Lema: Nikimuona mtoto wa Waziri Mkuu Majaliwa au wa Rais Mwinyi anaendesha Bodaboda ndipo nitaomba radhi

Ukiona kazi inakimbiliwa kirahisi na mtu yeyote ujue hiyo kazi ni ngumu na kipato chake pia ni kigumu.

Angalia wanaotembeza vitu mbambali mitaani, kila yakimshinda anaweza kuijaribu

Bodaboda ni kazi ambayo kijana akishindwa kwingine anaenda kwa mshikaji anajjfunza siku tatu tayari anabeba abiria. Hoja ya lema ni nzito na firm na si ya kubeza.

Lema anatoa suluhisho kuwa mipango mizuri itasaidia kuweka viwanda vijana wakaajiriwa humo.

Anasema bodaboda sio usafiri wa umma ni usafiri binafsi. Bodaboda ni hatari kwa kusababisha madhara mengi ikiwa ni vifo, ulemavu, uharbifu nk.

Sasa kama tunampinga tupitie humohumo na sio kupinga kibishi na kishabiki tu.

Kusema bodaboda ni kazi ya laana amezinngatia msemo kuwa umasikini ni laana neno ambalo liko kwenye biblia.

Hoja ya Lema haijajibiwa zaidi ya watu kuropoka kishabiki tu.
 
Mara nyingi ukitoka abroad, ukishuka pale JNIA, ile safari ya kutoka airport kupita buguruni hadi unafika ubungo...unahisi upo dunia ya hovyo kabisa kuwepo binadamu...
Jikite kwenye point, Je watoto wa Vigogo wao ndio wana haki na kazi za maana nchi hii? Kwa nini wao waajiriwe tena kwa Vimemo?

Kwa nini wao wasisote mtaani? Mnashingilia ujinga
 
Ukweli ni kwamba lema kaongea ukweli mtupu. Vikoba ni umaskini na ni kweli ni umaskini. Thats a fact. Bodaboda inaua watu kuliko kawaida, not even corona do what..
Shida ya hii nchi ni kuwa na idadi kubwa ya Raia vilaza, sasa swala la kuambiana ukweli lina kuwa gumu sana
 
"Kweri kweri" kumbe nawe umeenda skool!
 
Kwamba Sisi ambao ni mama ntilie, waponda kokoto, vibarua wa viwandani, machinga, wachuuzi, wauza magenge, wachinjaji wa vitoweo, walimu, haraka sana tuache kazi za laana tukaajiliwe na BOT na TRA?
Mjinga wewe Serikali inatakiwa kuwapatoa Raia wao kazi zenye utu na za maana, kama za Viwandani, na pia kazi zitolewe kwa usawa, haiwezekani kazi zingibe ziwe ni za Raia daraja la kwanza na zingini ziwe ni za Raia daraja la mwisho
 
Wamepmabana wapi? Watoto wao kuajiriwa kwa vimemo ni mapambano? Mnakuwa wajinga nyie
 
Democracy is a Rule of people for the people by the people ( ABRAHAM LINCOLN)

Democracy Rises it self According to Acceleration Principle Under MULTIPLER EFFECTS
if the Country GDP & INDIVIDUAL PER CAPITA is High. Then Democracy becomes with Roots.

All Developed countries Started to Fight AGAINST LOOTING of Country Resources and COMBATING INDUSTRIAL SCALE CORRUPTION.

Then Democracy becomes Inevitable.
 
Ameenda Canada akaona watoto wa viongoz wanasoma shule za serikali soo anajaribu Ku assume may be tukiboresha inaweza ikatokea hivyo hata bongo
Uchumi wa canada na Tanzania unafanana Hilo pia ameliangalia.kuna level mbili za umasikini absolutely na kuna Relative Poverty sisi Africa tupo kwenye absolutely asimilia kubwa wa wananchi hawana uwezo wa kupata.

Nahitaji ya msingi ya kila siku ila wenzetu wapo kwenye Relative ambapo masikini anapimwa kwa kukosa kumeet maisha ya luxury ndio maana watoto wa viongozi wanaweza kusoma na watoto wa masikini kwasababu shule za kawaida bado zina standard nzuri ya kuweza mtu kusoma je ni the same kwa hapa bongo?

Ningemuelewa Lema asingetumia neno laana kwa bodaboda lakini pia angekuja na njia badala ya nini wafanye bodaboda badala ya hiyo kazi
 
Yeye mwenyewe watoto wake wote wanasoma Kanada hallafu anawahadaa watanzania.
 
..Ni wajibu wa serikali ku-train wananchi wake.

..Ni wajibu wa serikali pia kuweka mazingira ambayo wananchi wake watapata ajira zinazowawezesha kumudu maisha yao.
Kama hamna kazi zingine ulitaka bodaboda wafanyaje?
 
Hili nalo ni pumbavu! Yaani mtoto wa Rais au Waziri mkuu akaendeshe bodaboda amekosa nini? Mbona vijana wanaojiekewa wanapiga hela tu kwenye bodaboda? Lema aache upumbavu!
 
Inapaswa kuwa hivyo, nyie wapuuzia mnafurahia kuona raia wengine wanaajiriwa kwa vimemo huku wengine wakisota? Nyie ni wajinga na mazezeta mmerogwa na watawala,
Acha ujinga wewe,na wewe peleka kimemo basi..

Hakuna hata siku Moja watu watafanana Kwa life standards maana wanatofauyiana vipawa,fursa, mazingira waliko nk
Hayo anayoongea Lema ni ujinga,yeye anaweza furahia mtoto wake awe Delivery boy au awe anatosha matako ya wazee wa Canada?
 
Sikiliza Raia wote wanapaswa kuwa na haki sawa, kama ni kazi za BOT basi raia wote wapate kazi, unafurahia kuona ajira za Vi memo? Wr ni mpuuzi sana yaani unafurahia kuona hakuna usawa, yaani wewe kuto kuwepo usawa kwako ni furaha
Kwa hiyo wote tunatakiwa tufanye kazi Bot
 
Kwa maana hiyo kazi zote ambazo hazifanywi na watoto wa vigogo zimelaaniwa
 
Mbona Lema anaongea ukweli wandugu, hata mimi siwezi kubali mtoto wangu awe dere
Je !!Lema anataka wafanye kazi zipi za maana?Au nao waanze kutumia domo kaya kupiga kelele ili wawe wabunge?Au wakawe wezi wa magari?Tunaomba jibu Lema.
Kwahiyo wewe unaona boda boda ni kazi ya maana hiyo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…