Lema: Mh. Rais, Vyama vya siasa sio uadui

......
......ukiongea na LEMA unaongea na Watanzania
 
Ila braza kama umenywea hivi? Sasa wewe ungekuwa unatimiza agizo la upendo ungemtabilia kifo mwenzako.
 
Mpaka kufika miaka mitano, watanzania wote watakuwa wamemchoka bwana huyu mwenye kila dalili ya kuligawa taifa.
 
Lakini Mkuu unakumbuka kuwa kipindi fulan ww na mheshimiwa sana mbunge wa ubungo, bwana Kubenea mlitoa wito kama huo, tena mkaenda mbali zaid kwa kusema kuwa kama una mpenz wako ambae ni mwanaccm usimpe hata unyumba, hata chakula hata chochote atakachohitaji kutoka kwako.

Hivi pale haikuwa kutangaza kuwa siasa ni uadui. Ile haikuwa kumkosea mungu??

Mi nadhan ni vizuri kuwa wakweli katika enzi hizi za habari, information ege.
 
Mungu hatasikia, atafunga masikio asisikie maombi yeyote juu ya mtu huyu, mwenye kuhimiza chuki dhidi ya watu wengine, mashekhe, mapdri na wachungaji muwe makini
 
......

Mh Rais neno la Mungu linasema, Wapendeni maadui zenu, waombeni wanaowauzi , wabarikini wanaowaonea kwani kufanya hivi ni kuishi kwa thawabu za Mwenyezi Mungu.

Mungu akubariki sana, ......


Godbless J Lema (MB)
Hapo hapo !!
====
Kwanza nashukuru kwa kutoa yaliyokuwa moyoni mwako kwa "staha"!
-----
Tunaambiwa, Maneno yanaumba. Ulimi ukitumika vibaya una'bomoa' ; hii ni nadhani imeandikwa kwa vitabu vya sheria za binadamu nadhani na vile vya dini zote mbili kuu hapa nchini.

Pia inasemwa na viongozi wa dini karibu zote kubwa mbili hapa nchini, kuwa, ukijiwa na 'fikra' mbaya ukiwa katika hali yoyote ile basi ukirejea kwenye hali ya kawaida basi, kemea na kisha omba/sali kupitia kwa Mamlaka ya Mungu unayeelekezwa na dini (imani) yako, ili mabaya ya fikra hizo yasikupate ama yasimpate yeyote aliyehusika kwenye fikra hizo.

Kukariri (kwa kuzungumza, kwa kuimba n.k) fikra hizo mbaya, unatoa mwanya wa kuumba(kutekelezeka kwa fikra hizo) kwa kutumia ulimi (maneno). Na hapo utakuwa haujitendei mema kama fikra hizo mbaya zinazokuhusu ama hautendi wema (Upendo) kwa anayehusika na fikra hizo.

Sasa rejea kwa yale yote uliyowahi kufikiria toka Uwe mbunge wa Jimbo la Arusha Mjini mpaka sasa. Je. Fikra zako zote unadhani, kweli, zilikuwa zinakuelekeza kutafuta thawabu kwa Mungu wako kweli ?
 
Anahubiri upendo huku anatamani na kutabiri wenzie wafe.Jifunze kutendea wema wenzio ili na wewe ufaidi mrejesho wa upendo kutoka kwao.
 
Uko sahihi kabisa kamanda,tuko pamoja
Ila huyu rais wetu ni wa kwenda nae taratibu
 
Tatizo Watanzani tumekuwa na uchama hadi myoyoni tunasahau ubinadam.
 
Kama hayo maneno ya Lema ni kweli ya kwake bac binafsi nampuuza na kumuona hana maana maana anahubiri kile asichokiamini wala kukiishi.

Hivi utadumishaje umoja wa kitaifa kama unatabiria wenzako vifo?, hivi mwenzio akikutabiria kwamba utakufa siku fulan tena kwa chuki unadhan utampenda?, ndugu zake je?, rafiki zake je? Hao wote watajisikiaje kama unamtabiria kifo mpendwa wao. Huko si ndio kuhimiza utengano, chuki, dharau na uchochezi?.

Mm si mwanachama wa chama chochote hivyo sikubalian na wanasiasa wanafki wasiotenda wanayoyahubiri majukwaan ili wajipatie umaarufu usio na maana wakati huo huo wakipelekea tafran ama mgawanyiko wa kijamii
 
Serikali wajanja sana. waliondoa rufaa yao ili kuzuia hukumu isisomwe na isiingie kwenye rekodi za mahakama na kurejewa katika mashauri na kesi zingine
It does not help you can still make an application for the Court of appeal to make a review of the same!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…