Lema: Nimeisikiliza hotuba ya Rais mara tano, Nitarudi na majibu baada ya tamko la Chama

Lema: Nimeisikiliza hotuba ya Rais mara tano, Nitarudi na majibu baada ya tamko la Chama

Jitu lilifeli form four leo hii anataka kuaminisha watanzania kuwa ni mtaalamu wa uchambuzi 🙆‍♂️🙆‍♂️🙆‍♂️
Sasa kufeli form 4 na mambo ya taaluma ya uchambuzi wapi na wapi??
 
Hata mbwa wakichoka huwa wana muua anayewalisha chakula...

Dunia ya sasa hakuna mnyonge watu tushajua hakuna Pepo wala hakuna moto wa milele....

Tunaish mara moja watu zamani walikua na hofu ya Mungu ambaye ayupo......

Kinachotokea Kenya ni utashi wa vijana ambao hawaamini tena kwenye kunyamaza wew ule cake wao wale tope ni bora tukose wote...

Madaraka ni dhamana huwez kutopangia watu waliokuajir......
....into the bad land.......
 
Lema sahivi anajishughulisha na nini? Hapa Arusha tukiona wizi wa magari umerudi tutajua ndo yeye maana ni kazi yake ya awali
 
Nafikiri Rais awe mwangalifu sana katika kuchagua maneno au lugha ya kuongea mbele za hadhara za Watu, asiwe anaamini kila kitu anachoambiwa na wale Watu wanaomzunguka. Sometimes anadanganywa au amekuwa akiambiwa Habari ambazo zimetiwa chumvi Sana. Awe anachuja maneno ya kuongea hadharani.
Vyombo vyote vya usalama vinaripoti kwa Rais, anazo taarifa za uhakika kuliko mtanzania yoyote yule.
 
Tuko kwenye vikao vya Kamati Kuu vya Chama Dar es salaan. Nimesikiliza hotuba ya Mheshimiwa Rais mara tano. Nashukuru Mungu nilirudi nyumbani nikawakuta wazazi wangu wakiwa hai na walifurahi sana. Nitajibu baadhi ya maeneo baada ya tamko la CHAMA.

Soma Pia: Rais Dkt. Samia: Nina taarifa ya kikao chao cha Arusha, wanapanga uhalifu, Serikali ya Tanzania haiondoshwi hivyo

Huyu Lema hamna kitu anatafuta tu attention ya jamii kwa maneno yake yasiyo na busara wala hekima maana anajua akili za wanachadema wengi ziko je. Kwahiyo atakuja na kauli iliyojaa mihemko
 
Huyu Lema hamna kitu anatafuta tu attention ya jamii kwa maneno yake yasiyo na busara wala hekima maana anajua akili za wanachadema wengi ziko je. Kwahiyo atakuja na kauli iliyojaa mihemko
Inasemekana 4R zilimrejesha toka ukimbizini Canada
 
Huyu Lema hamna kitu anatafuta tu attention ya jamii kwa maneno yake yasiyo na busara wala hekima maana anajua akili za wanachadema wengi ziko je. Kwahiyo atakuja na kauli iliyojaa mihemko
Upo sawa. Mbona kimya sana? Kwani Mbatia anasemaje?
 
CHADEMA kwenye kikao chenu amueni kusitisha maandamano mfungue kesi dhidi ya Serikali kwenye mahakama ya kimataifa.
CHADEMA ongozeni vyama vote Voya upinzani kususia uchaguzi ujao ili iwe nchi ya chama kimoja taśmie, wakati huo CHADEMA mkinyumbulika kuwa chama halisi cha kupigania uhuru upya kutoka kwa mkoloni mweusi.

Kwa hali ilivyo na mazingira haya, hata kama upinzani akishinda utakwenda kufanya kile kile CCM ilichoshindwa kufanya.
Elekezeni nguvu kudai katiba mpya, kuondoa utata sugu wa Muungano aidha kutengeneza tume iliyo huru itakayo simamia uchaguzi kwa haki.
 
Mama awe mpole kama ruto hapo jirani Mambo yamebadilika saana atakuja kuleta maafa makubwa.
Na ndiyo mtego anaotengenezewa na watu wake mwenyewe na hadi sasa kama ni kitanzi ameshavishwa bado kuvuta tu ashindwe kupumua chezea wahafidhina wewe.
 
Back
Top Bottom