Lema: Nimeisikiliza hotuba ya Rais mara tano, Nitarudi na majibu baada ya tamko la Chama

Idugunde

JF-Expert Member
Joined
May 21, 2020
Posts
6,404
Reaction score
6,969

Attachments

  • 1000037257.jpg
    346.7 KB · Views: 1
Mpuuzi Lema katika ubora wakeπŸ™†β€β™‚οΈπŸ™†β€β™‚οΈπŸ™†β€β™‚οΈ
 
Nashukuru Mungu nilirudi nyumbani nikawakuta wazazi wangu wakiwa hai na walifurahi sana.
Lini ? Na mwaka gani? Hapa anaongelea ya nyuma ama leo?

Haya turudi kwenye mada. Samia anawachimba biti chadema kuwa kila mnachokipanga yeye anakipata. Maana yake miongoni mwao (chadema) kuna mdudu.
 
Swali la msingi siku hizi wahalifu hawakamatwi bali wanakwenda kusimangwa jukwaani?

Mama tuna akili timamu, hata tuliokuwa tunakuheshimu nimekudharau sana na kumbe Mange Kimambi anakujuwa kuliko Mtanzania yeyote ingawa wengi tunamuonaga kama chizi kumbe yupo timamu kabisa.
 
Lini ? Na mwaka gani? Hapa anaongelea ya nyuma ama leo?


Haya turudi kwenye mada. Samia anawachimba biti chadema kuwa kila mnachokipanga yeye anakipata. Maana yake miongoni mwenu kuna mdudu.
Muongo hamna kitu yule!
 
lema kashituka mchezo umeshitukiwa hamini macho yake
Huku tunakopelekwa sasa, Sijui kama tutafika
Nafikiri Rais awe mwangalifu sana katika kuchagua maneno au lugha ya kuongea mbele za hadhara za Watu, asiwe anaamini kila kitu anachoambiwa na wale Watu wanaomzunguka. Sometimes anadanganywa au amekuwa akiambiwa Habari ambazo zimetiwa chumvi Sana. Awe anachuja maneno ya kuongea hadharani.
 
slogan tu ya samiamustgo inaonyesha jaribio linalotaka kujaribiwa. Sijui ilikuaje hadi watu wakaamua iwe slogan. Imekaa kiuhaini mno.
 
Utatekwa mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…