mzamifu
JF-Expert Member
- Mar 10, 2010
- 6,400
- 3,853
Ukiona kazi inakimbiliwa kirahisi na mtu yeyote ujue hiyo kazi ni ngumu na kipato chake pia ni kigumu.Hiyo hoja kama kweli ameitoa basi amedhihirisha yeye Lema ana upeo mdogo sana wa kufikiri. Lakini sishangai maana hata mwezake John Heche niliyesoma nae Shahada ya Elimu na mkewe ambaye ni Mwalimu pale Nyabulogoya Sekondari Kata ya Nyegezi Jijini Mwanza eti nae anauponda Ualimu kisa tu aliwahi kuwa Mbunge! Watu Hawa ni washamba kweri kweri!!
Angalia wanaotembeza vitu mbambali mitaani, kila yakimshinda anaweza kuijaribu
Bodaboda ni kazi ambayo kijana akishindwa kwingine anaenda kwa mshikaji anajjfunza siku tatu tayari anabeba abiria. Hoja ya lema ni nzito na firm na si ya kubeza.
Lema anatoa suluhisho kuwa mipango mizuri itasaidia kuweka viwanda vijana wakaajiriwa humo.
Anasema bodaboda sio usafiri wa umma ni usafiri binafsi. Bodaboda ni hatari kwa kusababisha madhara mengi ikiwa ni vifo, ulemavu, uharbifu nk.
Sasa kama tunampinga tupitie humohumo na sio kupinga kibishi na kishabiki tu.
Kusema bodaboda ni kazi ya laana amezinngatia msemo kuwa umasikini ni laana neno ambalo liko kwenye biblia.
Hoja ya Lema haijajibiwa zaidi ya watu kuropoka kishabiki tu.