Magufuli mwenyewe ni laana atawezaje kumlaani mtu? Yuko jehanam anaokwa kama ndafuLisu ana laana ya Magufuli, hataongoza kwa raha.
Mbowe tayari ameshalambwa na laana ya Magufuli
Chadema bhana π Yn kitu kipo ndani ya chama chenu ila bado mnaisingizia ccm πDalali wa siasa mbowe in action... plus CCM fanatics...
walinzi binafsi makatili zaidi wa heche wanafanya nini? Lema si akamtonye heche ili atoe maelekezo na hatua za vipigo zichukuliwe dhidi ya wahujumu chadema?Kuna UPUMBAVU mwingi na hujuma nyingi sana zinaendelea juu ya uongozi na utawala wa Mh Tundu Lissu, ninafikiri UPUMBAVU huu unapswa kusemwa na kukemewa hadharani , ikiwa ni lazima itabidi tuongee mambo ambayo hayakupaswa kusemwa ili kila mtu ajue mwanzo wa dhamira zilivyo kuwa na hata sasa. Nafikiri hili ni jambo muhimu kwa sasa.
MY TAKE. LISSU ATEGEMEE KUFUKUZWA UONGOZI KABLA OCTOBER
Na ya Mwalimu Nyerere, aliwahi kumtukana sana Hayati Mwalimu. Kwa ufupi ni kichaa.Lisu ana laana ya Magufuli, hataongoza kwa raha.
Mbowe tayari ameshalambwa na laana ya Magufuli
Wee Mbowe tulia ulee wajukuu..muda wako umeshaisha...Kuna UPUMBAVU mwingi na hujuma nyingi sana zinaendelea juu ya uongozi na utawala wa Mh Tundu Lissu, ninafikiri UPUMBAVU huu unapswa kusemwa na kukemewa hadharani , ikiwa ni lazima itabidi tuongee mambo ambayo hayakupaswa kusemwa ili kila mtu ajue mwanzo wa dhamira zilivyo kuwa na hata sasa. Nafikiri hili ni jambo muhimu kwa sasa.
MY TAKE. LISSU ATEGEMEE KUFUKUZWA UONGOZI KABLA OCTOBER
Tunamshukuru Mungu kwa kutuondolea yule kiongozi muovu bila damu kumwagika.Lisu ana laana ya Magufuli, hataongoza kwa raha.
Mbowe tayari ameshalambwa na laana ya Magufuli
Kwamba hatuelewi uhusika wa ccm kwenye hili? Lisu asilogwe aingie kwenye maridhiano na genge la Mbowe.Chadema bhana π Yn kitu kipo ndani ya chama chenu ila bado mnaisingizia ccm π
Huyo lema amesema ni jambo la ndani ya chama ila ww unakuja kulialia hapa π
Hamjawah kuacha kuwasingizia ccm kwenye upuuzi wenu.Kwamba hatuelewi uhusika wa ccm kwenye hili? Lisu asilogwe aingie kwenye maridhiano na genge la Mbowe.
Najua ni kwa kiwango gani ukweli unauma.Hamjawah kuacha kuwasingizia ccm kwenye upuuzi wenu.
Kwa hakika umeandika kinyume, kwamba Magufuli ndiye alikufa na laana ya wote Lissu na Mbowe. Ushahidi tu,, mwangalie Lissu anavyotembea.Lisu ana laana ya Magufuli, hataongoza kwa raha.
Mbowe tayari ameshalambwa na laana ya Magufuli