Lema: Nimeisikiliza hotuba ya Rais mara tano, Nitarudi na majibu baada ya tamko la Chama

Lema: Nimeisikiliza hotuba ya Rais mara tano, Nitarudi na majibu baada ya tamko la Chama

Tanzania sijui shida ipo wapi Wazee tunakokwenda sijui kama tutafika...
 
Jitu lilifeli form four leo hii anataka kuaminisha watanzania kuwa ni mtaalamu wa uchambuzi 🙆‍♂️🙆‍♂️🙆‍♂️
Kama mamayenu alivyofail akaungaunga elimu ya hapa na pale
 
Tuko kwenye vikao vya Kamati Kuu vya Chama Dar es salaan. Nimesikiliza hotuba ya Mheshimiwa Rais mara tano. Nashukuru Mungu nilirudi nyumbani nikawakuta wazazi wangu wakiwa hai na walifurahi sana. Nitajibu baadhi ya maeneo baada ya tamko la CHAMA.

Soma Pia: Rais Dkt. Samia: Nina taarifa ya kikao chao cha Arusha, wanapanga uhalifu, Serikali ya Tanzania haiondoshwi hivyo

Utajibu baada ya tamko la chama au baada ya kupata maelekezo kutoka canada
 
Ilikuwa hotba ya shari tupu na vitisho!
The Hate Speech.

Naona kama amevuka mstari mwekundu kwa hotuba yake hiyo.

Ajifunze kupitia historia waliyopitia wenzake wengine waliomtangulia kwenye cheo Kama hiki cha kwake. Rais Dikteta Samuel Doe alikuwa na kiburi kama hiki hiki alichonacho yeye, lakini alijitokeza mbabe mmoja Bw. Prince Johnson alimnyoosha Samuel Doe hadi dunia yote ilitikisika kwa kishindo cha kunyooshwa kwake.
 
Aache kulia lia si alisema Tanzania imeponywa baada ya kifo cha Magufuli leo kiko wapi?
 
Swali la msingi siku hizi wahalifu hawakamatwi bali wanakwenda kusimangwa jukwaani?

Mama tuna akili timamu, hata tuliokuwa tunakuheshimu nimekudharau sana na kumbe Mange Kimambi anakujuwa kuliko Mtanzania yeyote ingawa wengi tunamuonaga kama chizi kumbe yupo timamu kabisa.
 
Nafikiri Rais awe mwangalifu sana katika kuchagua maneno au lugha ya kuongea mbele za hadhara za Watu, asiwe anaamini kila kitu anachoambiwa na wale Watu wanaomzunguka. Sometimes anadanganywa au amekuwa akiambiwa Habari ambazo zimetiwa chumvi Sana. Awe anachuja maneno ya kuongea hadharani.
yule maza hana filter,na mbaya hajui adui zake ako nao meza moja maccm wanamjaza ujinga naye anayatoa kama ilivyo masikin anasahau kauli ya msoga yakuambiwa changanya na zako
 
Back
Top Bottom