Lema: Nimeisikiliza hotuba ya Rais mara tano, Nitarudi na majibu baada ya tamko la Chama

Tanzania sijui shida ipo wapi Wazee tunakokwenda sijui kama tutafika...
 
Jitu lilifeli form four leo hii anataka kuaminisha watanzania kuwa ni mtaalamu wa uchambuzi πŸ™†β€β™‚οΈπŸ™†β€β™‚οΈπŸ™†β€β™‚οΈ
Kama mamayenu alivyofail akaungaunga elimu ya hapa na pale
 
Utajibu baada ya tamko la chama au baada ya kupata maelekezo kutoka canada
 
Mpuuzi Lema katika ubora wakeπŸ™†β€β™‚οΈπŸ™†β€β™‚οΈπŸ™†β€β™‚οΈ
MACHAWA badala ya Elimu, mmejazwa Ujuaji? UCHAWA ni hasara kubwa sana kwa Taifa letu.
 
Ilikuwa hotba ya shari tupu na vitisho!
The Hate Speech.

Naona kama amevuka mstari mwekundu kwa hotuba yake hiyo.

Ajifunze kupitia historia waliyopitia wenzake wengine waliomtangulia kwenye cheo Kama hiki cha kwake. Rais Dikteta Samuel Doe alikuwa na kiburi kama hiki hiki alichonacho yeye, lakini alijitokeza mbabe mmoja Bw. Prince Johnson alimnyoosha Samuel Doe hadi dunia yote ilitikisika kwa kishindo cha kunyooshwa kwake.
 
Jitu lilifeli form four leo hii anataka kuaminisha watanzania kuwa ni mtaalamu wa uchambuzi πŸ™†β€β™‚οΈπŸ™†β€β™‚οΈπŸ™†β€β™‚οΈ
Kwani ukifeli form iv ndio kukosa akili?
 
Reactions: UCD
Aache kulia lia si alisema Tanzania imeponywa baada ya kifo cha Magufuli leo kiko wapi?
 
 
yule maza hana filter,na mbaya hajui adui zake ako nao meza moja maccm wanamjaza ujinga naye anayatoa kama ilivyo masikin anasahau kauli ya msoga yakuambiwa changanya na zako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…