Lema: Mshahara wa Mbunge ni Mdogo sana, 4000$ Kwa mwezi anazidiwa na vijana wanaofanya cryptocurrency


Nakwambia nafuu hata Sugu ni mpambana from the beginning! Lema mwenyewe fani yake ni wizi wa magari! Lakini si unajua mwenzetu wa huko mlima mrefu mtu hata kama anamilioni 10 anaitwa bilionea! Kipindi kile ukiwa mbunge pale arusha na ile M4C yao aliona kayamaliza maisha saizi ndo hivo tena madeni mpaka matakoni! Dhambi ya wizi wa magari inamtafuna hajui kuwa mali ya wizi ni kama nguo ya kuazima!
 
Na walivyo wapuuzi Samia ameshawamudu.

Kakutana na Lissu Ubelgiji.

Kakutana na Mbowe baada ya kumfutia kesi.

Sasa hata ukimwambia Mzungu eti unawindwa kuuawa huko nyumbani wanaona mpumbavu mmoja.

Na ndiyo maana, sasa hivi wanajaribu kutafuta VIJISABABU vya kuhalalisha ukimbizi wao.

Mostly, inaonekana mtu Kama Lema hakuwa amejiandaa na Maisha Nje ya Ubunge.
 
lema namkubali ila hapa anatuchanganya tuliyopigika.Arudi tupambane kuipigania haki.
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Jongwe misuti wamepora title!
Jamaa alikuwa inspirational ila kwa sasa ushamba umemzidia na anazidi kujiharibia tu kwa watoto
 
Unatetea ujinga

Je unapolinganisha kipato unaachaje kulinganisha na ukubwa wa kazi

Katika crypto currency ile ni biashara ambayo ina high risk ya kupoteza pesa na lengo kubwa ni kupata pesa sio kusaidia jamii kwahyo kufaidika ndio lengo kubwa

Je katika ubunge lengo kuu ni faida binafsi au kusaidia jamii hadi ionekane hyo ni pesa kidogi

Kila leo wananchi wengi wanalalamika mishahara na maposho wanayolipwa wabunge kuwa ni mzigo kwetu ila anatokea mtu anaendelea alipoishia

Na nikukumbushe hii sio mara ya kwanza kwa Lema kuona hyo pesa kidogo aliwah kuchangia kabsa bungeni kwa kutaka maslahi yaongezwe

Au hujui hlo hadi unatetea hyo kauli yake

Kifupi wanasiasa wengi wanafanana malengo iwe wa Chama tawala au upinzani lengo la kwanza ni kufaidika binafsi ndio wananchi wafate.
 

BANGE
 
Je una uhakika Lema hajawahi kuongelea suala la kuongezwa kwa mshahara bungeni.
 
Yaani huyu Lema sijui hata aliwezaje kuwa Mbunge.

Ni aina ya wale Matejoo wa Ngurero.

Hana busara Wala hoja. Mara nyingi huwa anongea Kama mtu mwenye matatizo ya AKILI.
Ulivyoandika tu inaonyesha bila ya shaka lolote una tatizo la akili pia.

Sent from my TECNO-L8Plus using JamiiForums mobile app
 
Nadhani alimaanisha wanaofanya biashara ya cryptocurrency wana earn more than what mbunge earns. Sidhani kama alimaanisha mshahara wa mbunge ni mdogo.

Kama alimwambia Kitila aache ubunge amfundishe how does the cryptocurrency works ni kumshawishi ajoin biashara anayoifanya, ama siasa tu.
 
Anasema ni pesa ndogo lakini alipambana kufa na kupona ili aupata huo mshahara mdogo.

Kaukosa mpaka leo ana kinyongo, anapambania time huru ya uchaguzi ili imsaidie kushinda apate huo mshahara mdogo
Kwahiyo Lema ni sawa na yule sungura wa "Sizitaki Mbizi Hizi!?" Ahahahahahahahah!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…