Mwamuzi wa Tanzania
JF-Expert Member
- Apr 7, 2020
- 15,486
- 45,256
Akili yako ni mavi.Hivi lema ameona nchi gani watoto wa viongozi wanafanana level na wananchi wa hali ya chini hoja aliyoitengeneza ni ya kitoto Sana
CCM oyeeee.Je !!Lema anataka wafanye kazi zipi za maana?Au nao waanze kutumia domo kaya kupiga kelele ili wawe wabunge?Au wakawe wezi wa magari?Tunaomba jibu Lema.
Mjumbe wa Kamati Kuu ya CHADEMA Lema amesema endapo atamuona mtoto wa Waziri mkuu mh Majaliwa au mtoto wa Rais Mwinyi anaendesha Bodaboda ndipo ataomba radhi.
Lema awe na akiba ya maneno. Itamsaidia sana kwenye safari yake ya kisiasa siku za usoni.Mjumbe wa Kamati Kuu ya CHADEMA Lema amesema endapo atamuona mtoto wa Waziri mkuu mh Majaliwa au mtoto wa Rais Mwinyi anaendesha Bodaboda ndipo ataomba radhi.
Lema amesisitiza Kuwa Bodaboda ni Kazi isiyofaa inayouwa na kuwapa ulemavu Vijana Wengi.
Lema amenena haya kupitia ukurasa wake wa Twitter.
Mlale Unono!
======
"Nikimuona mtoto wa Waziri Mkuu Kassim Majaliwa au Mtoto wa Rais Mwinyi anaendesha bodaboda na kudai ni kazi ya heri nitaomba radhi. Bodaboda ni kazi ya mateso,imeumiza watu na kujeruhi watu wengi.Acheni kudanganywa na Serikali iliyo kosa mbinu za kuokoa maisha yenu. Umasikini sio sifa."
View attachment 2539929
Kumbe Lema mjinga sana, anapigana na upepo!Mjumbe wa Kamati Kuu ya CHADEMA Lema amesema endapo atamuona mtoto wa Waziri mkuu mh Majaliwa au mtoto wa Rais Mwinyi anaendesha Bodaboda ndipo ataomba radhi.
Lema amesisitiza Kuwa Bodaboda ni Kazi isiyofaa inayouwa na kuwapa ulemavu Vijana Wengi.
Lema amenena haya kupitia ukurasa wake wa Twitter.
Mlale Unono!
======
"Nikimuona mtoto wa Waziri Mkuu Kassim Majaliwa au Mtoto wa Rais Mwinyi anaendesha bodaboda na kudai ni kazi ya heri nitaomba radhi. Bodaboda ni kazi ya mateso,imeumiza watu na kujeruhi watu wengi.Acheni kudanganywa na Serikali iliyo kosa mbinu za kuokoa maisha yenu. Umasikini sio sifa."
View attachment 2539929
Jamaaa ni genius kiukweli amesharudi Mjini kirahisi kwa kutumia kiki ya bodaboda maana kila sehemu anazungumziwaKiki ya kuingilia hii
hoja ya lema ni kwamba kaz ya bodaboda ni ya taabu(laana) na serikali haijawawekea mazingira mazuri pindi wapatapo mfano ajali huanza kuchangishana wao wenyewe kupitia magroup ya whatsap na kwamba madhara yake miaka ijayo ni hatari kwa sababu upepo wanaoukimbiza leo itaathiri macho yao na mapafu, so wewe kama unafikir unesi na ualimu ni sawa na bodaboda endelea kuamini hivyo. Pili kama bodaboda ni kaz nzur kwanin watoto wa majaliwa na mwinyi wako BOT NA TRA na sio bodaboda, ccm waache kuhadaa vijana wetu wapeleke watoto wao kwanza kwenye bodaboda ili tuwe na mifano hai.Kumbuka pia gambo hafanyi kazi ya upolisi, unesi na hata ualimu basi Kwa sababu gambo hafanyi kazi hizi Kwa tafsiri yako nazo pia sio kazi za maana ni za laana!!
hoja yake ya kisiasa ni juwa serikali imeshindwa kushughulikia tatizo la ajiraHuyu jamaa sijui kama kweli anashule!
Ajira ni tatizo kila pahala duniani!hoja yake ya kisiasa ni juwa serikali imeshindwa kushughulikia tatizo la ajira
Dharau hapo imekujaje? Tutajie mtoto wa kiongozi ambaye anafanya kazi hiyo ya bahati mbayaLema aache dharau aisee ni ujinga kudharau kazi za watu
Ila hoja yake yakitoto mbona inawasumbua hata vigogo? Tafakari vizuri hii hoja uliyoiita ya kitoto.Hivi lema ameona nchi gani watoto wa viongozi wanafanana level na wananchi wa hali ya chini hoja aliyoitengeneza ni ya kitoto Sana
Jibu hojaHuku ndiko kunaitwa kujazana ujinga, haiwezekani watoto wote wazazi wao wakawa na Uwezo wa shule za medium!, ACHA KUJAZA WATU UPUMBAVU!,
Wameshaitana kama mchwa waje watafune ruzuku yao taratibu, pia mkikosa la kuongea si lazima uongee!
Jifunzeni hekima kutoka CCM.
Sikiliza Raia wote wanapaswa kuwa na haki sawa, kama ni kazi za BOT basi raia wote wapate kazi, unafurahia kuona ajira za Vi memo? Wr ni mpuuzi sana yaani unafurahia kuona hakuna usawa, yaani wewe kuto kuwepo usawa kwako ni furahaHivi lema ameona nchi gani watoto wa viongozi wanafanana level na wananchi wa hali ya chini hoja aliyoitengeneza ni ya kitoto Sana
Kajidharirisha wapi? Kisa kaongea ukweli? Nchi hii inapaswa kubembelezana tu,Hiyo hoja kama kweli ameitoa basi amedhihirisha yeye Lema ana upeo mdogo sana wa kufikiri. Lakini sishangai maana hata mwezake John Heche niliyesoma nae Shahada ya Elimu na mkewe ambaye ni Mwalimu pale Nyabulogoya Sekondari Kata ya Nyegezi Jijini Mwanza eti nae anauponda Ualimu kisa tu aliwahi kuwa Mbunge! Watu Hawa ni washamba kweri kweri!!
Wewe unafurahia raia wengine kuajirwa kwa vimemo na wengine kuambia ajira zenu ni za Ualaimu na Toyo? Acheni uzezeta, huu uzezeta wenu ni furaha na Neema kwa watawala, nchi inapaswa kuwa na usawa kama kuna shida ya ajira iwe ni kwa wote, kama ni kwenda Ualimu hata mtoto wa Raisi aende kusomea ualimu na akafundishe, mbona Kodi hakuna kubaguana? Shida mnakuwa wajinga sanaHuyu jamaa sijui kama kweli anashule!
Mkuu wajinga hawawezi muelewa, Nchi inapaswa kuwa na haki sawa kama ni kozi ya ualimu basi hata mtoto wa Waziri mkuu aende kusomea ualimu, kama ni ajira za BOT basi hata mtoto wa malala hoi apate kazi BOT na sio ajira za Vimemo, na wengine wakiambiwa wakaendeshe toyo na au wakasomee Ualimu na mbaya Raia tunaona ni sawaLema yupo sahihi kabisaaaa
Inapaswa kuwa hivyo, nyie wapuuzia mnafurahia kuona raia wengine wanaajiriwa kwa vimemo huku wengine wakisota? Nyie ni wajinga na mazezeta mmerogwa na watawala,Ngoja tuone Hadi mwisho
Ikibidi Asema kabisa kwamba akiona mtoto wa hao aliowataja wanahudumia Gesti au mama Ntilie au saidia fundi ndio ataomba radhi