Nawaomba Chadema watumie 4R kwa mambo chanya. Waendelee na vikao vya kisiasa na CCM ndani ya TCD; siyo kujibizana na Rais na Amiri Jeshi Mkuu. Leo hakuzungumza kwa nafasi ya Mwenyekiti wa CCM lazima Chadema walijue hilo. Kuna watu wamekula viapo kumtiii.🙏🙏🙏Tuko kwenye vikao vya Kamati Kuu vya Chama Dar es salaan. Nimesikiliza hotuba ya Mheshimiwa Rais mara tano. Nashukuru Mungu nilirudi nyumbani nikawakuta wazazi wangu wakiwa hai na walifurahi sana. Nitajibu baadhi ya maeneo baada ya tamko la CHAMA.
Soma Pia: Rais Dkt. Samia: Nina taarifa ya kikao chao cha Arusha, wanapanga uhalifu, Serikali ya Tanzania haiondoshwi hivyo