PreGE2025 Lema: Rais Samia kwa kauli ya gwajimanize utajutia wewe na watoto wako na maisha yako yote

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Kuna watu wanavuta bangi yani Lema hawezi hata msumbuwa msanii wa kawaida hapa nchini ndio ambabaishe ety Amuonye Samia Mr's President kwa kauli yake ?
😁😁
Si ajabu Gwajima na Samia lao moja, ukute wanatuhadaa tu. La sivyo, Gwajima ni jasiri kuliko mwenye kuweza kuanzisha kikundi cha waasi wa kukomboa nchi.
πŸ€”πŸ€”
 
Si ajabu Gwajima na Samia lao moja, ukute wanatuhadaa tu. La sivyo, Gwajima ni jasiri kuliko mwenye kuweza kuanzisha kikundi cha waasi wa kukomboa nchi.
Mtampoza mwezenu. Yangu macho, Mdude asha sahaurika.
 
Kumbe unalilia tumb9 lako pumbavu, kazi gani utapewa wewe? Labda u house boy.
 
le
Lema ni kubwa jinga
 
Hichi kichwa achana nacho mzee huyo lema alikuja Arusha nikaenda mskiliza, mbele yangu anasema bodaboda nikazi ya laana huyo atanielewesha nini mimi
Boda boda ni kazi ya laana.
Kuna Katibu wa CCM wilaya moja mkoa wa Pwani, amepata bodaboda 2 za SSH na nyumbani ana watoto wa 4 wa kiume, lakini yupo radhi wakapigike Goodwill kwa 5800 kwa siku kuliko waendeshe bodaboda.

Viongozi wa CCM wanawahadaa mazwazwa huku wao wanafanya tofauti.
 
Si ajabu Gwajima na Samia lao moja, ukute wanatuhadaa tu. La sivyo, Gwajima ni jasiri kuliko mwenye kuweza kuanzisha kikundi cha waasi wa kukomboa nchi.
Siasa mchezo mchafu Hawa lao moja, hamna kitu hapo gwaji akishahamia chauma ili ionekane Tz Kuna democrasia upinzani upo kumbe hamna kitu washauwa upinzani lissu wamemuweka ndani
 
Chuma alilindwa na chopa kwa juu!

Right there where you are! Tumia akili!

Anaeongea sio gwajima Bali wenyewe!
Comrade tuwe na adabu kwenye maswala ya kitaifa!

Nawaza!
Kuna za ndani nime save ngoja kupambazuke niweke Kama comment ama nizi fungulie Uzi..still najiuliza humu ndani ni salama kwa kiasi gani?
NB. Jf ni JAMII Pana Sana sanaaa mkuu
Mimi ni mwana mabadiliko/mageuzi sipo upande wa watesi.
 
Si ajabu Gwajima na Samia lao moja, ukute wanatuhadaa tu. La sivyo, Gwajima ni jasiri kuliko mwenye kuweza kuanzisha kikundi cha waasi wa kukomboa nchi.
πŸ‘πŸ»πŸ‘πŸ»πŸŽ₯πŸ“½οΈπŸŽ¬πŸŽ¬ πŸ’―
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…