Dawa ya Uvccm
JF-Expert Member
- Aug 3, 2021
- 2,223
- 4,717
Ndio maana wenye akili tumemuelewa kwanin hao viongoz wa ccm wanazunguka kudanganya kuwa bodaboda ni kaz nzuri wakati watoto wao hawaendeshi bodaboda badala yake wanaganya kaz BOT.NA TRA.Hivi lema ameona nchi gani watoto wa viongozi wanafanana level na wananchi wa hali ya chini hoja aliyoitengeneza ni ya kitoto Sana
Atawaletea shida Wabunge wa CCM Bungeni labda.Lema anakoelekea anaweza kuleta Shida Kwenye Jami iliyotulia!
Wewe ndio mshamba kama na wewe ni mwalimu bas kunatatizo kubwa ndio maana juz bodaboda kule Arusha wamewazarau kwa kusema wanawazid kweli nimeamin wanawazid na mtaendelea kuzeeka hivyohivyo na ujinga wenu.Hiyo hoja kama kweli ameitoa basi amedhihirisha yeye Lema ana upeo mdogo sana wa kufikiri. Lakini sishangai maana hata mwezake John Heche niliyesoma nae Shahada ya Elimu na mkewe ambaye ni Mwalimu pale Nyabulogoya Sekondari Kata ya Nyegezi Jijini Mwanza eti nae anauponda Ualimu kisa tu aliwahi kuwa Mbunge! Watu Hawa ni washamba kweri kweri!!
Kwamba Sisi ambao ni mama ntilie, waponda kokoto, vibarua wa viwandani, machinga, wachuuzi, wauza magenge, wachinjaji wa vitoweo, walimu, haraka sana tuache kazi za laana tukaajiliwe na BOT na TRA?kaendeshe bodabofa jinga wewe huku watoto wa majaliwa na mwinyi wakifanya kaz BOT NA TRA.
Hoja hio ni sawa ila maisha ni mapambano wao wamepambana ndo wamefikia hapo watoto wao nao wanaanzia walipoishia wazazi wao sisi tupambane pia mimi ni mtoto wa mkulima na ndani ya muda mfupi nmesha surpass alipoishia mzee wangu..Mzee Mwinyi mwanae ni Raisi kule Znz.
..Mzee Mkapa mwanae ni Katibu Mkuu wa wizara.
..Mzee Kikwete mwanae ni Naibu Waziri.
..Mama Samia mwanae ni Mbunge.
..Sasa viongozi wa aina hiyo ndio wanatushauri wenetu wawe bodaboda.
kisa lumumba amewaletea hoja jadidifu ambayo hawakutegemea, by the way nimemsikia gambo akisema kuwa lema ni chiz fresh sasa mim namjibu gambo kuwa yeye ndio chix fresh maana anahadaa bodaboda kuwa ni kaz ya maana huku yeye haifanyi kama ni kaz ya maana kwanin haifanyi, kijana anakuwa mjinga kuliko hata lunatics.Lema anakoelekea anaweza kuleta Shida Kwenye Jami iliyotulia!
Hakuna sehemu ambapo CCM imemlazimisha mtu awe bodaboda sema mtu binafsi mwenyewe ndio anaamua ili kujipatia rizikindio maana wenye akili tumemuelewa kwanin hao viongoz wa ccm wanazunguka kudanganya kuwa bodaboda ni kaz nzuri wakati watoto wao hawaendeshi bodaboda badala yake wanaganya kaz BOT.NA TRA.
low IQ hutamuelewa lema by the way lema anapigania bodabida halisi sio wale fake wa uvccm.Lema ni mropokaji fulani hivi anayesaka kiki
Kazi ambazo watoto wa waziri mkuu na rais hawazifanyi ni nyingi Sana, so Kwa tafsiri hiyo kumbe kazi za laana ni nyingi tu na sio uboda boda tu, so ualimu, unesi, uofisa kilimo na mifugo ni kazi za laana make hizo kazi huwezi mkuta mtoto wa rais au waziri mkuukaendeshe bodaboda wewe huku watoto wa majaliwa na mwinyi wakifanya kaz BOT NA TRA.
Ndio maana tunasema ccm hawapaswi kuhadaa watu kuwa bodaboda ni kaz ya maana kwasababu kunabodaboda wanamasters na degrees za kutosha na hawapewi kaz serikalini wakati watoto wa vigogo ambao wengine tunawajua elimu zao ni za kuungaunga lakin wako BOT NA TRA hiki ndio lema anapinga ila wewe hutamwelewa maana you seem to be adamant by the way kaendeshe bodaboda ndan ya miaka kumi ndo utamwelewa lema anachokisema leo.Hakuna sehemu ambapo CCM imemlazimisha mtu awe bodaboda sema mtu binafsi mwenyewe ndio anaamua ili kujipatia riziki
HatukataiMimi sitaki kuwa boda boda.