Ndio maana kasikiliza mara tano haaminilema kashituka mchezo umeshitukiwa hamini macho yake
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndio maana kasikiliza mara tano haaminilema kashituka mchezo umeshitukiwa hamini macho yake
Ndio maana ya chama tawala kinatawala vyama vyote na kinakuwa na wajumbe wake kikao cha kila chama kiwe cha siri au waziChadema wanajua kilichotokea saivi presha juu kwa juu
Watajulikana tuuu
Unaeza kuta hawa ndo "wachomaji" wenyewe, dunia hii, usimwamini mtu!Tuko kwenye vikao vya Kamati Kuu vya Chama Dar es salaan. Nimesikiliza hotuba ya Mheshimiwa Rais mara tano. Nashukuru Mungu nilirudi nyumbani nikawakuta wazazi wangu wakiwa hai na walifurahi sana. Nitajibu baadhi ya maeneo baada ya tamko la CHAMA.
Soma Pia: Rais Dkt. Samia: Nina taarifa ya kikao chao cha Arusha, wanapanga uhalifu, Serikali ya Tanzania haiondoshwi hivyo
Una akili sana MkuuLini ? Na mwaka gani? Hapa anaongelea ya nyuma ama leo?
Haya turudi kwenye mada. Samia anawachimba biti chadema kuwa kila mnachokipanga yeye anakipata. Maana yake miongoni mwao (chadema) kuna mdudu.
Na dalili kubwa saana kuwa kichwani hakuna kituKwani ukifeli form iv ndio kukosa akili?
Hii maana yake Lema ana akili timamu ya kufuatilia, mama angeisoma hiyo hotuba mara mbili tu kabla ya kutoka public angeshamfuta kazi aliyemuandikia na kumuingiza chaka.Ndio maana kasikiliza mara tano haamini
Sio kweli mallard ayo kafeli form iv je hana akili?Na dalili kubwa saana kuwa kichwani hakuna kitu
Watu wanafeli darasa la 7, kidato cha pili, kidato cha nne na leo hii ni wakuu wa nchi!!!Jitu lilifeli form four leo hii anataka kuaminisha watanzania kuwa ni mtaalamu wa uchambuzi 🙆♂️🙆♂️🙆♂️
Tuko kwenye vikao vya Kamati Kuu vya Chama Dar es salaan. Nimesikiliza hotuba ya Mheshimiwa Rais mara tano. Nashukuru Mungu nilirudi nyumbani nikawakuta wazazi wangu wakiwa hai na walifurahi sana. Nitajibu baadhi ya maeneo baada ya tamko la CHAMA.
Soma Pia: Rais Dkt. Samia: Nina taarifa ya kikao chao cha Arusha, wanapanga uhalifu, Serikali ya Tanzania haiondoshwi hivyo
Mkuu nipo sema siku nyingi kweli.Upo sawa. Mbona kimya sana? Kwani Mbatia anasemaje?