Sidhani kama umeelewa na shida iko hapoHappy ki ukweli amekosea...!! Nadhani hata kwenye kampeno zake alikuwa akiwatumia hawa Maafsa Usafirishaji kwenye misafara yake awaombe radhi kwa kweli....!!
Lakini hawezi kuwa bodabodaHata yeye wanae huko Canada hawatafanya kazi sawa na watoto wa Justin Trudeau.. Kazidi kuropoka aisee
Do not tamper with honey distribution infrastructure!Mbona hajamtaja mtoto wa Samia? Anaogopa kuminyiwa mrija wa asali?
Muulizeni kwanini Makamu Mwenyekiti wao TL haishi Tegeta kwa Ndevu Uswahilini ila anaishi Tegeta masaiti(ushuani).Lema aache ushamba. Mtoto wa PM ataendaje kuendesha boda boda? Ndiyo maana kwenye jamii kuna matabaka.
Kuna waendesha boda boda na kuna Wahandisi, kuna walimu na mama ntilie, kuna wabunge na wapiga kura, kuna watawala na watawaliwa.
Sasa mtoto wa pm ni privileged hana sababu ya kuwa boda boda, lakini hiyo haifanyi kuendesha boda kuwa siyo kazi. Atulize hicho kichwa chake au wamempa crack huko Canada?
Anazo takwimu za vifo na majeruhi kutokana na ajali za barabarani ili tuone kati ya bodaboda na magari nani anachinja zaidi kwa mwaka?
Fala tu anaongea ujinga,ukute kwenye ukoo wao wapo Bodaboda wengi tu,maisha yanasonga.Ushamba unamsumbua,kukaa ukimbizini CANADA miaka miwili basi ashajiona tycoon!Lema anakoelekea anaweza kuleta Shida Kwenye Jami iliyotulia!
Kwani wanaofanya kazi TRA na BOT wote ni watoto wa viongozi?kaendeshe bodaboda huku watoto wa majaliwana mwinyi wakifanya kaz BOT NA TRA
Kwani hiyo umaskini ni laana ujue jua hizo standards haziko kwa bahati mbaya lazima upigane ili utoke hapo, shida inakuja hapa wale ambao wanatuongoza akili zao zimegota wanafikiri kumtoa mtu kwenye huo umaskini ni kuwapa fursa ya vijana kuwa boda boda bila kujua kwamba unazalisha matatizo mengi kwakuwa bodaboda haiwezi kuwa public transport ndiyo maana hata usipokuwa na leseni na bima wao wanaona sawa tu.Uchumi wa canada na Tanzania unafanana Hilo pia ameliangalia.kuna level mbili za umasikini absolutely na kuna Relative Poverty sisi Africa tupo kwenye absolutely asimilia kubwa wa wananchi hawana uwezo wa kupata.
Nahitaji ya msingi ya kila siku ila wenzetu wapo kwenye Relative ambapo masikini anapimwa kwa kukosa kumeet maisha ya luxury ndio maana watoto wa viongozi wanaweza kusoma na watoto wa masikini kwasababu shule za kawaida bado zina standard nzuri ya kuweza mtu kusoma je ni the same kwa hapa bongo?
Ningemuelewa Lema asingetumia neno laana kwa bodaboda lakini pia angekuja na njia badala ya nini wafanye bodaboda badala ya hiyo kazi
Hajataja mtoto wa Samia Kwa sababu lema kwa akili yake finyu anaona kazi za maana ni zile za kuteuliwa na rais au BOT, Samia ana mtoto wake anauza matairi pale kariakoo na kuna watu wanamuona Fala yaani wanajiuliza kakosa nini Kwa mama yake, lkn kiuhalisia jamaa anatengeneza mpunga kuliko hata walioteuliwq kuwa maRC/DC. Si ajabu hata huyu mkimbizi wa mchongo Ile kazi ya kuuza matairi anaichukulia kama biashara ya laana ndo maana hajataja watoto wa Samia.Mbona hajamtaja mtoto wa Samia? Anaogopa kuminyiwa mrija wa asali?
Kwa Nini Huwezi kukuta Mtoto wa Kiongozi ni dereva Bajaj au bodaboda?.Kazi zenye maslahi ni nyingi hao watoto wa majaliwa na mwinyi wataweza kufanya kazi zote zenye maslahi? Je wewe unafanya kila chenye maslahi? Kila mtu afanye anachokimudu msipangie watu cha kufanya.
Jibu ni simple tu Wana nafasi ya kupata kazi zenye maslahi makubwa kuliko ya uboda boda! So kutofanya uboda boda haimanishi hiyo kazi ni mbaya na ya laana.Kwa Nini Huwezi kukuta Mtoto wa Kiongozi ni dereva Bajaj au bodaboda?.
Ujinga mtupu. Wewe jiulize BABA YAKE Waziri Mkuu alikuwa na cheo gani hadi kamsomesha mwanaye hadi kuwa Waziri Mkuu. Baba yake Waziri Ng'wigulu alikuwa mtu wa kaeaida, kwa ujumla karibu mawaziri wote CCM ni watoto wa maskini. Wacha ya kina Mbowe wala hakusoma nadhani ni Form 3, lakini bilionea mali za kurithi. Iweje umlinganishe mbowe leo na bodaboda au udharau bodaboda? Watanzania si wote ni matajiri wa kurithi kama CHADEMA.Mjumbe wa Kamati Kuu ya CHADEMA Lema amesema endapo atamuona mtoto wa Waziri mkuu mh Majaliwa au mtoto wa Rais Mwinyi anaendesha Bodaboda ndipo ataomba radhi.
Lema amesisitiza Kuwa Bodaboda ni Kazi isiyofaa inayouwa na kuwapa ulemavu Vijana Wengi.
Lema amenena haya kupitia ukurasa wake wa Twitter.
Mlale Unono!
======
"Nikimuona mtoto wa Waziri Mkuu Kassim Majaliwa au Mtoto wa Rais Mwinyi anaendesha bodaboda na kudai ni kazi ya heri nitaomba radhi. Bodaboda ni kazi ya mateso,imeumiza watu na kujeruhi watu wengi.Acheni kudanganywa na Serikali iliyo kosa mbinu za kuokoa maisha yenu. Umasikini sio sifa."
View attachment 2539929
Watakula wapi? Wanaingizwa au wanaingia wenyewe.Kama nchi unadhani kuwaingiza vijana hawa wa miaka 15 hadi 30 kwenye kazi ya uboda boda itaisaidia nchi kupiga hatua
Huyu kachanganyikiwa, na amekwenda mbali kuwataja watoto wa Majaliwa na Mwinyi aanze na watoto wake kwanza.Mjumbe wa Kamati Kuu ya CHADEMA Lema amesema endapo atamuona mtoto wa Waziri mkuu mh Majaliwa au mtoto wa Rais Mwinyi anaendesha Bodaboda ndipo ataomba radhi.
Lema amesisitiza Kuwa Bodaboda ni Kazi isiyofaa inayouwa na kuwapa ulemavu Vijana Wengi.
Lema amenena haya kupitia ukurasa wake wa Twitter.
Mlale Unono!
======
"Nikimuona mtoto wa Waziri Mkuu Kassim Majaliwa au Mtoto wa Rais Mwinyi anaendesha bodaboda na kudai ni kazi ya heri nitaomba radhi. Bodaboda ni kazi ya mateso,imeumiza watu na kujeruhi watu wengi.Acheni kudanganywa na Serikali iliyo kosa mbinu za kuokoa maisha yenu. Umasikini sio sifa."
View attachment 2539929
Kazi nyingi hazina maana sijui kwanini lema kaganda kwenye bodaboda unajua cashier wa pale Mlimani city analipwa kwa mwezi Laki 1.5 wakati bodaboda wastani kwa siku anaingia elfu 30 ambayo ukizidisha kwa mwezi unakuta ni laki 3 ni zaidi ya huyo cashierKwani hiyo umaskini ni laana ujue jua hizo standards haziko kwa bahati mbaya lazima upigane ili utoke hapo, shida inakuja hapa wale ambao wanatuongoza akili zao zimegota wanafikiri kumtoa mtu kwenye huo umaskini ni kuwapa fursa ya vijana kuwa boda boda bila kujua kwamba unazalisha matatizo mengi kwakuwa bodaboda haiwezi kuwa public transport ndiyo maana hata usipokuwa na leseni na bima wao wanaona sawa tu.
Una uhakika kuwa viongozi wote wa CCM Wana vipato vikubwa!