Lema: Mshahara wa Mbunge ni Mdogo sana, 4000$ Kwa mwezi anazidiwa na vijana wanaofanya cryptocurrency

Sijui ni watu kuelewa ama la!.

Kwa nilichomuelewa Lema, ni kuwa wale wanaofanya Crypto currency wana-earn more than what MPs earn monthly.

Kwamba, bila shaka kuna vijana wanafanya biashara ya sarafu mtandao ambao kipato chao kwa mwezi ni zaidi ya kipato apatacho Mbunge.

Haimaanishi kuwa kipato cha Mbunge ni kidogo na kinapaswa kuongezwa. La Hasha.

Ila bi kidogo kulinganisha na wapatavyo hao vijana wachache.
nadharia mkuu sisi tunaijua cryptos
 
Aliyekuwa mbunge wa Arusha mjini bwana Godbless Lema, katika Mazungumzo huko space twitter alisikika akikwambia Kitila Mkumbo kwamba mshahara wa mbunge ni Mdogo mno yaani ni 4000$ Kwa Mwezi hivyo aache Ubunge amfundishe cryptocurrency apate zaidi ya hiyo maana anazidiwa na vijana wanaoifanya….

Kumbe LEMA anasema mshahara wa mbunge Mdogo ama uongezwe

Britanicca
Una propaganda za kishamba sana.
 
Hawa ndio wanataka kukabidhiwa nchi! Wanawaza kula tu, wanataka katiba mpya ili wapate fursa ya kula, huwasikii wanaongelea daraja fulani, elimu iweje, mashule yaweje, wanawaza kula tu
 
Hujamuelewa lema, na hilo kalizuungumza toka wiki iliyopita jumatatu kwenye space, sijui kwa nn umelileta leo

Lema anachosema yeye sio kwamba alikua anataka apate ubunge ili apate pesa Kama walivyo wabunge wengi wa CCM

Yeye alitaka ubunge ili kutumikia watu, maana hiyo pesa ya ubunge kwa mwezi anaweza kuipata kwenye crypto
cryptos hafanyi ipo kinahdaria hajui chochote eti vijana wanadownload pesa we isikie tu bila kuscam watu hutoboi soko gumu bora uwe mwalimu lema alileta hoja bungeni ya cryptos bila yeye kuwa hana elimu nayo usidanganywe hakuna wabongo wanaearn hyo pesa kweny kwa training na mentorship wnapata hata mil 20 kwa mwezi soko gumu

kama unabisha hapa bongo leta anayepiga kweny soko na hafundishi anawajua makonkodi wote wanapost uongo wavute watu kweny trainings
 
Yaani huyu Lema sijui hata aliwezaje kuwa Mbunge.

Ni aina ya wale Matejoo wa Ngurero.

Hana busara Wala hoja. Mara nyingi huwa anongea Kama mtu mwenye matatizo ya AKILI.
Ila mlishindwa kumfix enzi yenu pendwa sio,au kweli👨🏼‍🦯👨‍🦯
 
Hujamuelewa lema, na hilo kalizuungumza toka wiki iliyopita jumatatu kwenye space, sijui kwa nn umelileta leo

Lema anachosema yeye sio kwamba alikua anataka apate ubunge ili apate pesa Kama walivyo wabunge wengi wa CCM

Yeye alitaka ubunge ili kutumikia watu, maana hiyo pesa ya ubunge kwa mwezi anaweza kuipata kwenye crypto
Waoooo! kama ni rahisi kiasi hiki kwanini wasiachane na Join the Chain wakatumia tu pesa mtandao kufanikisha kile wamelenga kufanikisha kutokana na makusanyo ya Join the Chain! kuna sehemu tunadanganywa?
 
Vijana wengi wa Lumumba hawakumwelewa Lema alikuwa na maana ipi kumwambiea hivyo Kitila.
acha uongo wewe unaojua cryptos na anadanganya watu kwa mitaji ya wabongo kama wanaofanya ni asilimia mia basi only 2 percent ndo wanapata hyo
 
Hujamuelewa lema, na hilo kalizuungumza toka wiki iliyopita jumatatu kwenye space, sijui kwa nn umelileta leo

Lema anachosema yeye sio kwamba alikua anataka apate ubunge ili apate pesa Kama walivyo wabunge wengi wa CCM

Yeye alitaka ubunge ili kutumikia watu, maana hiyo pesa ya ubunge kwa mwezi anaweza kuipata kwenye crypto

Muongo mkubwa
 
Waoooo! kama ni rahisi kiasi hiki kwanini wasiachane na Join the Chain wakatumia tu pesa mtandao kufanikisha kile wamelenga kufanikisha kutokana na makusanyo ya Join the Chain! kuna sehemu tunadanganywa?
Hilo ni Jambo la mmoja mmoja, acha ujinga
Hapo ni sawa na kusema serikali iondoe tozo na Kodi ifanye crypto.
 
Yaani huyu Lema sijui hata aliwezaje kuwa Mbunge.

Ni aina ya wale Matejoo wa Ngurero.

Hana busara Wala hoja. Mara nyingi huwa anongea Kama mtu mwenye matatizo ya AKILI.
Ukishangaa ya Lema kuwa mbunge basi utastaajabu ya Jiwe kuwa Rais
 
Yaani huyu Lema sijui hata aliwezaje kuwa Mbunge.

Ni aina ya wale Matejoo wa Ngurero.

Hana busara Wala hoja. Mara nyingi huwa anongea Kama mtu mwenye matatizo ya AKILI.
Tatizo huwa haelewwki na vilaza.
Laiti Magufuli na Sabaya wangemsikiliza yasingewapata.
 
Hilo ni Jambo la mmoja mmoja, acha ujinga
Hapo ni sawa na kusema serikali iondoe tozo na Kodi ifanye crypto.
Hivi kwa mfano usinge sema acha ujinga" hoja yako isinge eleweka! ungepinga nilichoandika kwa hoja tu sio lazima utumie lugha ya kuudhi! lakini pia naomba unijuze kwani Join the Chain si suala la mtu mmoja mmoja! serikali huenda bado haijawa na ufahamu mzuri kuhusu hiyo pesa mtandao...lakini pia naona kama mfano wako hauendani na hoja pingamizi niliyotoa!
 
swali ni kwamba utapata hiyo $4000 kwenye crypto kwa mtaji wa sh ngapi ?
 
Back
Top Bottom