Lema na ndoto hizi dhidi ya Rais, sheria ifanye kazi, tumemchoka

Hizi movie za lema mbona kama utoto umezidi,badala ya kuwatumikia wananchi yeye kila siku sanaa .

Halafu.hawajifunzi haya mazingaombwe yao.yashawachosha wananchi.
 
... Nadhani kupitia lema lazima mzizi wa fitina ukatwe lasivyo nchi hii tutawakabili chama mfu iwapo watamdhulu rais wetu, sisi tunaomuunga mkono rais tupo wengi zaidi
 
Mkuu wala usipate shida na Lema, yeye alidai ni maono na sio ndoto. Na alitoa mfano wa maono aliyopata ya kuwa mbunge na akawa mbunge. Kwa hiyo usikasirikie maona ya Lema, kuna maono ya Mungu na ya shetani, kama ni ya Mungu yatatimia, kama ni ya shetani yatatoweka kama yalivyokuja.
Sioni ni vipi mahakama inaweza kusikiliza kesi ya maono. Haya ni mambo ya kupuuza tu wala hayahitaji kupewa uzito kiasi hiki. Lema ana uwezo gani kwa kusuka mbinu za kumuua raisi kama unavyodai? Hivi Lema ni mtu hatari kiasi hicho? Hapana, you are making a mountain out of a molehill!
 
Usichanganye mada wewe ishu fao inaingiaje hapa, weka uzi wa fao uuone msimamo wangu.

Hivi kwa akili yako huyo mtu wako.anajielewa, kusudio lake analiita ndoto tumanyamazie?

Hili piga ua hatutokubali kamwe
km umejitoa ufaham na kushindwa kuona connection yangu na mada yako basi sawa,endelea ..
 

Tunajua inawauma sana JPM kuwa ndio Rais, walimtaka mwingine, ndio ukiangalia hii ni coalition ya kikanda ndio inahangaika na mhe Rais.
, narudia tena hatutakubali huu upuuzi mtu anaweka mikakati.ovu halafu anatumia neno maono/ndoto ili taarifa yake ifike.

Usalama wa taifa ni lazima waweze kuwa na angalizo jumbe kama hizi sio za kupuuuzia.

Huyo.jamaa anaongozwa na shetani
 
Ni kweli usalama wa taifa nadhani watakuwa sasa wanafanyia kazi kauli yake. Nakumbuka kuna kipindi hapa JF nilishaleta uzi wa kulalamikia juu ya hii kauli ya wanachama mfu chadema ila uzi ulifutwa gafla. Sasa nashukuru Mungu kawaumbua wameanza kujisema wenyewe juu ya mipango yao ovu ya kumuangamiza rais wetu na ustawi wake. Tunamuhitaji Dkt Magufuli zaidi ya yeye anavyolihitaji taifa letu.
 
hivi wakina tb Joshua mbna hutabiria watu vifo na hawakamatwi??
 
Huwezi kulazimisha watu kumkubali kiongozi ambaye hawakumpenda.
 

Haihtaji rocket science kujua wanataka nini kitokee
Haihtaji degree kujua mikakati yote hii iliyofanyika lengo lake nini.
 
Huwezi kulazimisha watu kumkubali kiongozi ambaye hawakumpenda.
Hata sisi hatuwezi kukubali mpange mauaji ya rais tuliyempenda na kumchagua. Ninyi chama mfu ni wauaji, mnapanga kumuua rais wetu matokeo yake mipango yenu inaanza kufichuka kabla hamjatekeleza.Na mjue tupo wengi, lazima tuwamalize na ninyi mkithubutu kumgusa rais wetu.
 
Kwahiyo ulitaka aseme tofauti na alivyoota?? Kosa lake ni kuota au kuweka wazi alichoota??

Huyo ataenda kujifunzia adabu sero,na safari hii akigoma kula hatumbembelezi
 
Hizi Akili za Mwendokasi ndo za kujenga Viwanda! Tusubiri Karne nyingine [emoji26]
 
Nimejenga hoja kumtetea Mhe rais, huyo uliyetaja hapo hata nuru ya ikulu hataiona labda baada 2025
tujifunze kutenda haki kwa wote,sio kushabikia upande mmoja na kukandia upande mwingine, kwa mambo yanayohitaji haki sawa
 
Umofia kwenu Great Thinkers,

Wadau kuna thread nyingi zimeanzishwa kumhusu Mh. Lema, mbunge wa chama mfu chadema aliyepoteza umaarufu hapo jimboni kwake kwa kasi ya ajabu.

Hebu sasa tujadili jambo tofauti badala ya kumlaumu.

Ieleweka huu ni mtizamo tu baada ya kuunganisha matukio kadhaa wa kadhaa.

Nakumbuka baada ya Mh. Dkt Magufuli kushinda kiti cha urais, chama mfu chadema walitumia kila aina ya mbinu ili kuonesha ushindi haukuwa wa halali. Lakini mbinu hizo zilishindwa vibaya mno baada ya wananchi kuwapuuza. Wakaja na mbinu ya kumtisha rais ya kusema eti "hafiki 2020". Hiyo kauli iliongelewa na wafuasi wa hicho chama mfu, yaani hata ukitembelea moshi au ukikutana na mwana chama mfu ofisini atakuambia tu eti "hafiki 2020".

Sasa mimi nimekuwa nikijiuliza wanamaanisha nini kusema hivyo?
Mimi nafikiri huo ni mpango wa mauaji ya rais ulioratibiwa na chama mfu chadema, ila MH. LEMA ALIKATAA KUUNGANA NAO, akaamua kumwanga mbonga kutumia Mungu ili akikamatwa aende akauelezee na kuufichua huo mpango kwenye vyombo husika maana lasivyo wangeweza kummaliza chama chao mfu maana nao mambo hayo siyo haba kwa ushahidi wa matukio ya nyuma (wnagwe).

Sasa inawezekana Mh. Lema anakula kuku tu, ila kitakachofuata ni kamata kamata ya viongozi waandamizi wa chama mfu chadema na hatimaye kufutwa kwa chama mfu ktk ramani ya Tanzania.

Sababu nyingine ni kutokuruhusiwa kwa viongozi wa chamam mfu kuonana naye maana ni shahidi

Nini maoni yako mdau?

 
Manyanyaso inchi hii yataisha lini?
Siku Wanaonyanyaswa Watakapoacha Kuvuta Bange Na Kuropoka Ovyo Majukwaani Kwa Kisingizio Cha Demokrasia.Mbona Demokrasia Ya Chadema Haimpi Huyu Mla Bange Kuropoka Ovyo Juu Ya Mtukufu mungu Mbowe Na Chadema ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…