Dr am 4 real PhD
JF-Expert Member
- Jun 30, 2016
- 11,640
- 24,066
Mkiambiwa ukwel mmasema mnasimagwaLema aache dharau aisee ni ujinga kudharau kazi za watu
Mkuu nchi ina Mazezeta hii, yaani tuna furahia kuona raia wengine wanaajirwa Benki kuu, wengine Bandaranini kwa Vimemo, na raia wengine wao wanaambiwa nendeni mkasomee Ualimu au kaendesheni toyo.Brother jibu kwa fact maana lema hoja yake iko wazi,
Yes huku wao watoto wao wakifanya kazi kwa Vimemo, wako kwenye mashirika nyeti wanakula rahaok sawa ngoja nikubaliane na CCM wanazalisha ajira za bodaboda......CCM oyeeeeeeee
Kabisa kunapaswa kuwa na haki sawa hakuna raia First class na raia daraja la mwisho, whay wengine waajiriwe Umoja wa Mataifa huko, Benki kuu na wengine wakawe walimu?Tukitoka kwa bodaboda tuje kwa
Walimu
Manesi
Watunza rekodi
Askari
Madereva
Na wengine wengi na pia tujue watoto wa mbowe lisu lema
Rais wangu Spunda Rungwe
Raisi Samia
Raisi kikwete wanafanya kazi zipi
So unafurahiabwao watoto wao kuwa na kazi nzuri? Kazi za Vimemo? Mbona kodi tubaripiswa bila ubaguzi tena wao hawalipi kodiNa ndio maana sio kila mtoto ni wa kiongozi wa ccm.
mpwayungu village njoo hapa umjibu Mtoto wa ShuleHiyo hoja kama kweli ameitoa basi amedhihirisha yeye Lema ana upeo mdogo sana wa kufikiri. Lakini sishangai maana hata mwezake John Heche niliyesoma nae Shahada ya Elimu na mkewe ambaye ni Mwalimu pale Nyabulogoya Sekondari Kata ya Nyegezi Jijini Mwanza eti nae anauponda Ualimu kisa tu aliwahi kuwa Mbunge! Watu Hawa ni washamba kweri kweri!!
Kama sio laana whay watoto wa vigogo wasizifanye? Kwa hio ulivyo mjinga unafurahia raia wengine kuajiriwa kwa vimemo kazi za maana kama za Umoja wa Mataifa huko New york, na raia wengine wao wanapaswa kuendesha toyo?Sidhani kama amekuja kwa lengo la kukijenga chama chao huenda kuna ajenda ya kukidumaza hicho chama.
Je, yeye Lema amewahi muona mtoto wa Waziri mkuu anashona viatu?
Je anaweza kutuonesha mtoto wa Rais Mwinyi ambaye ni Mwl.wa S/Msingi ?
Kwa mantiki yake ni kuwa kazi zote zinazofanywa na watu wa kipato cha chini ni laana kwa kuwa hakuna watoto wa viongozi wakuu wa Nchi wanaozifanya.
Tunapaswa kuwaona hata watoto wa viongozi wakisotea kazi, wakiwa mtaani, kwani wao wana nini? How come ni rai wa choka mbaya pekeee ndio waendeshe toyo?Angeshauri sasa kazi gani ndio inayofaa au ni namna gani ya kuifanya hii ifae. Maana bodaboda wamekuwa msaada mkubwa sana hasa sisi tunaoishi uswahilini wamekuwa wakipeleka wagonjwa wetu mahospitali hata usiku wa manane na pia wamekuwa wakituwahisha kwenye mishe mishe zetu. Sasa kama mtu anasema hii kazi haifai kufanywa na watu anataka ifanywe na nani? Sidhani kama yeye huwa anatumia huu usafiri. Kazi yeyote mtu anayoifanya kwa furaha na hakuombi ugali wako muheshimu kwa hiyo omba omba ndio kazi ya heshima?
Wote hao, wanapaswa kuwa na wao mtaani, shida nyie mnashangilia kuto kuwa na usawaMbona hajamtaja mtoto wa Samia? Anaogopa kuminyiwa mrija wa asali?
Kazi za Viwandani na kazi za kilimo na kama ni shida ya ajira hata watoto wa viongozi wawe na shida hioz haiwezekani wao wajairiqe kwa Vimemo huku sisi tukisota, na mbaya nyie mnashingilia mtaani kuona watoto wa viongozi wakila meme ya nchi hii, ina maana Nyerere aliwatafutia wao Uhuru?Je !!Lema anataka wafanye kazi zipi za maana?Au nao waanze kutumia domo kaya kupiga kelele ili wawe wabunge?Au wakawe wezi wa magari?Tunaomba jibu Lema.
Wametoka kwa wamachingaMjumbe wa Kamati Kuu ya CHADEMA Lema amesema endapo atamuona mtoto wa Waziri mkuu mh Majaliwa au mtoto wa Rais Mwinyi anaendesha Bodaboda ndipo ataomba radhi.
Lema amesisitiza Kuwa Bodaboda ni Kazi isiyofaa inayouwa na kuwapa ulemavu Vijana Wengi.
Lema amenena haya kupitia ukurasa wake wa Twitter.
Mlale Unono!
======
"Nikimuona mtoto wa Waziri Mkuu Kassim Majaliwa au Mtoto wa Rais Mwinyi anaendesha bodaboda na kudai ni kazi ya heri nitaomba radhi. Bodaboda ni kazi ya mateso,imeumiza watu na kujeruhi watu wengi.Acheni kudanganywa na Serikali iliyo kosa mbinu za kuokoa maisha yenu. Umasikini sio sifa."
View attachment 2539929
Mkuu nchi ina watu wajinga haijawahi tokea sijui kama kuna Taifa jingine lina raia wajinga.Hajadharau
Sisi kama Bodaboda tumemuelewa na huo ni ukweli, hakuna mtu aliyekuwa na malengo yakuja kuwa Bodaboda
Ni kazi yenye msoto sana na kuishi katika risk, hao mamwela wa CCM wamekuwa kero tukiwa road
Bado uhai wetu upo rehani kwa manyemela wanaotuwinda kuja kutuibia pikipiki zetu.
Ni kazi ambayo wengi tunafanya ili tufanikiwe tuje kuachana nayo.
Kwa nini asiende? Kwa sababu yeye Baba yake ana tamka tu anapata kazi kokote? Nyie ni wajinga na wapumbavu sana, so unachekelea watoto wako kuja kuwa wamachinga baadae huku watoto wa sasa wa wakina Nape na Mwigulu waki viongozi?Lema aache ushamba. Mtoto wa PM ataendaje kuendesha boda boda? Ndiyo maana kwenye jamii kuna matabaka. Kuna waendesha boda boda na kuna Wahandisi, kuna walimu na mama ntilie, kuna wabunge na wapiga kura, kuna watawala na watawaliwa. Sasa mtoto wa pm ni privileged hana sababu ya kuwa boda boda, lakini hiyo haifanyi kuendesha boda kuwa siyo kazi. Atulize hicho kichwa chake au wamempa crack huko Canada?
Na sisi tuna shangilia tulivyo vilaza, Mkuu shida ni Ujinga wa Raia, nchi ina Raia wajinga sijawahi ona..Mzee Mwinyi mwanae ni Raisi kule Znz.
..Mzee Mkapa mwanae ni Katibu Mkuu wa wizara.
..Mzee Kikwete mwanae ni Naibu Waziri.
..Mama Samia mwanae ni Mbunge.
..Sasa viongozi wa aina hiyo ndio wanatushauri wenetu wawe bodaboda.
Ni Umasikini,Watu wanakomaa kuwa Ni Ajira. Wanadai kuwa inatakiwa uwe na akili kubwa umuelewe Lema.
Ingawa huu usafiri upo maeneo ya kimasikini hata Asia wamejaa
Ndio shida zinahitajika mnataka tuwe tuba danganganyana tu?Lema anakoelekea anaweza kuleta Shida Kwenye Jami iliyotulia!
Mkuu nchi ina wajinga sana, wao watotobwao wako hadi Umoja wa Matifa huko New York, tena wameajiriwa kwa Vimemo, huku watoto wa Choka mbaya wakiambiwa waende Ualimu na TOYOkaendeshe bodabofa jinga wewe huku watoto wa majaliwa na mwinyi wakifanya kaz BOT NA TRA.
Mkuu shida nchi ina wajinga nazani asilimia 90 kutwa nzima ni wanadanganywa tuNdio maana wenye akili tumemuelewa kwanin hao viongoz wa ccm wanazunguka kudanganya kuwa bodaboda ni kaz nzuri wakati watoto wao hawaendeshi bodaboda badala yake wanaganya kaz BOT.NA TRA.
Kwa nini viwe tofauti? Kwa nini wao wafanye kazi BOT, kazi za Umoja wa Mataifa na kwingineko? kama ni shida ya kazi hata watoto wa Waziri wawe na shida na kazi.Ni mfano usio sahihi wala hauna mantiki hii ni duni vipato ni tofauti kila mtu na riziki yake na utaftaji wake ...Atambue kwamba hata ambao Wana vipato vya juu ni wachache sana mno .
Yeye ni mwanasiasa na wenzio wanasiasa wanajua kuanzia kupiga dili na kuiba , sio lazima kwani hapo unagusia wananchi wa hali ya chini kabisa.. wanasiasa wote sijui lema na wenzio CCM wote akili sawa wao ndo wanufaika na pesa za wananchi ...je hao bodaboda waache kazi then waende wapi?
Kuna watu wamekaa nje miaka mpaka 20 ila wanaporudi bongo wanajua Kuna tofauti ya kule na huku ...wale wenzetu wameendelea sana unaweza kutoka kule baada ya kukaa sana ukaja bongo ukapaona kama pananuka ila ukiwa na akili unalow matarajio ukirudi bongo kwamba hapawezi kuwa kama ughaibuni
.Wenzetu miaka miwili basi kila kitu anaona kinyaa ni ushamba mtupu ..