PreGE2025 Lema: Rais Samia kwa kauli ya gwajimanize utajutia wewe na watoto wako na maisha yako yote

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Gwajima 3
Chawaccm 0
Kuwa kinyume na Gwajima ni kutenda haki? Gwajima kukataa utekaji udhalimu ushetani wa ccm ya sasa kawa Adui
 
Hakuna uchaguzi mwaka huu kuna maigizo ya Tumeccm ya uchakachuaji tu
 
Kumbe ccm wakiwa na mkutano, chadema nao wanakaa makini kufatilia 😂
 
Mungu akiamua kuonesha hasira yake, hajali dini kabila ukwasi wa mtu rangi wala chama chake
 
Kuna watu wanavuta bangi yani Lema hawezi hata msumbuwa msanii wa kawaida hapa nchini ndio ambabaishe ety Amuonye Samia Mr's President kwa kauli yake ?
Wewe hata uwezo wa kuwaza huna zaidi ya kubugia vipolo vya ugali kwa chumvi.
 
Chawaccm wote wenye Roho mbaya za kuua kuteka kama IGP Bishungwa na Polisiccm kwa pamoja Albadiri zitawaandama sana kama marehemu mrema kipindi cha mwembe chai
 
Kumbe ccm wakiwa na mkutano, chadema nao wanakaa makini kufatilia 😂
Si kweli.Hiyo ni sawa na ajali ikitokea Same na kuua watu wengi halafu baadaye watu wakatoa maoni tu.Ndiyo utasema kwamba tangu gari linaondoka Kibohehe watu wote walikuwa wanalifuatilia kwenye "CCTV" camera?
 
Chawa ulitaka walete familia Ili wasiojulikana wawateke ..... KAZI hupati hata uwe mzalendo.
 
Hichi kichwa achana nacho mzee huyo lema alikuja Arusha nikaenda mskiliza, mbele yangu anasema bodaboda nikazi ya laana huyo atanielewesha nini mimi
Ni kweli bodaboda ni laana. Uchangudoa, wizi, umalaya, bodaboda, uchawa zote ni laana hizo.
 
Ni kweli bodaboda ni laana. Uchangudoa, wizi, umalaya, bodaboda, uchawa zote ni laana hizo.
Wewe unafanya kazi gani mkuu inakupa jeuri ya kuihusisha bodaboda sawa na kazi ya wizi, umalaya na uchangudoa?
 
Unataka upewe kazi gani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…