Lema: Mh. Rais, Vyama vya siasa sio uadui

Sidhani kama ana Muda wa ziada kufanya mambo ya Kijinga kama hayo Urais ni kazi ngumu sana.



Shiiiii ishia hapo hapo ujinga ni kupiga simu Clouds na kumpongeza Diamond kwa watoto au ni kufanya ya msingi
siku zote namlaani aliyependeza hili jina
 
Kamanda tupo nawe na ulipo tupo na ujumbe huu lazima mh ataupata
 
Kamanda tupo nawe na ulipo tupo na ujumbe huu lazima mh ataupata
 
Kamanda tupo nawe na ulipo tupo na ujumbe huu lazima mh ataupata
 
Ila ana muda wa kuangalia clouds TV daily na kupiga simu mara kwa mara na bila kusahau wale wasela wa kipindi cha shilawadu?! Halafu anatuomba tupige magoti tumwombee wakati wao wanahubiri chuki na uzandiki?!

Watanzania wengi wana vipaji vinavyoptea bure kwa kutovifuatilia........






 
Je ni Lema yeye anaruhusiwa kuombea wenzie kifo ? Anahubiri asichokitenda, kati ya watu ambao wanafanya siasa za kupandiki chuki na uchochezi CDM wanaongeza, wako tayari hata kuombea mtu afe ila vivyo hivyo wako vizuri sana ku play victim card. Godbless J Lema acha unafiki.
 
Kamanda tupo nawe na ulipo tupo na ujumbe huu lazima mh ataupata
 
Kamanda tupo nawe na ulipo tupo na ujumbe huu lazima mh ataupata
 
I wish Magufuli angekua active member wa jf......

Ni active member lakini sio verified user, na hawezi kuwa verified kwani hana uwezo kujenga hoja kwenye uwanja huru. Anaweza kujenge hoja na kejeli anapokuwa mbele ya polisi na vyombo vingine vya dola. Umewahi kumuona kwenye midahalo zaidi ya kuhutubia kama kasisi?
 
Huwa najiuliza hivi huyu kiongozi anamuabudu
mungu yupi? Maana kila wakati utamsikia mniombee mniombee!

Labda aombewe kwa Belzebuli.!
 

A hahaha,, nimecheka iyo [HASHTAG]#sitakamatwaKWAujumbeUhuuMFUPI[/HASHTAG]
 
Kauli za huyu Rais wetu awamu hii,ni za hatari mno,sio za kufumbia vinywa hata kidogo.

Ama kweli "mchuma janga hula na wa kwao"...
Naanza kuamini wale waliosema huko nyuma huyu mkulu hayuko njema upstairs.

Lawama zote zimwendee Kikwete


Siku zote namlaumu aliyeteua hili jina sijui alikuwa akimkomoa nani kwa kweli kwanini aliwaacha watu na busara zao ma akili zao leo hii tulitakiwa tuwe tunaongozwa na Mark Mwandosya, Akina Mzee Pinda sasa hili janga hili sijui tutalibeba mbeleko gani kwa kweli...

Mungu tunusuru tunakoelekea siko kabisa
 
πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€,mpiga tumba matata,labda ana certificate ya kupiga tumba toka chuo cha sanaa Bagamoyo kama kipenzi chake aliyepita Bagamoyo chuo cha uvuvi
Watanzania wengi wana vipaji vinavyoptea bure kwa kutovifuatilia........






πŸ˜€πŸ˜€
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…