SAGAI GALGANO
JF-Expert Member
- Nov 13, 2009
- 50,104
- 75,552
Huyu alikuwa anamu understudy sasa amehitimu hadi kumzidi mwalimuwake.Unajua Nawaza Hivi ni MAGU alikua katili au MAKATILI walikua nyuma yake? π€
Takataka ni wewe unayeshiriki mapenzi ya jinsia moja ukiwa upande wa kunyapuliwaHiyo takataka haijitambui.
Ni wazi sasa haya maovu yote yana baraka zakeUkweli ni kuwa kauli ya mheshimiwa Rais ni mbaya sana.
Nyie endeleeni kujipendekeza tu.
watanzania tupo kwenye wakati mbaya kuliko awamu zote huko nyumaKiburi cha madaraka kibaya sana
Njoo na factsπ³ π³π Gwajima ni tapeli aliyedandia verse ya utekaji, kwa sababu ina trend, ameamua kui commercialize
Facts ziko obvious kama we huzioni basi, Gwajima he must be your GODNjoo na facts
Mpewe kazi mara ngapi, si mmeshapewa na mnaendelea nayo!?Pengine kosa la mama Rais wetu ni kumrudisha nchini, Rais wangu kufanya kosa si kosa kosa ni kurudia kosa, Rais alikuwa na nia nzuri ila ukweli kunguru wa Pemba hawafugiki. Lema na Lissu wameacha familia zao nje ya nchi yetu, maana yake hawakumwamini Rais wetu, kwanini Rais aliwaamini? Rais wetu ameuzwa na washauri wake. Rais mwenye washauri lukuki anazidiwa na watu km hao? Sasa mama yetu mpendwa wanakuzunguka kukuchora? Tupo sisi wazalendo wa kweli tupe kazi.
Sawa Gwajima ni tapeli, vipi utekaji upo au haupo?π³ π³π Gwajima ni tapeli aliyedandia verse ya utekaji, kwa sababu ina trend, ameamua kui commercialize
Kwahiyo bodaboda ni kazi ya neema na baraka!? Uko tayari kizazi chako kiwe cha bodaboda huku wachache wakitafuna keki ya nchi?Hichi kichwa achana nacho mzee huyo lema alikuja Arusha nikaenda mskiliza, mbele yangu anasema bodaboda nikazi ya laana huyo atanielewesha nini mimi
Kwamba kwakuwa shughuli nyingine zinaendelea basi hao wanaotekwa na kuuawa hawana maana na hawatuhusu!? Mpaka siku ikukute ndo utajua thamani ya uhai wa mtu.Hivi hoja ni hii hii ya kutekana ?. Hivi Tanzania kweli kuna raia anashindwa kufanya shughuri zake muda wowote ule, kwenda mahali popote pale akihofia kutekwa ? Mbona km siwaelew elew ao mmevuta bangi
Samia amekosea Sana kujibu hoja za GWAJIMA kwa shombo ya maneno ya taarabu za kizanzibar..Wakati wa Mungu ukifika hao si chochote . Damu za Watanganyika wasikuwa na hatia zinalilia kisasi kutoka kaburini.
We funguka!!wakuamate na fake I'd like iweje!!?Kuna za ndani nime save ngoja kupambazuke niweke Kama comment ama nizi fungulie Uzi..still najiuliza humu ndani ni salama kwa kiasi gani?
NB. Jf ni JAMII Pana Sana sanaaa mkuu
Mimi ni mwana mabadiliko/mageuzi sipo upande wa watesi.
Technology imekua Sanaa π π ukiitajika unapatikana Mbona. Sizani/ sijui kama wengi wetu tumejisajili humu kwa secured π email hili ni SoMo right eg. Kama zile social media accounts za serikalini zili be hucked na wakenya unadhani Kuna kinacho shindikana uki itajika.We funguka!!wakuamate na fake I'd like iweje!!?
Wewe ni taahira kabisa.Lema mpuuzi tu. Anapenda kulaani kijinga. Ni mwehu
Mi nilivyoona Jamaa Tumia akili kapost alhamis ya week iliyopita saw kumi na dk 36 ,ULE Uzi wa "Brother" nikajua tu wamekamilisha!!Technology imekua Sanaa π π ukiitajika unapatikana Mbona. Sizani/ sijui kama wengi wetu tumejisajili humu kwa secured π email hili ni SoMo right eg. Kama zile social media accounts za serikalini zili be hucked na wakenya unadhani Kuna kinacho shindikana uki itajika.
Worry out brother ntapata wasaa ntaweka either kwa thread ama comment ya kawaida liwalo na liwe ntaku TAG.
Kazi ya kuuwa?Pengine kosa la mama Rais wetu ni kumrudisha nchini, Rais wangu kufanya kosa si kosa kosa ni kurudia kosa, Rais alikuwa na nia nzuri ila ukweli kunguru wa Pemba hawafugiki. Lema na Lissu wameacha familia zao nje ya nchi yetu, maana yake hawakumwamini Rais wetu, kwanini Rais aliwaamini? Rais wetu ameuzwa na washauri wake. Rais mwenye washauri lukuki anazidiwa na watu km hao? Sasa mama yetu mpendwa wanakuzunguka kukuchora? Tupo sisi wazalendo wa kweli tupe kazi.