Pua ya zege
JF-Expert Member
- Jul 23, 2013
- 1,941
- 2,081
Nakumbuka mchezo tuliomchezea mwakalebela msigwa akachukua ubunge ndiyo mchezo tuliomchezea msigwa sugu akachukua uwenyekiti wa kanda tafakariChadema ni TAASISI wengi wameondoka kuanzia Kaburu,Kafulila,Kitila,Gekur, Pendo, Zitto etc.....lakini kinadunda tu,ni chuo kizuri cha kupika wana siasa kwa karne hii
β¦β¦maalum ya CCM na Serikali.Chadema ni TAASISI wengi wameondoka kuanzia Kaburu,Kafulila,Kitila,Gekur, Pendo, Zitto etc.....lakini kinadunda tu,ni chuo kizuri cha kupika wana siasa kwa karne hii
It was but msigwa alikataaMsigwa na Meko Mwendazake wameoleana.... Family business?
Nafikiri ni hela tu, wanaangalia wapi kwenye maslahi makubwa na hata kulinda maslahi yao piaUko sahihi sana kwamba Mbowe ni tatizo kubwa sana ndani ya cdm, mbona hao wahamaji hawahamii vyama vingine bali ccm tu?
Aliwahi rubuniwa akasita kwenda maana yake hakuhama na ni mtu mwenye msimamo, bado una hoji misimamo yake?Ni kweli si kila anayehama amenunuliwa, lakini ni nadra utoke upinzani kwenda ccm bila ushawishi wa cheo ama ulaji. Huyo Msigwa ameondoka kwa jazba kwenda ccm ili kubahatisha chochote, maana aliwahi kurubuniwa wakati wa Magufuli lakini akasita kuondoka kwa kukosa ujasiri. Leo hii hana cheo chochotr cdm ameona ni bora akapate kanafasi ccm ili agange maisha.
Lisu hawezi kwenda ccm maana sio mtu wa falsafa za kujipendekeza, na ikitokea akaingia huko ccm ataishia kuwavuruga tu.
Mtaji mkubwa zaidi wa wanasiasa ni UONGO na UNAFIKI...It was but msigwa alikataa
Miye nilishasema miaka yote⦠the day you put your emotions to a politician , is the day you have lost yourself
Siasa ni Kama biashara nyingine⦠ila mtaji wake ni domo na watu
EwaaaaaaaMtaji mkubwa zaidi wa wanasiasa ni UONGO na UNAFIKI...
Lema naye yuko njiani kuhamia ccm ili akafanye kazi na msigwa hapo anazuga tuMwenyekiti wa CHADEMA Kanda ya Kaskazini mh Godbless Lema amesema ameumia sana kuona mchungaji Msigwa anahamia CCM
View attachment 3029988
Lema ametoa machozi akiwa ukurasani X
Pia soma Kuelekea 2025 - Aliyekuwa Mwenyekiti wa CHADEMA, Kanda ya Nyasa, Mchungaji Peter Msigwa ahamia CCM
We una dada mjini? Thubutu yake.... Ulivyo mroho mpaka dada wanageuzwa mabebi....Ewaaaaaaa
Ole wako uwe mwanasiasaβ¦. Hata dada yangu ntamrudisha home
Shika adabu yakoWe una dada mjini? Thubutu yake.... Ulivyo mroho mpaka dada wanageuzwa mabebi....
Kabila mbaya huwa haizeeki....Shika adabu yako
Nyambaaafff ππ
Tushazeeka
aErythrocyte asione hii π
Wahanga wako wanakuzoom tuKabila mbaya huwa haizeeki....
Tisidanganyane... Naendelea kuwalinda dada zangu dhidi mabeberu na makabaila...
Hapana. Nimeshaacha.....Wahanga wako wanakuzoom tu
Endelea kujishtaki
Chama bora π€!
Chadema ni chama chetu wachagaMsigwa na Meko Mwendazake wameoleana.... Family business?
Na wachaga ni wana wa Mungu....Chadema ni chama chetu wachaga
Sisi wachaga hatuwezi muachia kabila lingine aongoze chama wengine ni washetani ππ½Na wachaga ni wana wa Mungu....