PreGE2025 Lema: Rais Samia kwa kauli ya gwajimanize utajutia wewe na watoto wako na maisha yako yote

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Reactions: Tui
Kwa maana nyingine unamshauri Rais watu waendelee kuuwawa?Ukiona mwenziyo ananyolewa wewe tia maji,Siyo muda mrefu mtaanza kulana wenyewe.
 
We peleka ujinga kwa mamaako!! Watu wanaongelea mambo kutekana we unaleta kijambio chako hapa!! shenzi kabisa!!
Kutekana vipi mzee wewe uko wapi muda huu nije tuone nani ataniteka ? Hizo siasa za kitoto sana yani watu 80 ndio wanipotezee imani tena wenyew uhakika hatuna coz hata wapinzani wanaijua vzr hii nchi na udhaifu wake pia
 
CHIZI.
Kazi gani utaiweza
Nenda tu kwamwambie mhusika kwamba wewe upo tayari kunywa damu za watu.wewe.
Hata hiyo ya kuua unatafuta kwa kubembeleza?
Hata tofauti iliyopo kati ya "uzalendo" na "uchawa", huijui?
 
CHIZI.
Kazi gani utaiweza
Nenda tu kwamwambie mhusika kwamba wewe upo tayari kunywa damu za watu.wewe.
Hata hiyo ya kuua unatafuta kwa kubembeleza?
Hata tofauti iliyopo kati ya "uzalendo" na "uchawa", huijui?
Hivi hoja ni hii hii ya kutekana ?. Hivi Tanzania kweli kuna raia anashindwa kufanya shughuri zake muda wowote ule, kwenda mahali popote pale akihofia kutekwa ? Mbona km siwaelew elew ao mmevuta bangi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…