Lema: Nimekamatwa na Jeshi la Polisi Arusha, mpaka sasa sijajua kosa langu

Lema: Nimekamatwa na Jeshi la Polisi Arusha, mpaka sasa sijajua kosa langu

Mgombea ubunge wa jimbo la Arusha mjini kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (chadema) amekamatwa na polisi jijini Arusha muda mfupi uliopita.

Chanzo ni yeye mwenyewe mhe. Lema kupitia akaunti yake ya Instagram.
 
Mna mgombea ukiacha tu kwamba ni wa ovyo sana, lakini pia ni kaa gari mkweche..siku 3 barabarani..siku 7 gereji...
Ameingia gereji sasa..!!
Mapumbavu ya ccm mna hali mbaya sana..
Hahahahahahahahaha.
eti anaenda kukarabatiwa ...... hahahaahha Lissu bwana
 
Sasa ndio siasa gani hizi za kukamatana kamatana ila mapinzani yamekuwa mapole sana siku hizi sijui yanashindwaje kukavamia hako kakituo ka polisi na kukacolonise fasta
 
Mgombea ubunge wa jimbo la Arusha mjini kupitia Chadema amekamatwa na polisi jijini Arusha muda mfupi uliopita.
Chanzo ni yeye mwenyewe mhe. Godbless Lema kupitia akaunti yake ya Instagram.
CCM kwisha kazi !
 
FB_IMG_1574277425198.jpg
 
Back
Top Bottom