Lema: Mh. Rais, Vyama vya siasa sio uadui

Lema: Mh. Rais, Vyama vya siasa sio uadui

Unaposema "msitafute" unakikusudia kikundi gani?

Mimi sifungamani na namba yoyote, ni "singularity" kama kugawanya kwa ziro.

Huyo Mama nisiyemjua wala hata kumtaja unamhusishaje na mimi mpaka ukaniwekee habari zake kwenye nukuu ya bandiko langu?

Watu tunamsema ovyo Mungu, nini JPM huyo gubegube ambaye hata Kiswahili hajui?

Uhuru wa wananchi kuwasema vibaya viongozi ni sehemu muhimu ya jamii kuendelea.

Hakuna namna ya kulikwepa hili.
Umepima ukajiridhisha kuwa sijui Kiswahili.Hongera.Kwa aliyelelewa vyema kumsema hovyo si sehemu yenye tija kwa jamii iliyostaarabika.Kwa malezi ya kijiweni kusiko na wazazi kwao hilo ni sahihi.
 
Umepima ukajiridhisha kuwa sijui Kiswahili.Hongera.Kwa aliyelelewa vyema kumsema hovyo si sehemu yenye tija kwa jamii iliyostaarabika.Kwa malezi ya kijiweni kusiko na wazazi kwao hilo ni sahihi.
Kwanza kabisa hujui kusoma. Wapi nimeandika hujui Kiswahili?
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Ni ajabu kwa mtindo wa kamata kamata za masaa 24 kuendelea hasa kwa viongozi wa upinzani lakini huoni baaada ya masaa hayo hatua kali za kumfikisha mhusika mahakamani zikichukuliwa,Mashirika ya siyo tengeneza faida (n.g.o.'s) katika swala la wanafunzi wajawazito kuendelea na shule bado haya sapoti kauli ya raisi kwa ujumla,mgogoro ndani ya CUF n.k ni vyema serikali ikawa inakaa na makundi yote taasisi,N.G.O.'S,wajasiriamali,vicoba,saccos,Vyama vya siasa n.k ktk Kujua nini mrengo wao na nini mrengo wa serikali nini matatizo yao na yapi matatizo ya serikali na kivipi watashirikiana kutatua ili kuondoa chuki zinazoweza jitokeza pale kauli zinapo pishana au maslahi,HII NDIYO ITAWAHAKIKISHIA WANANCHI NA HASA WAWEKEZAJI UTULIVU WA KISIASA.Tofauti na hii ya sasa waziri Mkuu kuhakikishia wawekezaji kuwa kuna utulivu wa kisiasa kumbe mazingira bado ni hatarishi kila mtu analalamika kmya kimya.
Serikali ijipange katika namna ya kutatua malalamiko ya wanasiasa,wanaharakati,wananchi wa chini,NG.OS,taasisi.
Nimerudi :Financial Economist
facebook samsoni waagano jipya mzee
 
Wawekezaji,wafadhili,wageni mbalimbali nk wanaona mchezo unavyochezwa huku serikali ikijidanganya kama mbuni anavyoficha kichwa chake mchangani.
 
Siasa gani z bunduki hizo? Hatutaki banaa.....mbona unaua watu wasio na hatia?? Ili iweje!?? Hatutakii!!! Tunakulaanii....wewe....uliewatuma tunakujua ni aibu sanaa!!! Unakimbilia kanisani mikono imejaa damu isiwe na hatia!!!!
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Kabisa Mkuu! Niombeeni huku akiwa amejawa na chuki na visasi vya kutisha moyoni.

Siasa gani z bunduki hizo? Hatutaki banaa.....mbona unaua watu wasio na hatia?? Ili iweje!?? Hatutakii!!! Tunakulaanii....wewe....uliewatuma tunakujua ni aibu sanaa!!! Unakimbilia kanisani mikono imejaa damu isiwe na hatia!!!!
 
Naona kama kuna mtu haridhishwi na uwepo wa vyama vingi vya kisiasa katika taifa hili

Vyama hivi wakati vinaanzishwa,baba wa taifa aliviunga mkono kwa nguvu zote,na kuna wakati alimpigia kampeni mzee BEN kipindi ambacho mrema alikuwa kamkaba koo

Vyama vingi imekuwa sehemu ya utamaduni na maisha ya watanzania,huwezi kuundoa utamaduni huu,badala ya kuondoa basi ni bora uondoke wewe,taifa ni muhimu kuliko mtu mmoja,na taifa limeamua kwamba vyama vingi viwepo
 
Mungu mwenyewe ana upinzani wa Shetani itakuwa hili lijamaa, linataka watu wote tulingane mawazo, hata Mume na mke au wazazi na watoto hawawezi kulingana mawazo, Mungu mwenyewe hajamuua Shetani kwani hana uwezo, yaani nimelichukia kuliko nduli idd amin
 
amani iwe nanyi,.naona sasa serikali ya ccm imelewa madaraka na kujipa utukufu hasi. Inasikitisha serikali imekuwa dhalimu kwa kuwatesa wapinzani na yeyote atakaejitokeza kukosoa utendaji wa sozonje. Kamwe sikutarajia km itafika wasaa viongozi wa upinzani wanawindwa ili watolewe roho zao. Takribani ni siku 11 tangu kiongozi wa upinzani tundu lizu kushambuliwa na watu wanaodhaniwa ni TISS, mengi yamesemwa ila ukimya wa waliotuhumiwa unadalili kwamba inawezekana lisemwalo lipo. Ccm sasa imejigeza mungu wa tanzania na wamejipa mamlaka hata ya kumtoa mtu roho anaeenda kinyume nao. Nakumba hapa dunia wote tunapita maana walikuepo kina idd amini, hitla, kina sadamu lakini leo hii ni udongo. Ccm na washirika wako kina lipumba nawakumbusha damu mnayoimwaka ya tl inamlilia muumba na kamwe haitawaacha salama ni swala la muda2 maana mungu yupo kwa ajili ya wanyonge. Ccm jibuni hoja kwa hoja sio hoja kwa mtutu wa bunduki, cku zote wahenga wanasema sikio la kufa halisikii dawa.
 
Wanachokifanya polis wetu ni sawa na kufunika shimo la panya kwa kutumia kipande cha nyama
Mshauri wa jeshi la polis kwenye kusimamia sheria kwenye mambo yanayohusu demkrasia ni nani?
Je lengo la jeshi la polis ni kufuta mfumo vya vyama vya siasa kabla ya kubadilisha katiba yetu?
Jeshi la polis linautambua mfumo wa vyama vyingi vya siasa?
Jeshi la polis linatambua kuwa mfumo wa vyama vyingi vya siasa ni halali kikatiba?
Je jeshi la polis linataka kuangamiza vyama vya upinzani kwa sababu viongozi wote wa juu wa jeshi ni ndugu zake rais magufuli,na viongozi wengi serekalini wanatoka kanda ya ziwa kama alivyosema mh tundu lisu?
Mwenye majibu tafadhali?
 
Yote uliyosema ni kweli.Na ndiyo sababu hakuna anayejua shughuli cha kuchuza wale wahusika wa kuporomosha Risasi kwa lisi pale Dom, maana anjulika
 
Back
Top Bottom