Ni ajabu kwa mtindo wa kamata kamata za masaa 24 kuendelea hasa kwa viongozi wa upinzani lakini huoni baaada ya masaa hayo hatua kali za kumfikisha mhusika mahakamani zikichukuliwa,Mashirika ya siyo tengeneza faida (n.g.o.'s) katika swala la wanafunzi wajawazito kuendelea na shule bado haya sapoti kauli ya raisi kwa ujumla,mgogoro ndani ya CUF n.k ni vyema serikali ikawa inakaa na makundi yote taasisi,N.G.O.'S,wajasiriamali,vicoba,saccos,Vyama vya siasa n.k ktk Kujua nini mrengo wao na nini mrengo wa serikali nini matatizo yao na yapi matatizo ya serikali na kivipi watashirikiana kutatua ili kuondoa chuki zinazoweza jitokeza pale kauli zinapo pishana au maslahi,HII NDIYO ITAWAHAKIKISHIA WANANCHI NA HASA WAWEKEZAJI UTULIVU WA KISIASA.Tofauti na hii ya sasa waziri Mkuu kuhakikishia wawekezaji kuwa kuna utulivu wa kisiasa kumbe mazingira bado ni hatarishi kila mtu analalamika kmya kimya.
Serikali ijipange katika namna ya kutatua malalamiko ya wanasiasa,wanaharakati,wananchi wa chini,NG.OS,taasisi.
Nimerudi :Financial Economist
facebook samsoni waagano jipya mzee