britanicca
JF-Expert Member
- May 20, 2015
- 16,295
- 33,994
Yaani huyu Lema sijui hata aliwezaje kuwa Mbunge.Aliyekuwa mbunge wa Arusha mjini bwana Godbless Lema, katika Mazungumzo huko space twitter alisikika akikwambia Kitila Mkumbo kwamba mshahara wa mbunge ni Mdogo mno yaani ni 4000$ Kwa Mwezi hivyo aache Ubunge amfundishe cryptocurrency apate zaidi ya hiyo maana anazidiwa na vijana wanaoifanya….
Kumbe LEMA anasema mshahara wa mbunge Mdogo ama uongezwe
Britanicca
Anasema ni pesa ndogo lakini alipambana kufa na kupona ili aupata huo mshahara mdogo.Ndo maana alikopa sana mwisho wa siku madeni yakawa hayalipiki akakimbilia ulaya akidanganya watu utawala uliokuwepo ulikuwa na nia ya kumwangamiza...
Wewe ulielewa ulimsikiliza au unabisha tuSijui ni watu kuelewa ama la!.
Kwa nilichomuelewa Lema, ni kuwa wale wanaofanya Crypto currency wana-earn more than what MPs earn monthly...
Kwa hiyo kila anayefanya crypto ana earn hiyo pesa?Sijui ni watu kuelewa ama la!.
Kwa nilichomuelewa Lema, ni kuwa wale wanaofanya Crypto currency wana-earn more than what MPs earn monthly...
Soma maelezo yangu mpaka tamati. Nimetanabaisha, kwa vijana wachache.Kwa hiyo kila anayefanya crypto ana earn hiyo pesa?
Ila kila aliye mbunge anaiingiza hicho kiasi....
Sasa kwanini tufananishe ya uchache na ya kila mtu.....Soma maelezo yangu mpaka tamati. Nimetanabaisha, kwa vijana wachache.
Eti alitaka kuwatumikia wananchi....Hujamuelewa lema, na hilo kalizuungumza toka wiki iliyopita jumatatu kwenye space, sijui kwa nn umelileta leo
Lema anachosema yeye sio kwamba alikua anataka apate ubunge ili apate pesa Kama walivyo wabunge wengi wa CCM
Yeye alitaka ubunge ili kutumikia watu, maana hiyo pesa ya ubunge kwa mwezi anaweza kuipata kwenye crypto
Na wewe ukaamini kabisa 🤣🤣🤣Hujamuelewa lema, na hilo kalizuungumza toka wiki iliyopita jumatatu kwenye space, sijui kwa nn umelileta leo
Lema anachosema yeye sio kwamba alikua anataka apate ubunge ili apate pesa Kama walivyo wabunge wengi wa CCM
Yeye alitaka ubunge ili kutumikia watu, maana hiyo pesa ya ubunge kwa mwezi anaweza kuipata kwenye crypto
Kwani Magufuli alivyotaka kumuua TUNDU LISSU, ilikuwa ni kwa lipi?Ndo maana alikopa sana mwisho wa siku madeni yakawa hayalipiki akakimbilia ulaya akidanganya watu utawala uliokuwepo ulikuwa na nia ya kumwangamiza! Yaani Lema afuatiliwe na Magufuli kwa lipi? Baada ya Magufuli yupo mama Samia bado hataki kuja! Very stupid guy! Madeni madeni!
Hujui kuwa dhamani ya fedha inaendana na uchumi wa nchi? Canada ukiwa na dollar 8000 na Tz ukiwa na dollar 8000 yupi atafanya mambo makubwa?
Aendelee kuolewa tu na wanaume huko!
Kubwa jinga kwenye ubora wakoYeye alitaka ubunge ili kutumikia watu