Lema: Nimekamatwa na Jeshi la Polisi Arusha, mpaka sasa sijajua kosa langu

Lema: Nimekamatwa na Jeshi la Polisi Arusha, mpaka sasa sijajua kosa langu

CCM imeanza tena kamata kamata..?

Naona wameamua kuanza kuvuruga uchaguzi mapema usiwepo ili wajipange

Sasa ni hivi, zege halilali...safari hii ng'ombe hageuzwi...ni huko huko alikotazanisha shingo!!
 
Siku Polisi itakapokuwa kazi ya maana na wasichukue watu waliofeli shule peke yake , Itakuwa Idara nzuri sana
Unataka kusema hii inawahusu pia akina ziro,mambonow na yule jamaa wa sisi ndiyo wataalam, tulia wewe
 
Kweli bwana haiwezekani haki itetewe na mwanamme mmoja wengine wako chumbani wanagegeda
Kama watanzania tunapenda haki tunapaswa kupaza sauti kwa vitendo dhidi ya uvunjifu wa haki.

Utawala wa kidikteta hujengwa na wananchi kutokuchukua hatua dhidi ya matendo yanayoashiria uonevu

Sent from my SM-A105F using JamiiForums mobile app
 
Kweli bwana tunapaswa kuwa na ujasiri kuliko wa watu wa Beralus maana huyu dikteta hatujua ataanzisha white elephant project gani baada ya madege na maviwanja ya kijijini kwake chato
 
Back
Top Bottom