Lema: Nimeisikiliza hotuba ya Rais mara tano, Nitarudi na majibu baada ya tamko la Chama

Tuko kwenye vikao vya Kamati Kuu vya Chama Dar es salaan. Nimesikiliza hotuba ya Mheshimiwa Rais mara tano. Nashukuru Mungu nilirudi nyumbani nikawakuta wazazi wangu wakiwa hai na walifurahi sana. Nitajibu baadhi ya maeneo baada ya tamko la CHAMA.

Soma Pia: Rais Dkt. Samia: Nina taarifa ya kikao chao cha Arusha, wanapanga uhalifu, Serikali ya Tanzania haiondoshwi hivyo

Nawaomba Chadema watumie 4R kwa mambo chanya. Waendelee na vikao vya kisiasa na CCM ndani ya TCD; siyo kujibizana na Rais na Amiri Jeshi Mkuu. Leo hakuzungumza kwa nafasi ya Mwenyekiti wa CCM lazima Chadema walijue hilo. Kuna watu wamekula viapo kumtiii.🙏🙏🙏
 
Anawatumikia watanzamia wote na sio vyombo vya ulinzi tuu elewa hilo
 
Jitu lilifeli form four leo hii anataka kuaminisha watanzania kuwa ni mtaalamu wa uchambuzi 🙆‍♂️🙆‍♂️🙆‍♂️
Inawezekana unasema kweli kuhusu kufeli kwa huyo jamaa; lakini nikiangalia alipo yeye na rekodi ya mambo aliyo yasemea; kumlinganisha na wewe, hata kwa kutazama tu msimamo wa maandishi yako humu JF, hakuna shaka yoyote ni nani kati yenu wawili ni felia zaidi.
 
Lini ? Na mwaka gani? Hapa anaongelea ya nyuma ama leo?

Haya turudi kwenye mada. Samia anawachimba biti chadema kuwa kila mnachokipanga yeye anakipata. Maana yake miongoni mwao (chadema) kuna mdudu.
Unajichanganya mwenyewe.
Kama hilo swali ulilo uliza katika mstari wa kwanza lina maana yoyote; kwa nini hayo yanayo fuata kuhusu mtu huyo huyo uyatilie maanani sana?
Kwani hawezi kutumia ulaghai huo huo unao jitokeza katika swali lako la mwanzo?
 
Tuko kwenye vikao vya Kamati Kuu vya Chama Dar es salaan. Nimesikiliza hotuba ya Mheshimiwa Rais mara tano. Nashukuru Mungu nilirudi nyumbani nikawakuta wazazi wangu wakiwa hai na walifurahi sana. Nitajibu baadhi ya maeneo baada ya tamko la CHAMA.

Soma Pia: Rais Dkt. Samia: Nina taarifa ya kikao chao cha Arusha, wanapanga uhalifu, Serikali ya Tanzania haiondoshwi hivyo

Ningekushauri mda wa kuikomboa Tanzania bado haujafika,Yawezekana hata mkombozi mwenyewe hajazaliwa, yaani tuna bado miaka 40 mbele
 
Nawaomba Chadema watumie 4R kwa mambo chanya. Waendelee na vikao vya kisiasa na CCM ndani ya TCD; siyo kujibizana na Rais na Amiri Jeshi Mkuu. Leo hakuzungumza kwa nafasi ya Mwenyekiti wa CCM lazima Chadema walijue hilo. Kuna watu wamekula viapo kumtiii.🙏🙏🙏
Ukiweza kufuatilia post zangu hapa jukwaa la siasa tangu huyu mama amechukuwa madaraka nimekuwa na imani naye na kumuunga mkono, lakini kwa hotuba yake ya jana nimemdharau sana.

Sijawahi kukubaliana na Mange Kimambi huwa namchukulia kama chizi lakini sasa nakubaliana naye, huyu mama madaraka yameshamnogea, na wale wakaanga sumu kama kawaida yao wanamlisha matango pori, Ni Nyerere peke yake ndio alikuwa na akili ya kubaini watu wanaotetea matumbo yao huku wakimdanganya.

Swali moja tu la kujiuliza, hivi vyombo vya dola unavyovijuwa wewe watu wakae kikao kupanga uhaini wangeachwa?

Hii ina tofauti gani na kesi ya ugaidi ya Mbowe kulipuwa vituo vya mafuta?

Watanzania tunadharauliwa sana.
 
Inawezekana unasema kweli kuhusu kufeli kwa huyo jamaa; lakini nikiangalia alipo yeye na rekodi ya mambo aliyo yasemea; kumlinganisha na wewe, hata kwa kutazama tu msimamo wa maandishi yako humu JF, hakuna shaka yoyote ni nani kati yenu wawili ni felia zaidi.
Mangi tarumbeta za humu zinakudanganya sana na sana.Yaani jitu linatao povu kwa ajili ya ajiri (ubunge ) unataka kufananisha na wataalam wenye fani zao aisee ?
 
Back
Top Bottom