johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Lema aache dharau aisee ni ujinga kudharau kazi za watu
Viongozi wa level gani?..mbona watoto wa viongozi wa Ccm hawaendeshi bodaboda?
Aliowataja LemaViongozi wa level gani?
Hiyo hoja kama kweli ameitoa basi amedhihirisha yeye Lema ana upeo mdogo sana wa kufikiri. Lakini sishangai maana hata mwenzake John Heche niliyesoma nae Shahada ya Elimu na mkewe ambaye ni Mwalimu pale Nyabulogoya Sekondari Kata ya Nyegezi Jijini Mwanza eti nae anauponda Ualimu kisa tu aliwahi kuwa Mbunge! Watu Hawa ni washamba kweri kweri!!Mjumbe wa Kamati Kuu ya CHADEMA Lema amesema endapo atamuona mtoto wa Waziri mkuu mh Majaliwa au mtoto wa Rais Mwinyi anaendesha Bodaboda ndipo ataomba radhi...
Huyu jamaa sijui kama kweli anashule!Hivi lema ameona nchi gani watoto wa viongozi wanafanana level na wananchi wa hali ya chini hoja aliyoitengeneza ni ya kitoto Sana
Le mutuz vs MwijakuHivi lema ameona nchi gani watoto wa viongozi wanafanana level na wananchi wa hali ya chini hoja aliyoitengeneza ni ya kitoto Sana
Ualimu huu uticha?Hiyo hoja kama kweli ameitoa basi amedhihirisha yeye Lema ana upeo mdogo sana wa kufikiri. Lakini sishangai maana hata mwezake John Heche niliyesoma nae Shahada ya Elimu na mkewe ambaye ni Mwalimu pale Nyabulogoya Sekondari Kata ya Nyegezi Jijini Mwanza eti nae anauponda Ualimu kisa tu aliwahi kuwa Mbunge! Watu Hawa ni washamba kweri kweri!!
Uticha huu huu Mbatizaji!Ualimu huu uticha?
Ngoja tuone Hadi mwishoMjumbe wa Kamati Kuu ya CHADEMA Lema amesema endapo atamuona mtoto wa Waziri mkuu mh Majaliwa au mtoto wa Rais Mwinyi anaendesha Bodaboda ndipo ataomba radhi...
Brother jibu kwa fact maana lema hoja yake iko wazi,Lema aache dharau aisee ni ujinga kudharau kazi za watu