Lema: Nikimuona mtoto wa Waziri Mkuu Majaliwa au wa Rais Mwinyi anaendesha Bodaboda ndipo nitaomba radhi

Lema: Nikimuona mtoto wa Waziri Mkuu Majaliwa au wa Rais Mwinyi anaendesha Bodaboda ndipo nitaomba radhi

Hivi lema ameona nchi gani watoto wa viongozi wanafanana level na wananchi wa hali ya chini hoja aliyoitengeneza ni ya kitoto Sana
Ndio maana wenye akili tumemuelewa kwanin hao viongoz wa ccm wanazunguka kudanganya kuwa bodaboda ni kaz nzuri wakati watoto wao hawaendeshi bodaboda badala yake wanaganya kaz BOT.NA TRA.
 
Ni mfano usio sahihi wala hauna mantiki hii ni duni vipato ni tofauti kila mtu na riziki yake na utaftaji wake ...Atambue kwamba hata ambao Wana vipato vya juu ni wachache sana mno .

Yeye ni mwanasiasa na wenzio wanasiasa wanajua kuanzia kupiga dili na kuiba , sio lazima kwani hapo unagusia wananchi wa hali ya chini kabisa.. wanasiasa wote sijui lema na wenzio CCM wote akili sawa wao ndo wanufaika na pesa za wananchi ...je hao bodaboda waache kazi then waende wapi?

Kuna watu wamekaa nje miaka mpaka 20 ila wanaporudi bongo wanajua Kuna tofauti ya kule na huku ...wale wenzetu wameendelea sana unaweza kutoka kule baada ya kukaa sana ukaja bongo ukapaona kama pananuka ila ukiwa na akili unalow matarajio ukirudi bongo kwamba hapawezi kuwa kama ughaibuni

.Wenzetu miaka miwili basi kila kitu anaona kinyaa ni ushamba mtupu ..
 
Mara nyingi ukitoka abroad, ukishuka pale JNIA, ile safari ya kutoka airport kupita buguruni hadi unafika ubungo...unahisi upo dunia ya hovyo kabisa kuwepo binadamu.

Likewise, nikitoka huko kwetu ndani ndani kabisa, nikaingia Dar...nikaishi for yrs, siku nikirudi kijijini naanza kuona kila mwanakijiji ni mshamba wa kutupwa.

That's Lema in a different version.
 
Hiyo hoja kama kweli ameitoa basi amedhihirisha yeye Lema ana upeo mdogo sana wa kufikiri. Lakini sishangai maana hata mwezake John Heche niliyesoma nae Shahada ya Elimu na mkewe ambaye ni Mwalimu pale Nyabulogoya Sekondari Kata ya Nyegezi Jijini Mwanza eti nae anauponda Ualimu kisa tu aliwahi kuwa Mbunge! Watu Hawa ni washamba kweri kweri!!
Wewe ndio mshamba kama na wewe ni mwalimu bas kunatatizo kubwa ndio maana juz bodaboda kule Arusha wamewazarau kwa kusema wanawazid kweli nimeamin wanawazid na mtaendelea kuzeeka hivyohivyo na ujinga wenu.
 
Ukweli ni kwamba lema kaongea ukweli mtupu. Vikoba ni umaskini na ni kweli ni umaskini. Thats a fact. Bodaboda inaua watu kuliko kawaida, not even corona do what bodaboda does and the funny fact ni serikali kuchochea kwasababu inaongeza kipato kwa vijana, but it shouldn’t be apublic transportation. Onyly country’s with extreme poverty wanaachia boda boda kuwa public transport.

Binafsi naona watanzania tumezibwa uwezo wa kufikili na wanaofikiri hawajakutana na mazingira mazuri ili mawazoyao yawakuze kiuchumi. In nigeria, kenya, SA and nk startups zenye value za mamilioni zinaanzishwa kila siku ila not bongo and many other african countries
 
..Mzee Mwinyi mwanae ni Raisi kule Znz.

..Mzee Mkapa mwanae ni Katibu Mkuu wa wizara.

..Mzee Kikwete mwanae ni Naibu Waziri.

..Mama Samia mwanae ni Mbunge.

..Sasa viongozi wa aina hiyo ndio wanatushauri wenetu wawe bodaboda.
Hoja hio ni sawa ila maisha ni mapambano wao wamepambana ndo wamefikia hapo watoto wao nao wanaanzia walipoishia wazazi wao sisi tupambane pia mimi ni mtoto wa mkulima na ndani ya muda mfupi nmesha surpass alipoishia mzee wangu
Maisha ni madaraja tupo wa bronze wapo wa silver na Gold issue ni as individual kupambania familia yako na jamii yako
Idfw politicians
 
Lema anakoelekea anaweza kuleta Shida Kwenye Jami iliyotulia!
kisa lumumba amewaletea hoja jadidifu ambayo hawakutegemea, by the way nimemsikia gambo akisema kuwa lema ni chiz fresh sasa mim namjibu gambo kuwa yeye ndio chix fresh maana anahadaa bodaboda kuwa ni kaz ya maana huku yeye haifanyi kama ni kaz ya maana kwanin haifanyi, kijana anakuwa mjinga kuliko hata lunatics.
 
ndio maana wenye akili tumemuelewa kwanin hao viongoz wa ccm wanazunguka kudanganya kuwa bodaboda ni kaz nzuri wakati watoto wao hawaendeshi bodaboda badala yake wanaganya kaz BOT.NA TRA.
Hakuna sehemu ambapo CCM imemlazimisha mtu awe bodaboda sema mtu binafsi mwenyewe ndio anaamua ili kujipatia riziki
 
Mbona anaegamia tu on negayive effect

Kila kazi ina faida na hasara

He should apologize on kuita bodaboda ni kazi ya laana

Kufa au ulemavu kazi yeyote huja na haya matokeo

He should apologize for his own good
 
kaendeshe bodaboda wewe huku watoto wa majaliwa na mwinyi wakifanya kaz BOT NA TRA.
Kazi ambazo watoto wa waziri mkuu na rais hawazifanyi ni nyingi Sana, so Kwa tafsiri hiyo kumbe kazi za laana ni nyingi tu na sio uboda boda tu, so ualimu, unesi, uofisa kilimo na mifugo ni kazi za laana make hizo kazi huwezi mkuta mtoto wa rais au waziri mkuu
 
Hakuna sehemu ambapo CCM imemlazimisha mtu awe bodaboda sema mtu binafsi mwenyewe ndio anaamua ili kujipatia riziki
Ndio maana tunasema ccm hawapaswi kuhadaa watu kuwa bodaboda ni kaz ya maana kwasababu kunabodaboda wanamasters na degrees za kutosha na hawapewi kaz serikalini wakati watoto wa vigogo ambao wengine tunawajua elimu zao ni za kuungaunga lakin wako BOT NA TRA hiki ndio lema anapinga ila wewe hutamwelewa maana you seem to be adamant by the way kaendeshe bodaboda ndan ya miaka kumi ndo utamwelewa lema anachokisema leo.
 
Back
Top Bottom