali wanaotumika na Mabeberu ni upumbavu.
Ndio maana wenye akili kina Mbowe na yule Fatuma Karume wameamua kukaa kimya.
Wajiandae kina Mnyika maana nao walishatajwa na Mange sema Mnyika hapendi majibizano na ma hopeless
Sijawahi na Huwa sifanyi mambo ambayo Sina uhakika Wala ushahidi nayo.Leo ndio umejua Mbowe ana akili? Kipindi kile unamtukana ni gaidi na matusi mengine kama hayo hukujua ana akili?. Yote kwa yote nampongeza na kumshukuru Lissu kwa kumstaafisha Mbowe siasa kwa lazima.
Katiba ya Tanzania inaruhusu maandamano bila kufuata utaratibu? KARIBU TUANZIE HAPO.Lema kumbe kichwani hamna kitu kabisa.
Mange kuhamasisha maandamano si kosa kabisa.
Tanzania hakuna kosa la kuhamasisha maandamano kwenye sheria zake.
Katiba ya nchi inaruhusu maandamano.
Mange kuhamasisha watu watumie haki yao ya kikatiba si kosa.
Wanaofanya makosa ni hao wanaoua waandamanaji.
Kuua watu kisa wameandamana haikubaliki hata kidogo.
Lema boya kabisa huyu jamaa.
Kwa nini anawahalalisha wauaji?
Imagine juzi tu alikuwa anawazodoe wananchi kuwa wao ndo tatizo maana hawajataka kutumia nguvu ya umma. Sasa matumizi ya nguvu ya umma si ndo maandamano.Lema kumbe kichwani hamna kitu kabisa.
Mange kuhamasisha maandamano si kosa kabisa.
Tanzania hakuna kosa la kuhamasisha maandamano kwenye sheria zake.
Katiba ya nchi inaruhusu maandamano.
Mange kuhamasisha watu watumie haki yao ya kikatiba si kosa.
Wanaofanya makosa ni hao wanaoua waandamanaji.
Kuua watu kisa wameandamana haikubaliki hata kidogo.
Lema boya kabisa huyu jamaa.
Kwa nini anawahalalisha wauaji?
JE,SHERIA INASEMA UKITAKA KUANDAMANA INGIA TU MTAANI UFANYE MAANDAMANO NA VURUGU. Kwanini tunakwepa kufuata taratibu?Nitofautiane na Lema, Mange haamasishi maandamano bali anawaelekeza watanzania njia mojawapo ya kudai haki ni pamoja na maandamano hasa kwa trajectory ya siasa za sasa za kitanzania kila mtu kabanwa kooni njia pekee ni maandamano tu.
Watanzania wamejitahidi kufanya cancelling culture kwa wasanii , Simba na Yanga na wengine walioshirikiana na wauaji ila wameshindwa hivyo maandamano na migomo ndio njia sahihi hii tumeona hata enzi za chama kimoja kule Kenya , KANU baada ya Moi kuvifuta vyama vingine na kubadili sheria wananchi kupigania haki walibaki na majukwaa mawili ambayo ni midahalo ya chuo kikuu na maandamano ambapo watu kadhaa walikamatwa na kufukuzwa chuo na wengine tuliwapokea hapo Tanzania UDSM wakamalizia masomo yao kama Prof Makau Mutua na wengine wakiwemo wakufunzi na wanataaluma kama Ngungi wa Thiong'o , Willy Mutunga, Prof Anyang Nyon'go ,Elisha Atieno Odhiambo, na wanafunzi wengine kama Miguna Miguna ambao waliomba hifadhi ya muda mfupi Tanzania kabla ya kupokelewa nchi nyingine na kwenda kumalizia masomo yao.
Sasa Tanzania midahalo ya kisiasa vyuo vikuu naambiwa imefutwa kwa sasa kauli ni moja uchawa kwanza ukiwa CHADEMA wewe ni mhaini /gaidi.
Media ziko hoi, mashirika ya haki za binadamu yanaitwa yanafadhiliwa na mabeberu kuchfaua nchi hivyo maandamano ndio karata ya mwisho kufanya madikteta wasikie tumeona hili katika nchi nyingi tu duniani.
Mange yuko sawa kuwakumbusha watanzania kwa kuwapa civic education njia zipi ni sahihi kwa sasa kudai haki yao na ukitaka kuamini maandamano yana nguvu ya mabadiliko ndio maana yakitangazwa policcm wanajaa na mabunduki mitaani na hiyo ndio indicator wananchi wanatakiwa watambue nguvu yao kwamba wao wana nguvu kuliko madikteta na si vinginevyo.
Kawaida mchaga anaangalia "mshiko"Shenzi sana, yeye ambaye ahamasishi maandamano kwa nini yeye na familia yake wanaishi Canada kama wakimbizi wa kisiasa?? Hili jamaa jinga sana
Kazingua Kinyama atapaswa kuwekwa kwenye list ya kupuuzwa kabisa sababu hana content ameishiwa.Lema kumbe kichwani hamna kitu kabisa.
Mange kuhamasisha maandamano si kosa kabisa.
Tanzania hakuna kosa la kuhamasisha maandamano kwenye sheria zake.
Katiba ya nchi inaruhusu maandamano.
Mange kuhamasisha watu watumie haki yao ya kikatiba si kosa.
Wanaofanya makosa ni hao wanaoua waandamanaji.
Kuua watu kisa wameandamana haikubaliki hata kidogo.
Lema boya kabisa huyu jamaa.
Kwa nini anawahalalisha wauaji?
Poleni team Mange!Lema kumbe kichwani hamna kitu kabisa.
Mange kuhamasisha maandamano si kosa kabisa.
Tanzania hakuna kosa la kuhamasisha maandamano kwenye sheria zake.
Katiba ya nchi inaruhusu maandamano.
Mange kuhamasisha watu watumie haki yao ya kikatiba si kosa.
Wanaofanya makosa ni hao wanaoua waandamanaji.
Kuua watu kisa wameandamana haikubaliki hata kidogo.
Lema boya kabisa huyu jamaa.
Kwa nini anawahalalisha wauaji?
Of course kuna taratibu.Katiba ya Tanzania inaruhusu maandamano bila kufuata utaratibu? KARIBU TUANZIE HAPO.
Njaa ya Lema imetoka Tumboni imeenda Kichwani.Mjumbe wa Kamati Kuu ya Godbless Lema amesema anasikitishwa na wanachama wa chama hicho kumwamini Mwanaharakati Mange Kimambi ambaye amedai amekuwa akihamasisha maandamano watu wafe na hashiriki hata misiba ya hao waliofariki
Amehoji hilo leo Novemba 1, 2026 akizungumza na waandishi wa habari jijini Arusha huku akisisitiza kuwa ajenda za Mange kuwa Lema anataka kumpindua Heche sio za kweli zipuuzwe.
View attachment 3702662
Ndugu Nyani Ngabu,He is not that smart.
Wale walikuwa wanawatukana waliobakia South Africa wakipambana?Hivi wale akina Oliver Tambo ambao waliishi ukimbizini kwa miaka mingi tu kipindi cha makaburu, wao walikuwa wanaitwaje? Maana hakukuwepo na huo msamiati wa keyboard warriors enzi hizo….
Baadhi yao waliishi hata Tanzania.