Lema na ndoto hizi dhidi ya Rais, sheria ifanye kazi, tumemchoka

Huyo jamaa tatizo Shule ndogo.. Anataka kumuiga Lissu aliyeenda shule anayejua kucheza na vifungu vya sheria
 
Huyo jamaa tatizo Shule ndogo.. Anataka kumuiga Lissu aliyeenda shule anayejua kucheza na vifungu vya sheria

Huyo ni mweupe balaa
Kuna siku alihojiwa dk 45 kama waziri kivuli ni aibu, in short chadema kama ndio wanategemea hao ndio wawe mawaziri basi tutaongozwa na wavutaj kweli
 
Njoo Ikulu kesho saa nne asubuhi onana na mnikulu, ila uwe tayari kulitumikia Taifa ENEO LOLOTE
 
Njoo Ikulu kesho saa nne asubuhi onana na mnikulu, ila uwe tayari kulitumikia Taifa ENEO LOLOTE

Nalitumikia taifa so far mpaka sasaivi, ndo vitu kama hivi tunakemea.
Wastuchezee kana kwamba Rais hana.wanaompenda, kumbuka ndio tuliomchagua na kumkataa 'fisadi' kwa mujibu wa lema.

Sasa wasituchanganye Rais.tunampenda na kazi.kaimudu vilivyo
 
Tusiogope kufa, tusiogope kuombewa mabaya... Mbona watu kibao walimuota Lowasa hawakushtakiwa??? Mbona anaishi mpaka leo??
Its only GOD who knows nani atatangulia. ONLY GOD

Lakini, tusiombeane mabaya na tusifanyiane mabaya. Akupigaye kushoto mgeuzie na kulia. Kama unaomba watu wakuombee toka moyoni, basi amini Mungu atakupa ulinzi huo, usitegemee nguvu ya binadamu.

Mungu atubariki na kutujalia hekima kila siku.
 

Lowassa ni nani?
Angekuwa waziri mkuu sawa lakini kazi ilimshinda, hapa ishu ni president na sio Magufuli kama raia.

Tuna expectations nyingi kwake, ndani ya 5 yrs tunaamini atawabana hao wachuuzi uchwara wafanye biashara kihalali
 
(1)Mheshimiwa Rais Magufuli ataishi miaka mingi sana duniani.Mimi naamini kuwa Mungu ana mpango naye. Hata hivyo "DUA LA KUKU HALIMPATI MWEWE"

(2)Kama mimi ningekuwa polisi na nikawa namshikilia mtu mwenye tabia ya kurudiarudia makosa yale yale, kwa hakika hatimaye ningemfanya aijutie na kuilaani kabisa siku yake ya kuzaliwa, kisha asingethubutu kurudia tena makosa yake chini ya jua.
 
Lugha hii isiyofaa itafanya JF ifungiwe rejea mswada mpya wa habari na utoto inaofanywa na baadhi ya wachangiaji
 
Mbona CCM wengi tu akiwemo Sizonje mwenyewe walimtabiria Lowassa kifo na hakuna hata mmoja wao aliyewekwa kizuizini? Badala yake tunamshuhudia Mungu akiwachapa mmoja baada ya mwingine...kwa hiyo ninachosema mamlaka ya Mungu haishindani na Mamlaka ya Sizonje...Mungu akiamua Sizonje atakufa tu Lema awe jela au awe huru...na kama Mungu hajaamua kufa Sizonje ataendelea tu kuishi na kulifilisi Taifa!
 
Lema ni good politician but can not control his emotion and anger, akijirekebisha hapo atakuwa mwanasiasa makini Wa kiwango cha lami
 
Mungu atatenda tu,na watu hawataamini.

cc,mtume Lema
 
Sisi ni Mavumbi.

Udongoni tutarejea.

bwana alitoa,akitwaa kuna tatizo?
Mkuu, si kila wakati bwana Mungu anatwaa. Na hiyo sentensi aliitoa Ayubu akidhani bwana Mungu ndo ametwaa everything from him lakini hakujua kuwa shetan ndo alikuwa anatwaa.
Tusihalalishe uovu kwa kutumia maandiko, asante .
 
Mkuu, si kila wakati bwana Mungu anatwaa. Na hiyo sentensi aliitoa Ayubu akidhani bwana Mungu ndo ametwaa everything from him lakini hakujua kuwa shetan ndo alikuwa anatwaa.
Tusihalalishe uovu kwa kutumia maandiko, asante .
nani anaua watu?

mungu au shetani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…