Lema: Nikimuona mtoto wa Waziri Mkuu Majaliwa au wa Rais Mwinyi anaendesha Bodaboda ndipo nitaomba radhi

Lema: Nikimuona mtoto wa Waziri Mkuu Majaliwa au wa Rais Mwinyi anaendesha Bodaboda ndipo nitaomba radhi

Hivi lema ameona nchi gani watoto wa viongozi wanafanana level na wananchi wa hali ya chini hoja aliyoitengeneza ni ya kitoto Sana
Akili yako ni mavi.
Alisema jana kuwa Canada mtumishi wa umma ni sharti mwanae asome shule za umma.
Umeona equivalent hiyo?
 
Je !!Lema anataka wafanye kazi zipi za maana?Au nao waanze kutumia domo kaya kupiga kelele ili wawe wabunge?Au wakawe wezi wa magari?Tunaomba jibu Lema.
CCM oyeeee.

Mmezalisha MITUMWA ya kutawaliwa na Koo Moja na Wala HAISHTUKI
 
Naunga mkono kuwa bodaboda ni kazi ya laana laana tu. Lakini kamwe sitakybaliana na aina hii ya utetezi alioutoa.
Mjumbe wa Kamati Kuu ya CHADEMA Lema amesema endapo atamuona mtoto wa Waziri mkuu mh Majaliwa au mtoto wa Rais Mwinyi anaendesha Bodaboda ndipo ataomba radhi.
 
Huyu bwana Lema Aache Bangi. Kwani na yeye kuna Mtoto wake Anaendesha Boda Boda? Siasa nyingine Anazo Fanya ni zakijinga sana.

Hatuwezi watanzania wote kulingana vipato au Hali za maisha. Hata marekani na utajiri walionao kama nchi pia wapo madereva tax na watu wa kipato cha chini.

Yeye Alikua mbunge kwa miaka 10 Alifanya nini kuwasaidia hao Boda Boda?

Kama Anauchungu sana siamekaa ulaya aende basi akaombe msaada aje awawezeshe waachane na kazi ya Boda Boda Ambayo yeye Anasema ni laana.

Hakuna kazi halali imelaaniwa kazi iliyo laaniwa ni kazi haramu Ambayo hata sheria za nchi haziikubali hiyo ndiyo laana.

Bwana lema badili siaza za kitoto Ambazo hazina tija Bali chukitu. Fanyeni siasa za kuonyesha njia na sio siasa za Mbambambatu.
 
Mjumbe wa Kamati Kuu ya CHADEMA Lema amesema endapo atamuona mtoto wa Waziri mkuu mh Majaliwa au mtoto wa Rais Mwinyi anaendesha Bodaboda ndipo ataomba radhi.

Lema amesisitiza Kuwa Bodaboda ni Kazi isiyofaa inayouwa na kuwapa ulemavu Vijana Wengi.

Lema amenena haya kupitia ukurasa wake wa Twitter.

Mlale Unono!

======

"Nikimuona mtoto wa Waziri Mkuu Kassim Majaliwa au Mtoto wa Rais Mwinyi anaendesha bodaboda na kudai ni kazi ya heri nitaomba radhi. Bodaboda ni kazi ya mateso,imeumiza watu na kujeruhi watu wengi.Acheni kudanganywa na Serikali iliyo kosa mbinu za kuokoa maisha yenu. Umasikini sio sifa."

View attachment 2539929
Lema awe na akiba ya maneno. Itamsaidia sana kwenye safari yake ya kisiasa siku za usoni.

Otherwise, huyu jamaa ni wa kupuuzwa tu. Kazi ya bodaboda ni bora kuliko vijana kukaa vijiweni kucheza pool table, kula mirungi na kuvuta bangi.

Kazi hiihii imewafanya baadhi ya vijana kumudu maisha yao, kutunza familia zao, kusomesha watoto wao na wengine hata kujenga (kwa wenye nidhamu ya kazi).

Ajali ni matokeo, hata hivyo kila kazi ina risks zake.

Aache kudharau kazi za watoto wa wenzake kwani kazi yake ya siasa/biashara haiwasaidii hao vijana.

Kila kukicha anafurusha vijembe bila kuwa na solution ya nini kifanyike, pathetic!
 
Mjumbe wa Kamati Kuu ya CHADEMA Lema amesema endapo atamuona mtoto wa Waziri mkuu mh Majaliwa au mtoto wa Rais Mwinyi anaendesha Bodaboda ndipo ataomba radhi.

Lema amesisitiza Kuwa Bodaboda ni Kazi isiyofaa inayouwa na kuwapa ulemavu Vijana Wengi.

Lema amenena haya kupitia ukurasa wake wa Twitter.

Mlale Unono!

======

"Nikimuona mtoto wa Waziri Mkuu Kassim Majaliwa au Mtoto wa Rais Mwinyi anaendesha bodaboda na kudai ni kazi ya heri nitaomba radhi. Bodaboda ni kazi ya mateso,imeumiza watu na kujeruhi watu wengi.Acheni kudanganywa na Serikali iliyo kosa mbinu za kuokoa maisha yenu. Umasikini sio sifa."

View attachment 2539929
Kumbe Lema mjinga sana, anapigana na upepo!
Kuwakashifu masikini baada ya kukaa Ulayabila kutumia akili kutambwaga chini.
 
Nimekaa Arusha kuanzia 2007 na nilimuona Lema akipiga kampeni zake zilizomuingiza bungeni. Huyo MTU hata mumchukiaje watu wa Arusha wakiwemk hao bodaboda anaowasema lazima wampigie kura. Tatizo hamzifahamu Sasa za Arusha na nguvu ya Lema -Arusha.
 
Kumbuka pia gambo hafanyi kazi ya upolisi, unesi na hata ualimu basi Kwa sababu gambo hafanyi kazi hizi Kwa tafsiri yako nazo pia sio kazi za maana ni za laana!!
hoja ya lema ni kwamba kaz ya bodaboda ni ya taabu(laana) na serikali haijawawekea mazingira mazuri pindi wapatapo mfano ajali huanza kuchangishana wao wenyewe kupitia magroup ya whatsap na kwamba madhara yake miaka ijayo ni hatari kwa sababu upepo wanaoukimbiza leo itaathiri macho yao na mapafu, so wewe kama unafikir unesi na ualimu ni sawa na bodaboda endelea kuamini hivyo. Pili kama bodaboda ni kaz nzur kwanin watoto wa majaliwa na mwinyi wako BOT NA TRA na sio bodaboda, ccm waache kuhadaa vijana wetu wapeleke watoto wao kwanza kwenye bodaboda ili tuwe na mifano hai.
 
Lema sema serikali ifanye nn kama mbadala wa bodaboda. Hao vijana wote wapo mtaani, wakiacha boda wafanye nn? Wewe una kazi ya kuwapa? Ni kweli boda ni kazi flani hivi hatari sana, lakini mbadala ni upi?.
 
Hivi lema ameona nchi gani watoto wa viongozi wanafanana level na wananchi wa hali ya chini hoja aliyoitengeneza ni ya kitoto Sana
Ila hoja yake yakitoto mbona inawasumbua hata vigogo? Tafakari vizuri hii hoja uliyoiita ya kitoto.
Isije ikawa watu wanatoa maoni ya kitoto kwenye hoja nzito
 
Huku ndiko kunaitwa kujazana ujinga, haiwezekani watoto wote wazazi wao wakawa na Uwezo wa shule za medium!, ACHA KUJAZA WATU UPUMBAVU!,

Wameshaitana kama mchwa waje watafune ruzuku yao taratibu, pia mkikosa la kuongea si lazima uongee!
Jifunzeni hekima kutoka CCM.
Jibu hoja
 
Hivi lema ameona nchi gani watoto wa viongozi wanafanana level na wananchi wa hali ya chini hoja aliyoitengeneza ni ya kitoto Sana
Sikiliza Raia wote wanapaswa kuwa na haki sawa, kama ni kazi za BOT basi raia wote wapate kazi, unafurahia kuona ajira za Vi memo? Wr ni mpuuzi sana yaani unafurahia kuona hakuna usawa, yaani wewe kuto kuwepo usawa kwako ni furaha
 
Hiyo hoja kama kweli ameitoa basi amedhihirisha yeye Lema ana upeo mdogo sana wa kufikiri. Lakini sishangai maana hata mwezake John Heche niliyesoma nae Shahada ya Elimu na mkewe ambaye ni Mwalimu pale Nyabulogoya Sekondari Kata ya Nyegezi Jijini Mwanza eti nae anauponda Ualimu kisa tu aliwahi kuwa Mbunge! Watu Hawa ni washamba kweri kweri!!
Kajidharirisha wapi? Kisa kaongea ukweli? Nchi hii inapaswa kubembelezana tu,
 
Huyu jamaa sijui kama kweli anashule!
Wewe unafurahia raia wengine kuajirwa kwa vimemo na wengine kuambia ajira zenu ni za Ualaimu na Toyo? Acheni uzezeta, huu uzezeta wenu ni furaha na Neema kwa watawala, nchi inapaswa kuwa na usawa kama kuna shida ya ajira iwe ni kwa wote, kama ni kwenda Ualimu hata mtoto wa Raisi aende kusomea ualimu na akafundishe, mbona Kodi hakuna kubaguana? Shida mnakuwa wajinga sana
 
Lema yupo sahihi kabisaaaa
Mkuu wajinga hawawezi muelewa, Nchi inapaswa kuwa na haki sawa kama ni kozi ya ualimu basi hata mtoto wa Waziri mkuu aende kusomea ualimu, kama ni ajira za BOT basi hata mtoto wa malala hoi apate kazi BOT na sio ajira za Vimemo, na wengine wakiambiwa wakaendeshe toyo na au wakasomee Ualimu na mbaya Raia tunaona ni sawa
 
Ngoja tuone Hadi mwisho

Ikibidi Asema kabisa kwamba akiona mtoto wa hao aliowataja wanahudumia Gesti au mama Ntilie au saidia fundi ndio ataomba radhi
Inapaswa kuwa hivyo, nyie wapuuzia mnafurahia kuona raia wengine wanaajiriwa kwa vimemo huku wengine wakisota? Nyie ni wajinga na mazezeta mmerogwa na watawala,
 
Back
Top Bottom