Kuna UPUMBAVU mwingi na hujuma nyingi sana zinaendelea juu ya uongozi na utawala wa Mh Tundu Lissu, ninafikiri UPUMBAVU huu unapswa kusemwa na kukemewa hadharani , ikiwa ni lazima itabidi tuongee mambo ambayo hayakupaswa kusemwa ili kila mtu ajue mwanzo wa dhamira zilivyo kuwa na hata sasa. Nafikiri hili ni jambo muhimu kwa sasa.
MY TAKE. LISSU ATEGEMEE KUFUKUZWA UONGOZI KABLA OCTOBER
MY TAKE. LISSU ATEGEMEE KUFUKUZWA UONGOZI KABLA OCTOBER
