Lema: Nimekamatwa na Jeshi la Polisi Arusha, mpaka sasa sijajua kosa langu

Lema: Nimekamatwa na Jeshi la Polisi Arusha, mpaka sasa sijajua kosa langu

Kweli bwana tunapaswa kuwa na ujasiri kuliko wa watu wa Beralus maana huyu dikteta hatujua ataanzisha white elephant project gani baada ya madege na maviwanja ya kijijini kwake chato
Suala la kutenda haki tusilichukulie kuwa ni tukio tu la kupita inapaswa kuwa sehemu ya maisha yetu Sisi wenyewe.

Tutambue kuwa kama leo kanyimwa haki Lema kesho inaweza kuwa zamu ya Gambo kunyimwa haki hiyo hiyo.

Ili hali hii iishe ni lazima wananchi tuonyeshwe kukerwa na haki hii kwa vitendo siyo maneno matupu huku tukisema wapinzani ni waoga sana.

Wapinzani wanapigania haki zetu na za kwao pia tusichukulie siasa ni tukio la kuwapa watu uongozi na kisha tukaendelea na maisha yetu ya kila siku.

Sent from my SM-A105F using JamiiForums mobile app
 
Kweli bwana tunapaswa kuwa na ujasiri kuliko wa watu wa Beralus maana huyu dikteta hatujua ataanzisha white elephant project gani baada ya madege na maviwanja ya kijijini kwake chato
Ndomana mnaitwa wapumbavu,mazungu wanawashangaa mnavyomuita JPM dikteta wakati kila siju yupo barabari na kupigia magoti wapiga kura ili tu wamchague.au ni hamuelewi nini maana ya dikteta.
 
Arusha na moshi hatujawai kuwa vilaza ndo mkoa tunaongoza kwa shule nyingi na barabara na hatutaki ccm ila mkoa iliyopo ndani ya ccm toka uhuru hamna kitu
 
Ndomana mnaitwa wapumbavu,mazungu wanawashangaa mnavyomuita JPM dikteta wakati kila siju yupo barabari na kupigia magoti wapiga kura ili tu wamchague.au ni hamuelewi nini maana ya dikteta.
Idd Amin na Charles Taylor walikuwa wanajibiringisha kabisa kwenye udongo
 
1 Oktoba 2020

Watu wengi siyo tu wanasiasa tu bali kada zote iwe wafanyabiashara, watu wa dini , wakulima n.k wanazidi kuburuzwa na kutikiswa bila sababu kwa serikali ya CCM kutumia vyombo vya dola na usalama chini ya utawala wa awamu hii ya CCM Mpya kila kona ya Tanzania.
Mheshimiwa Rais Magufuli

source : Bishop Augustine Mpemba
 
Ukiona giza nene ujuwe kunakaribia KUKUCHA.....
It's darkest before dawn. Wagombea wako chini ya tume ya uchaguzi. Wana kamati ya maadili. Ukiukaji wa kanuni za uchaguzi zishughulikiwe na tume. Au Gambo maji ya shingo?
 
Back
Top Bottom